Peter Madeleka Profile
Peter Madeleka

@PMadeleka

Followers
137K
Following
4K
Statuses
12K

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Tabora, Tanzania
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@PMadeleka
Peter Madeleka
15 hours
@fatma_karume 🙏🙏
1
0
9
@PMadeleka
Peter Madeleka
18 hours
Tweet media one
6
21
338
@PMadeleka
Peter Madeleka
18 hours
😂😂😂😂
Tweet media one
9
25
233
@PMadeleka
Peter Madeleka
21 hours
NAKUBALI 💯💯
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
23 hours
Wakati tunapambana kupata tume huru ya uchaguzi, tunahitaji pia kupata mahakama huru na yenye kutenda haki sio kukandamiza haki! Kama unaweza kuwa na kosa lenye dhamana na ukaenda ukakosa dhamana kwa matakwa na visingizio vya hakimu na sio sheria! Hiyo sio Mahakama! Tupambane!!
1
12
113
@PMadeleka
Peter Madeleka
21 hours
NAKUBALI 💯💯
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
23 hours
Mahakama sio majengo ni huduma bora, ya haki na usawa, watanzania wanahitaji haki inayoonekana sio hizi za maneno maneno! Ni bora kupata haki chini ya mti kuliko kukosa haki au kuonewa kwenye ghorofa na masofa hayo!!!
0
6
43
@PMadeleka
Peter Madeleka
21 hours
NAKUBALI 💯💯
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
23 hours
Tuna mahakama ambayo mwenye tuhuma za ulawiti, ubakaji au ufisadi akienda mahakamani anapata dhamana lakini mwenye tuhuma za kutoa maneno ya kashfa ua uchochezi yenye uhusiano na uhuru wa kujieleza anakosa dhamana! Mahakama sio majengo ni huduma bora isiyo na rushwa au uonezi!!
1
6
71
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 day
@OtimbaSalayo 😂😂😂😂
1
0
8
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 day
Kwenye KESI hiyo hapo 👇, nitaieleza MAHAKAMA, namna ambavyo RUSHWA inatumika kama KIGEZO cha kupata URAIA wa Tanzania. Haiwezekani OFISI YA UMMA ikatumika kama BIASHARA BINAFSI ya watu KUJINUFAISHA kinyume cha SHERIA.
Tweet media one
17
45
200
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 day
Moja kati ya TAARIFA ZA UONGO zilizowahi kutolewa na UHAMIAJI kuhusu URAIA WA LADWA ni hiyo hapo 👇. UHAMIAJI wanadai kuwa kwa sasa LADWA ni RAIA WA UINGEREZA, kitu ambacho SIYO KWELI. Ndugu LADWA ana URAIA WA NCHI MBILI, yaani TANZANIA na UINGEREZA. Nawaletea NIDA yake, PUNDE.
Tweet media one
27
65
358
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
6
34
232
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
Asante sana ⁦@fatma_karume⁩ kwa ZAWADI hiyo 👇 ADHIMU uliyoniletea kutoka UINGEREZA. Mungu aendelee KUKUBARIKI SANA.🙏🙏
Tweet media one
23
87
731
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@fatma_karume Mimi ninachokifanya @fatma_karume ni KUTHIBITISHA kuwa hao watu SIYO WATENDA HAKI, bali ni WAKOMOAJI. Kama WATACHUKIA, shauri yao.😂😂😂
12
22
183
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@fatma_karume Nakubali 💯💯
2
1
14
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@EdwinNyakarash2 Mimi ni MADELEKA 😂😂😂😂
2
0
5
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
2
0
5
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@EdwinNyakarash2 Ingia kwenye mtandao wa Mahakama unaitwa TANZLII utakuta KESI ZOTE NILIZOSHINDA.😂😂😂
2
0
12
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@HoseaMwangende 😂😂😂😂
0
0
1
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 days
@OmaryIdd877935 😂😂😂😂
0
0
0