![Mohammed Lada Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1321070158564253696/z0BYlNCC_x96.jpg)
Mohammed Lada
@mohammed_lada
Followers
73
Following
3K
Statuses
445
Zanzibar Born and Bred
London, England
Joined October 2020
@hassankham1s Nyie wazawa ni wachochezi, ndio maana tunakupeni special status. Bado mtushukuru hapo
1
0
0
@shajaratmubaraq @Rydx_017 @amprincess9 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @JayleenRickie @MissChelsea1221 Hakusema azikwe kiislamu, amesema azikwe kama Waislamu kwa vile maziko yetu Sisi hayana gharama, Sikiliza kabla hujaropokwa
2
0
21
@hassankham1s Mwenyezi Mungu Awarehemu waliokwisha kutangulia mbele ya Haki, Na Sisi pia atujaalie Mwisho Mwema, Ameen
0
0
1
@mamkufunzi Vita vya Urusi na Ukraine,uchumi wa Ujerumani umeporomoka vibaya. Mafuta ya bure ya Russia kwisha
0
0
0
@hassankham1s Hebu tuacheni tusherehekee Uhuru wa Tanzania.mnatuchokora tu Tanganyika tumeizika zamani . Uhuru ni wa Tanzania tuacheni
1
0
0