Kitila Mkumbo (PhD)
@kitilam
Followers
146K
Following
5K
Media
512
Statuses
4K
Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!
Tanzania
Joined September 2013
Ninamshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kwa imani aliyonipa katika kusimamia sekta ya viwanda na biashara. Ninamuahidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Aidha, ninawaahidi watanzania ushirikiano katika kuhakikisha sekta hii inachangia kikamilifu katika uchumi na ustawi wa watu wetu.
302
80
1K
Huu ni udikteta kwa mujibu wa sheria. Aibu!.
#MICHEZO Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Msemaji wa @yangasc1935 Haji Manara kujihusisha na soka kwa miaka miwili na faini ya Tsh. Mil 20.
556
152
1K
Namshukuru mhe Rais @MagufuliJP kwa heshima aliyonipa katika kutumikia nchi yetu katika nafasi ya Katibu Mkuu. Mungu anisaidie.
382
282
1K
One of the cleverest women/politicians in TZ. Her performance in parliament has been outstanding, raising extremely hard but very important issues that give govt ministers a huge homework, always unfinished business. Heko Mhe Halima Mdee @halimamdee
505
90
1K
Sifa moja ya ujinga ni kwamba huwa lazima ujianike. Ujinga hauna uwezo wa kujificha! Tuendelee kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo ya wataalam wa Afya na viongozi wetu.
@mwigulunchemba1 anashauri kwamba wagonjwa wapya wa CORONA wasitangazwe tena nchini.Wewe una maoni gani ?.@fatma_karume @halimamdee @arnoldringo @HecheJohn @wizara_afyatz @shilinde_cc @YerickoNyerere @HildaNewton21 @kitilam @ITVTANZANIA @ccm_tanzania @CarolNdosi.
316
180
1K
Elimu sio tukio, ni mchakato. Ulikuwa Mayor for five years na shule zote za umma mliziacha zikiwa hoi. Ulikuwa busy kufanya maandamano na ukatelekeza kazi yako ya msingi. Tunapambana kurekebisha na kwa mipango iliyopo na utekelezaji wake unavyokwenda tutafanikiwa.
Hii shule Mbunge wake ni Kitila ambaye Profesa wa Elimu. !. Juzi alikuwa Mburahati kawalisha Ubwabwa wawazi wao kaondoka zake.
296
45
672
Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi. Tuwe naye bega kwa bega.
114
147
537
Tulia. Acha kujifariji. Nipo mitaani kila siku. Nimekaba kila kona hakuna pa kushika. Nakusubiri kwa hamu, kama utapenya katika chama chako maana huko nako hali yako kisiasa ni changamoto. Pole sana.
Wanangu wa Mabibo wanataka Kutapeliwa Kizembe sana,ngoja nikawatonye fasta. Mtu ajakanyaga mtaani miaka 4,.anakuja kutokea kapanda juu ya pikipiki na uongo wa kugawa mashamba bila mbegu,mbolea,madawa,pesa ya Vibarua na shamba lenyewe usikute ni kijiji kwao Singida. Hayo mambo
337
32
502
@Advocate_Jebra Jebra, na wewe unataka demokrasia ya kupisha/kupeana mezani? Mwanaharakati unaogopa uchaguzi, vipi tena? Acha hii kitu ikaamuliwe katika debe!.
111
19
379
Wewe ni kiongozi, jenga hoja. Kama ni wanafiki katika siasa za TZ wapo na wanajulikana. Nenda nyuma kidogo hadi uchaguzi wa 2015 utawakuta!
@kim_matinyi @kitilam Huyu Kitila ni mnafiki wa kiwango cha juu sana👌.
