DavidMfugwa2 Profile Banner
David Mfugwa Profile
David Mfugwa

@DavidMfugwa2

Followers
23K
Following
15K
Statuses
394K

Mwalimu(Bachelor of Arts with Education), katibu wa chadema Jimbo la Kilolo mkoa wa Iringa, diwani niliyemaliza muda wangu 2015 - 2020.

Joined June 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
5 months
Kumbukizi ya muujiza unaoishi. Mungu akupe maisha marefu mhe. m/mwkt wa @ChademaTz @TunduALissu
Tweet media one
4
90
674
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
15 hours
Kila mtu ana haki ya kuchukuliwa hatua za kiutawala ambazo ni halali endapo itatakiwa, zinazofaa na za haki utaratibu uliopo, Haki za kitamaduni za wananchi lazima kuzingatiwa katika sheria zetu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
3
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
15 hours
Kila mtu ambaye haki zake zimeathiriwa vibaya na hatua za kiutawala awe na haki ya kupewa sababu zilizoandikwa kwa nini haki zake zinaathiriwa na kwa mamlaka ipi ya kisheria #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
3
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
Mtu ambaye amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki ya kutoshurutishwa kukiri au kutokiri chochote ambacho kinaweza kutumika kama ushahidi dhidi ya mtu huyo. Hii itasaidia wananchi kuondokana na ubambikaji wa makosa yanayofanywa na polisi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
3
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
Mtuhumiwa akishakamatwa inatakiwa afikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo, angalau si zaidi ya saa 48 baada ya kukamatwa. Maafisa wawajibishwe kinyume na sasa ambapo watu hukamatwa na kuwekwa ndani kwa miaka mingi bila kesi kuendelea #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
4
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
The wealth beneath our feet should propel us forward, not keep us trapped in a cycle of exploitation. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
Ikiwa mtu amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki katika kufikishwa mahakamani mara ya kwanza baada ya kukamatwa, kufunguliwa mashtaka au kufahamishwa sababu ya kuendelea kuzuiliwa au kuachiliwa. Kusiwe na vikwazo vya dhamana #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
3
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
Utajiri ulio chini ya miguu yetu unapaswa kutusukuma mbele kimaendeleo, na sio kutuweka kwenye msururu wa unyonyaji. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
Maadamu rasilimali za Afrika zinavunwa kwa manufaa ya wengine, ndoto ya uhuru wa kweli inasalia kuwa upeo wa mbali. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
16 hours
As long as Africa’s resources are harvested for the benefit of others, the dream of true independence remains a distant horizon. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
1 day
RT @ChademaTz: Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu ataongoza viongozi na wanachama katika mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama…
0
134
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
1 day
Kila raia mtu mzima ana haki ya kupiga kura lakini kunahitajika uboreshaji wa mfumo mzima uchaguzi na chombo chake pamoja na kuboresha sheria za uchaguzi kwa mujibu wa Katiba. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
3
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
1 day
#KatibaMpya inapaswa kuwa na haki ya mwananchi kutumia lugha na kushiriki katika maisha ya kitamaduni anayochagua, lakini hakuna mtu anayetumia haki hizi anaweza kufanya hivyo kwa njia inayoambana na kifungu cha Sheria ya Haki hizo. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
1 day
Haki ya uhuru wa kujumuika inapaswa kulindwa na #KatibaMpya , Katiba ya sasa haijwaweka ulinzi wa kutosha kwenye haki za watu, huru wa watu hauna ulinzi wa kutosha katiba yetu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
1 day
Kila raia ana haki ya uchaguzi huru, wa haki na wa mara kwa mara kwa chombo chochote cha kutunga sheria kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba. Usiochezewa kama ilivyo sasa #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
#KatibaMpya inatakiwa kusema wazi kuwa hakuna mtu anayeweza kufanywa mtumwa, au kupewa kazi kinyume na matakwa yake. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
Haki ya faragha ni muhimu ikalindwa na katiba ambayo inajumuisha haki ya kutopekuliwa nyumba, mali au mali zake kuchukuliwa au faragha ya mawasiliano ya wananchi kuingiliwa bila amri ya mahakama. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
Kila mtu kupitia #KatibaMpya anapaswa kuwa na haki ya uhuru wa dhamiri, dini, mawazo, imani na maoni ambao utasimamiwa na si kuwa haki kikatiba ambayo inavunjwa na dola kwa madaraka waliyonayo. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
0
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
Pumzika kwa amani kamanda Derick Magoma, mwenyekiti mstaafu wa mkoa wa Manyara. @ChademaTz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
16
115
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
#KatibaMpya itoe haki inayojumuisha kutonyimwa haki na kutoteswa kwa njia yoyote, au kuadhibiwa kwa njia ya kikatili, isiyo ya kibinadamu au ya kudhalilisha kwa mwananchi anapokuwa chini ya ulinzi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
1
@DavidMfugwa2
David Mfugwa
2 days
Ni muhimu Maadhimisho ya kidini yafanywe katika taasisi za serikali au zinazosaidiwa na serikali, mradi tu maadhimisho hayo yanafuata sheria zinazotungwa na mamlaka zinazofaa za umma. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
2