![Mahakama ya Tanzania Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1793740736942239744/L2ziv4rt_x96.jpg)
Mahakama ya Tanzania
@judiciarytz
Followers
47K
Following
77
Statuses
1K
Ukurasa Rasmi wa Mahakama ya Tanzania
Dodoma,Tanzania
Joined November 2015
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, akikagua gwaride maalumu katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Sheria yaliyofanyika tarehe 3 Februari, 2025 kwenye Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. #wikinasikuyasheria2025
#mahakamayatanzania
#judiciarytanzania
1
6
43
Uzinduzi wa Wiki ya Sheria 2025 _ KAULIMBIU: “Tanzania ya 2050: Nafasi ya Taasisi Zinazosimamia Haki Madai Katika Kufikia Malengo Makuu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo.” @maelezonews
#mahakamayatanzania
#judiciarytanzania
15
10
27
RT @ikulumawasliano: Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 22 Janu…
0
127
0
RT @ikulumawasliano: Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22…
0
90
0