107
51
348
Ahsante na hongera Mhe RC Dar kwa hatua hii muhimu. Hivi ndivyo majiji yanavyoendeshwa. Ubarikiwe. @jokateM @Kheri_D_James
51
30
339
Wapo watu wanaotuambia kuwa maendeleo siyo muhimu, muhimu ni harakati wanasema chagueni harakati achaneni na maendeleo, tunasema tutachagua maendeleo kwa sababu harakati hatuwezi kula. CHAGUA MAGUFULI.CHAGUA KITILA.CHAGUA CCM.#UbungoYaKijani
183
20
330
Dk Mwakyembe amewasaidia sana wajumbe wa TLS kujua kwa nini wanapaswa kumchagua @TunduLissu. Nawatakia uchaguzi mwema na TLS imara.
35
128
327
Bado natafakari mstari sahihi wa kumjibu huyu “Nabii” kati ya hii ifuatayo: .Mithali 26:4: Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye au: Mithali 26: 5: Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Anatafuta UTEUZI anapandisha presha ili aonekane tishio kwa chama chake.Anajua akifanya hivi watatafuta njia ya kumziba kinywa kwa kumpa uwaziri.Huu ni mchezo wanajua kuufanya.Huyu ni mtu wa kupuuzwa kwani attention na chakula kwake vina msingi kuliko utu na haki.
215
44
326
Thank you Your Excellence @SuluhuSamia for your Maiden Speech at UNGA. You appropriately addressed the theme of the conference calmly, confidently and eloquently. You made us all proud as a country and a continent! Kazi Iendelee.
75
30
319
Ni makala nzito. Pamoja na mambo mengine, Rais @SuluhuSamia ameanika falsafa yake ya uongozi, kwamba yeye sio mhafidhina wala mliberali. Hii inaitwa pragmatism (Kisw chake bado). Ni imani katika kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi na kwa mahitaji sahihi! Zaidi hapa chini 👇.
89
27
306
Thank you @RailaOdinga for rightly deciding to seek redress through the Supreme Court. You truly are a father of democracy in the region.
37
82
300
Tunamkaribisha katika kinyang’anyiro. Tupo tayari kwa mapambano ya hoja.
Mayor @MayorUbungo karudishwa kwenye kinyang’anyiro Ubungo; @kitilam arudi kufunga mabomba 🙌🏾😁.
64
11
290
Nakubaliana na Mhe Prof Manya. Sio sawa kuwapeleka watoto boarding katika umri mdogo. Tabia ya mtoto huumbwa katika miaka ya kwanza 14. Wazazi tulee watoto wetu ili wawe na tabia tuzipendazo. @MabalaMakengeza @RichardShukia
65
70
299
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR),.
Serikali ya Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Serikali ya Korea Kusini na kutoa sehemu yake ya bahari na kuruhusu madini muhimu ya kimkakati kuchimbwa. Serikali ya Tanzania imekopa kiasi cha $2.5 bilioni (TZS 6.5 trilioni) kutoka serikali ya Korea Kusini. Mkopo huo utalipwa
359
53
290
I'm so happy for Dr @mwelentuli appointment at WHO-AfRO. I feel absolved for having criticized the TZ authority for sacking her at NIMR.
25
83
276
@IAMartin_ Toooooo late! You have been exposed to the core. Şaşa ambao walikuwa hawawajui wanawajua ipasavyo. Ukweli hukwea polepole lakini hatimaye lazima ufike!.
57
24
269
@zittokabwe Hoja ya msingi ni hizo hela zinakwenda wapi. Tunajua kwa dhati kabisa fedha inayokopwa inakwenda kwenye miradi ya maendeleo na inaonekana. Ni wewe uliyeshauri kwa bidii kuwa tusijenge miradi hii kwa hela za ndani.
199
27
247
Tumeshapendekeza hivyo kwamba mtihani wa taifa utungwe kwa lugha ya Kisw na Kiingereza halafu mtahiniwa achague lugha anayotaka kutumia. Na hiyo ndiyo spirit ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014.
@AustinLight2020 @JifunzeSwahili @expedia_team @DrOnesmoMushi1 @SwahiliBible @kitilam @Udadisi @HakiElimu angalau mtihani wa taifa utungwe kwa kiswahili pamoja na kwa kiingereza.
120
36
242