LembrusMchome Profile Banner
Lembrus Mchome Profile
Lembrus Mchome

@LembrusMchome

Followers
24K
Following
4K
Statuses
5K

Mwenyekiti Mstaafu Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro. katibu chadema wilaya ya Mwanga. Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda Haki

Joined June 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
13 hours
Mwaka 2017 nikiwa nagombea udiwani kata ya Lembeni (uchaguzi mdogo) Kaka @derickmagoma alifika kuninadi hapa ni kijiji cha Kiruru Ibwe ijewa tulikutana na shida ya maji na hayo mawe ni folen. Pumzika kwa amani brother Magoma
Tweet media one
0
1
25
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
2 days
Kaka,rafiki,mwalimu na shujaa @derickmagoma amepumzika. Nimebahatika kufanya kazi za siasa na magoma alikua mtu jasiri,mbunifu na kiongozi hakika ni pigs kubwa kwa wote waliowahi siku ngumu sana Mungu ampe pumziko la amani giant Dr Magoma (PhD)
Tweet media one
0
0
0
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
3 days
Babu Dr Slaa aliwahi kuongea maneno makali na machafu sana yanayohalalisha jinai dhid ya Mwenyekiti @TunduALissu na hata kwa mstaafu @freemanmbowetz na @ChademaTz kwa ujumla. Haya anayopitia ni matunda ya tabia yake ya uropokaji bila kuchuja.
22
16
127
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
7 days
Jumamosi hii tutaimarisha Afya zetu kwa kufanya jogging M9shi mjini vijana,kina mama na wazee tuungane pamoja kujenga afya zetu. Hongera sana kwa wazo zuri Bavicha Moshi mjini. Mimi nitashiriki
Tweet media one
3
11
31
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
9 days
Hongeren sana Bavicha Moshi mjini, mazoezi ni muhimu sana kwa afya zetu binafsi mimi ntakuwepo na marafiki zangu watakuwepo. Nawaomba wapenda afya wote kilimanjaro tukutane tar 08/02/2025
Tweet media one
5
16
55
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
10 days
Kesho ntafika @tanpol kwaajili ya kutoa taarifa juu ya hili. Ila kimsingi ntajihadhari sana na kulinda maisha yangu.
Tweet media one
42
4
39
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
10 days
Tujitahid sana kuweka akiba ya maneno.
Tweet media one
18
7
39
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
10 days
Kaka @PMadeleka mbona haya mambo ya mapendano mapendano tulishayakataa. Unaturudisha misiri sasa.
Tweet media one
Tweet media two
61
14
97
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
10 days
23
2
40
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
11 days
Mwamba @freemanmbowetz anawatakieni nyote ijumaa njema. Daima atabaki mwalimu na kiongozi bora katika maisha yetu wengiiiii. Haijaisha.
Tweet media one
138
31
366
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
14 days
@godbless_lema Ndoto nzuri sana usiamke mapema broo. Jipe muda wa kuendelea ili ufaidi. Sintayasahau mateso ya 2020 nlipaswa kubeba mzigo mzito uliotaka kunivunja mabega.
16
3
58
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
15 days
@millardayo @godbless_lema atakua amepata shida ya afya ya akili anajua @freemanmbowetz hana dhiki ya magari ila boss wake Lema wa sasa anashida ya gari na ndio maana alichangisha kwa shida kubwa, anajua familia ya FAM ndio ya kwanza kuongiza gari ya gharama zama za Nyerere,kujitoa tu fahamu
79
7
66
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
15 days
Kaka @godbless_lema umesikia wap @freemanmbowetz anashida ya magari?. Wewe unaujua ukweli kuhusu maisha yake ila uliamua kujitoa ufahamu. FAM sio wa level hizo. Kuna vikao vya machame ukumbuke.
Tweet media one
181
16
168
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
16 days
Kabla ya kua @ChademaTz alikua ni mkufunzi mzuri wa masomo ya sayansi akaamua kuacha kazi na kujiunga na chadema,amekua front daima akipigani chama, amekua ni mtu field kila siku hajawahi kuwaogopa maccm leo umwitaje mtu kama huyu mhuni, ni kukosa utu na uungwana
Tweet media one
161
30
432
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
16 days
Benson Kigaila ameachana na familia yake miaka miwili iliyopita kwaajili ya kuhakikisha operation ya uchaguzi ndani ya chama inafanyika amezungu takribani kanda zote za kichama na kuhakikisha uchaguzi wa taifa unafanyika. Leo unamwitaje mhuni, apewe heshima yake.
Tweet media one
244
55
1K
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
17 days
RT @Tanzania_News2: wala sio Kamati ya Utendaji ya Bavicha Taifa. After all kwani Mwenyekiti @TunduALissu hataki kukosolewa!? Je anatangaza…
0
4
0
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
17 days
@jjmnyika uliruhusu mwenyekiti wako atukanwe anenewe maneno mabaya juu yake hukuwahi kutoka na kuwajulisha watanzania walau nusu ya matendo yake mema kwa chama hiki. Baada ya uchaguzi ndio unayataja mazuri yake. @freemanmbowetz atabaki kua icon kwenye taifa hili.
89
18
118
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
18 days
Sio wajumbe, baraza kuu linapaswa kua na watu 470. Wajumbe wa baraza kuu halali waliokuwepo ukumbini ni 81, Katibu mkuu anakubalije kikao kiendele ili hali hakuna akidi? Tutahoji haya kwa katibu mkuu na kumuomba msajili apitie nyaraka za baraza kuu la tar 22/02/2025.
21
0
16