![Hassan Khamis ๐ต๐ธ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1866441080100536320/siKwqQ60_x96.jpg)
Hassan Khamis ๐ต๐ธ
@hassankham1s
Followers
15K
Following
16K
Statuses
15K
Proud Zanzibari embracing the beauty, culture, & history of my beloved island. Join me as I share my love for Zanzibar's pristine beaches, vibrant spice market.
London & Zanzibar
Joined November 2010
Farewell to the Late Ahmed Rajab With deep sorrow, we bid farewell to Ahmed Rajab, an esteemed international journalist, political analyst, essayist, and columnist. His unwavering dedication to truth, justice, and intellectual discourse has left an indelible mark on journalism and society. Through his words, he challenged, enlightened, and inspired many across the world. May Allah (SWT) grant him boundless mercy, forgive his shortcomings, and elevate his rank in Jannah. May his legacy continue to guide and inspire future generations. Our thoughts and prayers are with his family, friends, and all who mourn his loss. Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiโun.
1
5
14
TAARIFA MUHIMU Kutoka kwa familia - kulikuwa na mkanganyiko kidogo kuhusu eneo la maziko. Walipatiwa anwani isiyo sahihi ya makaburi. Hii hapa ndiyo anwani sahihi: Gardens of Peace Maylands Field, Colchester Rd, MAIN GATE, Romford RM3 0NZ Anwani ya msikiti bado ni ile ile. Maelezo ya maziko: ๐
Tarehe: Jumanne, 11 Februari 2025 ๐ Anwani: Al Noor Mosque, 170 Gascoigne Road, Barking, Essex, IG11 7LH โฐ Muda: Saa 4:00 asubuhi Baada ya maziko, tutakusanyika tena katika Msikiti wa Al Noor kwa ajili ya swala ya Dhuhr na dua zaidi kwa baba yetu mpendwa. Tutafurahi sana ikiwa utaweza kuungana na familia huko. Tafadhali endelea kutukumbuka kwenye dua zako. ๐คฒ๐พ Ameen.
0
1
6
Taarifa ya Janaza ุฅููููุง ููููููู ููุฅูููู ุฅููููููู ุฑูุงุฌูุนูููู Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake tutarejea. Kwa huzuni kubwa, tunawatangazia kifo cha baba yetu mpendwa, babu, rafiki, na mwenzetu, Ahmed Rajab. Maelezo ya Janaza, inshaAllah, ni kama ifuatavyo: Tarehe: Jumanne, 11 Februari 2025 Anwani: Msikiti wa Al Noor, 170 Gascoigne Road, Barking, Essex, IG11 7LH Muda: Saa 4:00 asubuhi Mazishi yatafanyika mara baada ya sala ya Janaza, saa 5:30 asubuhi, inshaAllah, katika anuani ifuatayo: Makaburi ya Garden of Peace Five Oaks Corner 1-2 Five Oaks Lane Chigwell Essex IG7 4QP Baada ya mazishi, tutarejea Msikiti wa Al Noor kwa ajili ya sala ya Dhuhr na dua zaidi kwa baba yetu mpendwa. Tutashukuru sana ikiwa mnaweza kuungana nasi kwa ajili ya kumuombea. Tafadhali endeleeni kumuombea yeye na tusijisahau na kujiombea sisi wenyewe pia. Ameen.
0
0
2
Janazah Announcement ุฅููููุง ููููููู ููุฅูููู ุฅููููููู ุฑูุงุฌูุนูููู Verily to Allah we belong and to Him we shall return It is with great sadness that we inform you of the passing of our beloved father, grandfather, friend, and comrade, Ahmed Rajab. The details of the Janazah, inshaAllah, are as follows: Date: Tuesday, 11 February 2025 Address: Al Noor Mosque, 170 Gascoigne Road, Barking, Essex, IG11 7LH Time: 10:00 AM The burial will take place immediately after at 11:30 AM, inshaAllah, at the following address: Garden of Peace Cemetery Five Oaks Corner 1-2 Five Oaks Lane Chigwell Essex IG7 4QP Following the burial, we will gather back at Al Noor Mosque for Dhuhr and further prayers for our beloved father. We would appreciate it if you could join the family there. Please continue to keep us in your thoughts and prayers. Ameen.
0
4
6
Updates za Maziko ya Al Marhoum Shk Ahmed Rajab: Released form has been signed off by both Hospital and Coroner! However, the hospital has sent deceased body to Mortuary which is closed for the weekend. Tentatively, family is expecting to have the deceased by Monday and burial proceeding will take place on Tuesday, 11 Feb 25 after Dhuhur prayer. Confirmation will be sent out on Monday or as soon as the deceased is in familyโs possession. Allah Rahma wa Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajioun
3
6
22
@IAMartin_ Unayo Hoja na inahitaji majibu ya kina, ninavyojua hawa jamaa hata hayo "KUNGUNI" wao hawatojibu!
0
0
10
RT @IsmailJussa: Happy Birthday Mwenyekiti wa Chama, Ndugu Othman Masoud Othman. Nakuombea kila la kheri na mafanikio katika mwaka huu ambaโฆ
0
25
0
@DunstanDunstan8 @ahmedrajab Tuwe pole wote, mzee wetu sote na tumejifunza mengi kutoka kwake.
1
0
1
RT @othmasoud: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha kaka yetu, Ahmed Rajab kilichotokea London jana. Zanzibar tumeondokewaโฆ
0
30
0