ChangeTanzania Profile Banner
#ChangeTanzania Profile
#ChangeTanzania

@ChangeTanzania

Followers
319K
Following
20K
Statuses
102K

This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

Tanzania
Joined January 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
1 month
Kwa kuzingatia midahalo na mahojiano yaliyofanyika mpaka sasa Team bora na ambayo inaweza leta mabadiliko ndani ya CHADEMA na kwenye siasa za Tanzania Una unga mkono team ipi Piga kura na weka comment kwa nini umechagua. Hiyo team
59
83
209
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 hours
#NoReformNoElection na Vijana kwa nini CCM imepanic ? Mjadala muhimu sana kuhusu mabadiliko , Huko Live kwa nini kuna maneno mengi kutoka CCM kuhusu mabadiliko ? #NoReformNoElection
0
7
5
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 hours
RT @MariaSTsehai: Leo #MariaSpaces tunajadili: #NoReformNoElection na Vijana Kwa nini CCM imepanic? Tumeona kauli za viongozi wa CCM zikias…
0
86
0
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 hours
MariaSpaces in The House
0
0
0
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
7 hours
Tunawezaje kupata haki, uwajibikaji na uongozi bora katika mazingira ya sasa ya kisheria ambayo CCM imetunga sheria na kuweka mazingira ya kutisha wananchi hata kutumia makundi ya WhatsApp kufanya mambo yao ya kijamii ? tuna nchi huru? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
2
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
7 hours
Tunaingia kwenye uchaguzi 2025 hakuna maboresho ya sheria ya habari, ASASI za kiraia, Vyombo vya habari, maboresho ya jeshi la polisi, maboresho ya mfumo na sheria ya mahakama. Uchaguzi utakuwa wa aina gani? Kuna tofauti gani na 2020 ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
4
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
7 hours
Matumizi ya TEHAMA imekuwa msaada kwa wananchi na serikali kufanya mambo , Serikali ya CCM imekuwa ikipinga au kudumaza kabisa mifumo ya kiditali nchini ikiwemo daftali wa wapiga kura .Tutakubali mfumo wa giza wa CCM kwenye uchaguzi mpaka lini? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
7 hours
Moja ya kasoro ya mfumo wetu wa uchaguzi ni unasimamiwa na makada wa CCM ambao wametegeshewa kama Wakurugenzi wa halmashauri, CCM inashinikiza mfumo huu kuendelea. Tupata uchaguzi wa haki? Tunatapataje viongozi tunaotaka ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
3
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
8 hours
CCM imefanikiwa Kukwepa kabisa mchakato wa #KatibaMpya kwa kujaribu kudanganya wananchi katiba haitoleta ugali, lakini mazingira ya sasa Mafisadi, watu kutekwa, Polisi kunyima watu dhamana, mahakama inayopokea maagizo kwa simu, Tunataka haya mambo? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
4
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
8 hours
Maadamu rasilimali za Afrika zinavunwa kwa manufaa ya wengine, ndoto ya uhuru wa kweli inasalia kuwa upeo wa mbali. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
0
2
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
8 hours
Malengo ya CCM ni uchaguzi wenye mazingira wanayoweza chakachua matokeo ya uchaguzi na kusimika viongozi kwa wananchi ambao wanatokana na uchafuzi wa uchaguzi, tutakubali hii hali mpaka lini wakati Taifa linadumazwa nyanja zote ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
8 hours
Hofu ya CCM kama kutofanyika mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi, ni wamekosa ushawishi kwa vijana na kupelekea kupoteza uchaguzi,... mazingira ya sasa yameleta Bunge butu, mahakama chongo, Wananchi wanataka chaguzi bora hili kuweka viongozi bora #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
2
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
8 hours
Kila inapotokea hoja kutaka mabadiliko ya Katiba na tuboreshe mifumo ya uchaguzi, Rais Samia na CCM wanaibuka na hoja nyingi za kuzungumzia ugali kwa wananchi? Ni kwa kiasi gani wananchi wanapata ugali sababu ya sheria za sasa? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
0
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
9 hours
Kuna sheria ambazo zinagusa uchaguzi, zinazopora mamlaka ya wananchi kwenye chaguzi, Pamoja na maoni ya wananchi kutaka mabadiliko CCM imeweka vikwazo, Je ni sahihi kusema CCM wanajua bila uporaji kupitia mfumo wa uchaguzi wataanguka kisiasa? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
0
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
9 hours
Sheria kandamizi ni njia komavu inayotumiwa na CCM kuhalalisha mambo kandamizi kwa maslahi yao, serikali imeongeza kasi ya kujenga mazingira kandamizi na kukataa mabadiliko kwa kusingizia ni shinikizo la upinzani, Bila kungalia athari za sheria hivi kwa wananchi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
9 hours
Mabadiliko ya sheria nchini ni kwa manufaa ya nani? Wannachi au wanasiasa na vyama vya siasa ? Sisi wananchi hakuna manufaa yoyote tunapata kwenye mabadiliko yanapofanyika? Kama tunanufaika, ni kwa kiasi gani No Reform No Election tumeipambania ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
0
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
10 hours
As long as Africa’s resources are harvested for the benefit of others, the dream of true independence remains a distant horizon. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
0
0
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
13 hours
Ikiwa mtu amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki ya kuachiliwa kutoka kizuizini ikiwa maslahi ya haki yanaruhusu, kwa kuzingatia masharti yanayokubalika. Dhamana inatakiwa kurahisishwa kwa makosa yote kwa masharti pale inapobidi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
1
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
13 hours
Utajiri ulio chini ya miguu yetu unapaswa kutusukuma mbele kimaendeleo, na sio kutuweka kwenye msururu wa unyonyaji. #KataaEACOP #EACOPniTishio
Tweet media one
0
0
1
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
13 hours
Ikiwa mtu amekamatwa kwa madai ya kutenda kosa ana haki katika kufikishwa mahakamani mara ya kwanza baada ya kukamatwa, kufunguliwa mashtaka au kufahamishwa sababu ya kuendelea kuzuiliwa au kuachiliwa. Kusiwe na vikwazo vya dhamana #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
2
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
14 hours
Mtuhumiwa akishakamatwa inatakiwa afikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo, angalau si zaidi ya saa 48 baada ya kukamatwa. Maafisa wawajibishwe kinyume na sasa ambapo watu hukamatwa na kuwekwa ndani kwa miaka mingi bila kesi kuendelea #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
0
2
3