MachumuKadutu Profile Banner
MWANAMAPINDUZI Profile
MWANAMAPINDUZI

@MachumuKadutu

Followers
5K
Following
4K
Statuses
2K

Askofu Maximillian Kadutu|Mwanasiasa na Mchambuzi wa Mambo ya Siasa|Mpenda Haki na Maendeleo

Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
19 hours
"Kwenye Mwanzo huu MPYA, chini ya uongozi wa Mwenyekiti MPYA, kwenye Mkutano wa Ikungi wa kwanza MPYA, inahitaji wapambanaji WAPYA, wenye Ari na Morali MPYA, CHADEMA kwa pamoja tunaanza mapambano UPYA, Ikungi nitakuwepo!"- Askofu Mwanamapinduzi
Tweet media one
6
47
357
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
21 hours
RT @Hofa_Remmy16: Mtumishi wa Mungu baba Askofu @MachumuKadutu atakuwepo pale Ikungi kwaajili ya mapokezi ya Mhe.Lissu!
0
8
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
22 hours
RT @ShijaShibeshi: Jana Usiku Tulihitimisha kikao chetu Cha mwisho Cha Maandalizi ya Kumsindikiza Mwenyekiti kwenda IKUNGI. Wapiganaji @PMa
0
21
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
6 days
RT @fatma_karume: Nimejaribu kuisoma hii ruling. Baada ya paragraph ya kwanza nimeanza kuona kichefuchefu na nikawa DISCOMBOBULATED. I coul…
0
66
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
6 days
RT @ChrissFundi: Huyu ni Mtanganyika tusichoke watanganyika ku Repost
Tweet media one
0
316
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
7 days
RT @HildaNewton21: Mapokezi yataanza Tarehe 12 Feb 2025. 📍LAMADI 📍Bunda Mjini 📍Tarime Mjini
Tweet media one
0
75
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
7 days
RT @Lissu_2025: Kuelekea mapokezi yakihistoria ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu tarehe 15.02.2025 nyumbani kwao Ikungi, Sin…
0
100
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
8 days
RT @PMadeleka: Jamani, eti ni KWELI kwamba; KESI YA DR. WILBROAD SLAA imesababisha mtu AJIUZULU kwa MATUMIZI MABAYA YA SHERIA? Mwenye UKWEL…
0
119
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
8 days
"Jambo jema linaanzia nyumbani" Tarehe 13.02.2025 Tunaanza na #NyumbaniTarime kwa @HecheJohn na Tarehe 15.02.2025 tutakuwa #NyumbaniIkungi kwa @TunduALissu #WajumbewaHakiWanakuja Cc.@Lissu_2025
Tweet media one
Tweet media two
4
34
153
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
9 days
RT @LusakoAlphonce: Anguko la Chama Cha Mapinduzi CCM ni Oct.2025. Things Will Fall Apart. No Reforms no Election ni Movement Pekee inayoen…
0
21
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
11 days
RT @gidionalex31: Deus Soka alikuwa amejitabanaisha kupinga mkataba wa kishetani wa kugawa Rasilimali zetu Kwa waarabu, Tukikaa kimya ma…
0
64
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
11 days
@ShijaShibeshi @MariaSTsehai Mungu ampe umri mrefu wenye afya njema. Ampe Maarifa na hekima zaidi ya kushinda vita zote. Siku moja wasiomuelewa dada @MariaSTsehai watamuelewa vizuri Tu. #TutaelewanaTu
0
2
4
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
14 days
"Mchezo mnaomfanyia huyu mzee @DrWilbrodSlaa, Mungu anawaona, Ipo siku atawaumbua. HAKI HAITAWAACHA KUISHI"- Askofu Mwanamapinduzi
Tweet media one
24
44
265
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
14 days
RT @MachumuKadutu: "Mzee wangu @DrWilbrodSlaa nakuombea kwa Mungu siku ya kesho upate ushindi na uwe huru, tuungane pamoja kwenye harakati…
0
82
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
15 days
RT @JoelyMsuya: Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. @TunduALissu akisalimiana na Dr. @wilbroadslaa akiwa kizimbani leo mahamani, Dr. Slaa amer…
0
23
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
15 days
"Mzee wangu @DrWilbrodSlaa nakuombea kwa Mungu siku ya kesho upate ushindi na uwe huru, tuungane pamoja kwenye harakati za ukombozi wa Taifa letu"- Askofu Mwanamapinduzi #HakihuinuaTaifa
Tweet media one
10
82
716
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
16 days
RT @Hofa_Remmy16: @MwanaHabariNews Kwa mbali kidogo namuona Mtumishi wa Mungu,mtu wa haki Baba Askofu @MachumuKadutu
0
1
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
16 days
RT @ChademaTz: "Tunaenda kufanya harakati, tena harakati za nguvu." Mhe. @TunduALissu #StrongerTogether
0
164
0
@MachumuKadutu
MWANAMAPINDUZI
16 days
RT @JohnNgutiCDM: Deusdedith Soka sio mhalifu, Hakustahili mateso haya anayopewa na Mama Abduli na Serikali yake.... #FreeDeusdedithSoka #…
0
106
0