joeselasini Profile Banner
Mamwavi_Nkabasia Profile
Mamwavi_Nkabasia

@joeselasini

Followers
85K
Following
59K
Statuses
46K

Jesus is truly Present in the Eucharist.

Tanzania
Joined September 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
3 years
Mnaotaka tume hivi mnajua katiba tunayolalamikia ibara ya 74(12) inapinga na kupiga marufuku shughuli za tume kulalamikiwa? Tume itakuwaje huru ktk hali hiyo? Kwa hivyo polisi wakiiba masanduku au kuingiza kura hewa tume ikitangaza basi imetosha? Tafakarini kwa makini.
49
81
548
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 hours
@mugisha2049 Huyaoni hapo au umesoma haraka kama unaaga maiti? Hata kama alisababisha huko sio kihujumu uchumi? Hujui sheria inataka watu wa aina hiyo wafilisiwe?
0
0
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
17 hours
RT @godbless_lema: *Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Tundu Lissu @TunduALissu akiambatana na Naibu Ka…
0
198
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
23 hours
" Msiwe na deni kwa mtu yeyote, isipokuwa tu deni la kupendana. Ampendaye binadamu mwenzake anaitekeleza sheria. Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, kwa mapendo sheria yote hutimizwa." Rom. 13. 8-10
0
2
12
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
23 hours
"Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzimisha; Kama mtu angetoa baadala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharaulika kabisa." Wim 8:7
Tweet media one
0
1
3
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
1 day
Hahahaaaa!!!!
2
5
14
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
RT @DrCyrilo: Alidandia treni na magari, na wkt mwingine alitembea porini kwa miguu, katika safari yake ndefu kuelekea Tanganyika ya Nyerer…
0
13
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
RT @GAVANA2025: Changamoto inaanza na vyuo vikuu sababu vinaandaa machawa tupu, hakuna midahalo vyuoni, huwezi kuona Waziri/RC/DC ameenda c…
0
1
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
@GAVANA2025 Lazima vijana muibuke na kuanzosha ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni mamboleo.
0
0
1
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
@GAVANA2025 Walidhani waliokuwa wamewazunguka ni malaika.
0
0
1
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
RT @GAVANA2025: Kwanini hawakuandaa warithi(viongozi) wazuri badala ake wakatuachia haya mafisadi na majangili ua mali za umma?
0
1
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
@Jaydenkayden255 Jamii imeoza.
0
0
1
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
0
1
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
Kabla shetani la rushwa halijaikumba Afrika wazee wetu walipambana tupate heshima ya kujitawala. Baada yao Afrika imejaa vibaraka wa mabeberu na kurejesha ukoloni mamboleo.
Tweet media one
0
3
8
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
Hii haitoshi anaweza kuwa na wazazi lakini sio mfano mzuri kutokana na maisha yao. Familia nyingi zina vita ndani, nje utadhani malaika. Muombe Mungu kuna mayatima na watoto wa "single mothers" wema na wenye hofu ya Mungu. Mke mwema ni zawadi ya Mungu anaweza kuitoa popote.
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 days
Kuna mzee aliniambia jitahidi sana uoe mwanamke ambaye anatokea kwenye familia yenye baba na mama sijui alikuwa na maana gani?
0
0
6
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
@MigunaMiguna @GeoffreyRa64531 @realDonaldTrump @elonmusk @Julius_S_Malema Bravo Mr. Malema. Donald Trumph was not elected the President of the word but America. He must draw the lines and respect sovereignty of other countries.
0
0
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
RT @MigunaMiguna: Dear ⁦@realDonaldTrump⁩ and ⁦@elonmusk⁩: Mr. ⁦@Julius_S_Malema⁩ has sent you a memo to help you understand the issue of l…
0
712
0
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
2 days
Tukiacha ushabiki hii ni ibada kubwa sana. Ni agizo la Mungu kuwajali wahitaji na wanyonge ktk jamii. Natamani makundi yote ktk jamii yapewe kipaumbele kushirikishwa ktk matukio kama haya kuonyesha tunawajali. Anayewajali wenye shida yupo na Mungu.
0
6
21