Lissu_2025 Profile Banner
Tundu Lissu 2025 Profile
Tundu Lissu 2025

@Lissu_2025

Followers
10K
Following
17K
Statuses
3K

Ukurasa wa kampeni za Tundu Lissu kuelekea uchaguzi 2025. Chagua Lissu (Mtia nia kupitia CDM)✌️ Account Rasmi ya Mhe. Lissu ni @TunduALissu

Tanzania
Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
21 days
Kituo kinachofwata! #Lissuanatosha
Tweet media one
197
424
5K
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
2 minutes
"Ombi langu la pili kuwaomba muweke baraka zenu, hii kazi itahitaji kujitolea sana,... kwa yeyote ambaye anataka kuweka mkono wake wa baraka wakudai haki na mfumo bora wa uchaguzi kwa nchi yetu, achangie kwa namba ifuatayo kwa M-Pesa 0744446969 Jina: CHADEMA HQ" Mhe. Tundu Lissu
Tweet media one
0
0
1
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
19 minutes
"Ombi langu la kwanza ni kwa wale wote mahali popote mlipo, mnaotaka kujiunga na chama chetu cha Demokraisia na maendeleo, ili muweze kushiriki kwenye hizi harakati, naomba niwakaribishe mjiunge na chama chetu." Mhe. Tundu Antiphas Lissu.
Tweet media one
1
2
20
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
42 minutes
RT @MariaSTsehai: Love how @TunduALissu knows the political history and intricacies of Kenya 🇰🇪 - like the struggle for the Second Liberati…
0
21
0
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
48 minutes
Mwenyekiti wa Chadema. Mhe. Tundu Lissu kwenye hotuba yake amesisitiza hakutakau na Uchaguzi wowote kwanzia sasa pasipokuwa na mabadiliko. #Lissuanakuja
Tweet media one
0
7
36
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
2 hours
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, yuko LIVE akilihutubia Taifa la WATANZANIA! #Lissuanakuja
Tweet media one
1
16
155
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
4 hours
Tweet media one
0
72
0
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
8 hours
RT @rose_mayemba: Ni saa kumi jioni leo.
Tweet media one
0
52
0
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
8 hours
LEO NI LEO 🔥 Mhe. Tundu Antiphas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, atalihutubia Taifa leo 12.02.2025 saa 10 jioni! Leo mtoto hatumwi dukani! 📺 Stay Tuned! #Lissuanakuja
Tweet media one
10
71
361
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
1 day
RT @ChademaTz: Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. @TunduALissu akitoa heshima za mwisho kwenye ibada ya mazishi ya Kamanda Derick Magoma, Mwen…
0
78
0
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
1 day
Mwenyekiti wa (4) CHADEMA Taifa Mhe. Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
Tweet media one
7
89
649
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
1 day
"Derick alikuwa mtu mwema sana.!" Mhe. Tundu Lissu kwenye mazishi ya Kamanda Derick Magoma leo tarehe 11.02.2025 #RipMagoma
Tweet media one
4
58
472
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
1 day
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, akiungana na familia, viongozi na wanachama katika ibada ya kuuaga mwili wa Kamanda Dr. Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Manyara. #RIPMagoma
Tweet media one
4
78
793
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
2 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, atatoa hotuba maalum kwa Taifa siku ya Jumatano, 12 Februari 2025, saa 10 jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama, Mikocheni – Dar es Salaam. Waandishi wa habari wanakaribishwa. #Lissuanakuja
Tweet media one
22
97
570
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
2 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake jijini Dar es salaam. #Lissuanakuja
Tweet media one
11
47
236
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
2 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu ataongoza mazishi ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa Manyara, tarehe 11 Februari 2025, Matufa, Babati. Magoma amefariki jana, 09 Februari, katika Hospitali ya Muhimbili. Mungu ailaze roho yake mahali pema. #Lissuanakuja
Tweet media one
5
19
174
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
4 days
Tweet media one
1
31
403
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
4 days
Maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, Ikungi Tarehe 15.02.2025 yanazidi kupamba moto. Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Rose Mayemba atakuwepo kumsindikiza siku hiyo yakihistoria. #Lissuanakuja #Ikungiinaita
Tweet media one
18
64
562
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
4 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu. #Lissuanakuja
Tweet media one
3
46
618
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
5 days
Kuelekea mapokezi yakihistoria ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu tarehe 15.02.2025 nyumbani kwao Ikungi, Singida – muamko ni mkubwa! Kila mtu ATAKUWA Ikungi siku hiyo! Karibu ujiunge nasi tukashuhudie siku ya kipekee! #Lissuanakuja
Tweet media one
17
100
782
@Lissu_2025
Tundu Lissu 2025
6 days
RT @NamdiAzikiwe: "Jambo jema linaanzia nyumbani" Tarehe 13.02.2025 Tunaanza na #NyumbaniTarime kwa @HecheJohn na Tarehe 15.02.2025 tutakuw…
0
2
0