![Joel Msuya Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1870234958570086400/k1ZgFVOC_x96.jpg)
Joel Msuya
@JoelyMsuya
Followers
10K
Following
73K
Statuses
114K
Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
Joined June 2022
Kutokuwepo kwa @DEUSDEDITHSOKA kwenye mchuano wa wagombea wa uenyekiti wa BAVICHA taifa ni pigo kubwa kwa BAVICHA wote, chama na vijana wote nchi nzima.Mungu amenionyesha kupitia ndoto utakuwa huru baada ya uchaguzi wa BAVICHA na chama. Ombi langu kwa Mungu ikawe hivyo. AMEN 🙏😭
15
69
426
RT @JumaAbdukarim: Taifa Lolote lisilohubiri utawala sheria wenye kuzingatia misingi ya haki linajiandalia utawala wa ghasia. Hatuwezi kuwa…
0
14
0
RT @immaMtanganyika: ..@DEUSDEDITHSOKA Siku zinakata Hatujui upo hai au La! Wewe na Wenzako Frank Mbise na Jackob Mlay Mliotekwa Baada ya k…
0
2
0
RT @MariaSTsehai: Tusiache hata siku moja kuwasemea walionyimwa kauli #StopAbductionsTz 🇹🇿 #FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania Haki ya k…
0
58
0
RT @JoelyMsuya: #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeu…
0
2
0
#FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿 #FreeDeusdedithSoka 🇹🇿
0
2
3
RT @DavidMfugwa2: Ikiwa mtu amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki katika kufikishwa mahakamani mara ya kwanza baada ya kukamatwa, k…
0
2
0
RT @DavidMfugwa2: Mtuhumiwa akishakamatwa inatakiwa afikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo, angalau si zaidi ya saa 48 baada ya kukamatwa…
0
2
0
RT @DavidMfugwa2: Mtu ambaye amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki ya kutoshurutishwa kukiri au kutokiri chochote ambacho kinaweza…
0
2
0
RT @DavidMfugwa2: Kila mtu ambaye haki zake zimeathiriwa vibaya na hatua za kiutawala awe na haki ya kupewa sababu zilizoandikwa kwa nini h…
0
2
0
RT @DavidMfugwa2: Kila mtu ana haki ya kuchukuliwa hatua za kiutawala ambazo ni halali endapo itatakiwa, zinazofaa na za haki utaratibu ul…
0
2
0
RT @ChangeTanzania: #KatibaMpya igongelee msumari kati haki ya kupata taarifa zozote zinazoshikiliwa na serikali ili kwa na serikali yenye…
0
3
0
RT @ChangeTanzania: Ni haki ya wananchi kupata taarifa yoyote ambayo inashikiliwa na mtu mwingine na ambayo inahitajika kwa ajili ya uteke…
0
2
0
RT @ChangeTanzania: Sheria ya kitaifa lazima itungwe ili kutekeleza haki zote za msingi za binadamu, na zinaweza kutoa hatua zinazofaa ili…
0
2
0
RT @ChangeTanzania: The wealth beneath our feet should propel us forward, not keep us trapped in a cycle of exploitation. #KataaEACOP #EA…
0
1
0
RT @ChangeTanzania: Kila mtu ana haki ya kuchukuliwa hatua za kiutawala ambazo ni halali endapo itatakiwa, zinazofaa na za haki utaratibu…
0
2
0
RT @ChangeTanzania: Kila mtu ambaye haki zake zimeathiriwa vibaya na hatua za kiutawala awe na haki ya kupewa sababu zilizoandikwa kwa nini…
0
2
0