![NTOBI Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1501503168047374338/kBjdA7uo_x96.jpg)
NTOBI
@Ntobi_
Followers
76K
Following
175K
Statuses
24K
Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595
Shinyanga, Tanzania
Joined May 2012
@MwangubiObedi @AdoShaibu Tunamsamehe, ila Mhe @AdoShaibu na Askofu @EmmausAskofu βwanatukwazaβ sana wanaposema #FreeSlaa β Waiache Mahakama ifanye kazi yakeβ Wakubali tu kuwa KARMA is real..!
1
0
4
@Jambotv_ Kwani KM wa Zambarau @AdoShaibu hakuiona hii kauli ya Bwana mkubwa @IamLyenda? Ado anataka kusema No reforms, Yes Elections?π€·π½ββοΈπ
6
2
40
Fatma naomba uelewe kitu muhimu pia:- 1. Tulipokuwa tunapigania mfumo bora huyo Mjinga Slaa, alituona hatufai- KARMA. 2. Tulipokuwa tunapigania mfumo bora huyo Mjinga Slaa anaungana na mfumo- kutukandamiza- KARMA 3. Tulipokuwa tunapigania mfumo bora Mjinga Slaa alipewa vipande thelatheni βubaloziβ kutufifisha. Huyu MJINGA Slaa acha apate alichokua anastahili. Ili kuja kuongea nae lugha moja wacha asote kwanza, ujinga utamuisha!
17
3
36
@KayuniBlack2000 @LembrusMchome @TunduALissu @freemanmbowetz @ChademaTz @EduTalkTz @ExMayorUbungo @HecheJohn @HildaNewton21 Kabisa, ili akitoka awe na adabu!
0
0
0