Halima James Mdee
@halimamdee
Followers
1M
Following
7K
Media
2K
Statuses
21K
....................
Dar es Salaam,Tanzania
Joined May 2011
Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga ππβπΏβπΏ.
2K
703
12K
Uchaguzi HUU , UMENIPA faraja moja kubwa sana . kumbe @MagufuliJP unajua hukubaliki wewe wala CHAMA chako, maana sio kwa WIZI huo wa KURA tena wa KITOTO. lakini YOTE kwa YOTE. KILA MMOJA wenu ATALIPA kwa WAKATI wake! DHULUMA hii, haito waacha salama KAMWE. hata mkituua.
472
453
5K
Salaam Ndugu zangu wapendwa sana!! Kwa HESHIMA kubwa SANA! Naomba kutumia FURSA HII kuwashukuru SANA kwa UPENDO na MSHIKAMANO wenu kufuatia HUKUMU iliyotolewa dhidi yetu tarehe 10/3. Leo mimi , Ester Matiko na @esteramosbulaya tuko HURU kwa sababu YENU!! Asanteni SANA!ππΏππΏππΏ.
437
379
5K
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU. ββββββ!!!!.
157
310
4K
Hizo ni KURA za @MagufuliJP ambazo zilikuwa ZIMESHAPIGWA tayari na MIHURI JUU. zikiwa kwenye CHUMBA cha kupigia kura kwenye MABEGI(backpack)zaidi ya 10. yakiwa kwenye Vituo vya KUPIGIA kura. ndio maana kura za MAGUFULI zilikuwa 100,000 zaidi. πwalizipiga bila kutumia Akili.
438
420
4K
Hako kapicha, ka enzi HIZO nilikuwa mlugaluga/kauzu sana. lakini NAJIVUNIA nako sababu ni sehemu ya HISTORIA yangu! Mhe. @MagufuliJP kama kweli wasaidizi wako wanamshikilia @IdrisSultan sababu ya ile picha yako. ambayo hata mie niliipenda, ni matumizi MABOVU ya fedha za UMMA.
444
157
4K
Asante sana Kamanda @TunduALissu kwa kutupokea kwenye MAKAZI yako leo! Tunakupenda na KUKUTHAMINI sana !!!! βββ
127
144
4K
Kamanda @ChademaMdude!!Tutakupigania, hata kama HAKI yako ITACHELEWA. HATUTACHOKA. Walijaribu kukuua MARA TATU, Mungu akakataa!! Eti leo umekuwa MHUJUMU UCHUMI??eti NAWE unashughulika na DAWA za KULEVYA??GIZA haiwezi shinda NURU.Pambazuko LINAKARIBIA.
215
208
3K
Sheikh PONDA UTABAKI kwenye HISTORIA ya NCHI hii kwa kuwa miongoni wa VIONGOZI WA DINI wachache SANA mliojitoa KUSIMAMIA HAKI na KWELI! Asante SANA SHUJAA wangu!! βπΏβπΏβπΏβπΏπͺπΏ#FreeSheikhPondaIssaPonda
102
268
3K
Ndugu zangu wa CCM , jimboni KAWE walikuwa na UHABA wa KUTOSHA wa MAWAKALA. !!!naona @TumeUchaguziTZ mmeliona, mkaamua kuongeza siku. Tunashukuru LAKINI. .
148
223
3K
Mhe. @MagufuliJP huyu dogo ana kipaji sana na pia ni mwanamitindo mashuhuri. siamini kabisa kama kale kapicha ndio kamekukasirisha. mbona wengi tuna picha flani hivi za kufurahisha za enzi HIZO. Tafadhali waelekeze watu wako waache kuumiza WATU kwa VIJIMAMBO!#FreeIdrisSultan
182
170
3K
Haki HAIOMBWI, HUPIGANIWA, HUDAIWA. maana ni HAKI. Wanafunzi wa VYUO Vikuu kama MMEDHULUMIWA STAHIKI ZENU, ni wajibu WENU KUDAI KILICHO HAKI Na STAHILI yenu. Wakati SISI TUNASOMA, TULIDAI kwa VITENDO kilicho CHETU! HATUCHUKULIWI POA POA kama Nyie!#vijanaNGUVUyaMABADILIKO.
250
205
3K
Nikiwa pamoja na Mhe.@esteramosbulaya, Mhe.@AgnestaL- Mwenezi BAWACHA Taifa na OUR 'NEW EDITION', Binti yetu NEEMA. Mshindi wa KURA ya MAONI , JIMBO la MOMBA. Leo tuliitembelea FAMILIA yake, kuipongeza kwa KUMUUNGA Mkono Binti YAO katika safari yake ya USHINDI. ββ
105
116
3K
Mhe.β¦β¦β¦@freemanmbowetzβ© , utavuka HILI kama ulivyofanikiwa KUYAVUKA na KUYASHINDA MENGI. Hakika wewe ni MWAMBA!!
124
145
3K
Mhongajiβ¦. Na MUHONGWA!! Rais wa CAF akimrejeshea SHUKRAN MATCH OFFICIALβ¦.BAADA ya kuibeba β¦@Masandawanaβ© !!!
377
118
2K
Nimepokea kwa MIKONO miwili HUKUMU ya BUNGE βIMARAβ la Tanzania! Kwa kuunga mkono kauli ya CAG kwamba BUNGE LETU ni βDHAIFUβ. Kama walioniadhibu wanafikiri WAMENIKOMOA, wamekosea SANA. Nilitaja SABABU 21 za kwa NINI niliunga mkono KAULI ya CAG! Nitaziweka WAZI hivi KARIBUNI !π.
265
254
2K
Maafisa wa TUME waliokuwa wamehifadhi KURA ZILIZOPIGWA TAYARI za wagombea wa @ccm_tanzania jimbo la KAWE kwenye MABEGI na VIROBA ndani y vituo, wakiwekwa CHINI ya ULINZI.Hata hivyo MAJAMBAZI haya yaliachiwa na BOSI wa polisi wilaya ya KAWE muda mchache baadae.
195
287
2K
BWANA mdogo @millardayo umeiona na HII. wakati mwingine kwa AJILI ya CREDIBILITY ya Chombo chako, JIFUNZE kubalance STORY! Hawa WATEULE wanapita TU. AYO TV itabaki!
241
202
2K
Ofisi yetu ya @Chademakaskazni imechomwa moto na kuteketea yote usiku wa kuamkia LEO. ikumbukwe Mgombea URAIS @TunduALissu ameanza jana ziara ya kutafuta wadhamini KANDA ya KASKAZINI!! Tunawaambia @ccm_tanzania. #VITISHO vya KISHAMBA sasabaaaaaaaaaaaaasi ββ
300
202
2K
ππππ SPANA zipo, nasubiria adhabu iishe. na MVUA IMENIBARIKI SANA. π.
Nileteeeeni gwajimaaaaaa.Nileteeeeeeni gwajimaaaaa.Nileteeeeeeni Gwajimaaaaaa. πππππππ. @halimamdee ongeza spana!!!.
144
165
2K
Baada ya KITU KIZITO cha WATANI wa JADI JANA πππβ¦. Leo AMEZALIWA PACHA na RAFIKI yangu KIPENZI π₯π₯β€οΈ!! Heri ya SIKU ya KUZALIWA RAFIKI yangu β¦@esteramosbulayaβ© .
167
72
2K