![Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1753761214511882240/AHMDxXJi.jpg)
Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
@wizara_afyatz
Followers
242K
Following
891
Media
6K
Statuses
7K
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania. Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
Dodoma, Tanzania
Joined February 2015
"Kwa kipindi cha masaa 24 tangu jana Alhamis Machi 27, 2020 jumla ya sampuli 26 zimewasilishwa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na zote zimethibitishwa hazina maambukizi (Negative), hivyo bado waliothibitika kuwa Positive ni 13 mpaka sasa" @umwalimu
83
82
797
Uongozi, Menejimenti na Watumishi wote wa Wizara ya Afya tunakupongeza @DocFaustine kwa ushindi wako wa kishindo kwenye Uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika.
48
191
745
MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI.Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya. #ChukuaTahadhari .#Covid19Tanzania
105
159
681
โWakati tunaendelea kukabiliana na janga la Corona tukumbuke kuwa kuna magonjwa mengine kama ya moyo, kisukari, maralia, figo na ya kuambukiza ikiwemo Ukimwi na TB. Hivyo basi mgonjwa wa aina hii akifika katika kituo cha afya anatakiwa kutibiwa na siyo kukimbiwa.โ @umwalimu
39
63
539
Waziri @ummymwalimu amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya METL Mohammed Dewji @moodewji kwa kuahidi kufadhili masomo kwa madaktari wawili watakaosomea masomo ya ubingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu nje ya nchi.
25
57
511
Katibu Mkuu Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Prof. Mabele Mchembe amewasili kwenye ofisi ndogo ya wizara iliyopo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa wizara hiyo Mh.@umwalimu
24
41
511
Mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 katika baadhi ya mikoa hapa nchini kwa siku ya jana kwenye vituo vya umma pekee ilikua kama ifuatavyo:.Tanga wagonjwa - 0.Amana - 3.Mloganzila - 1.Kibaha - 0.Mwanza - 0 .@ummymwalimu.#ZiaraYaWaziriMkuuTanga.#JikingeWakingeWengineCoronaInazuirika
102
34
519
Waziri @ummymwalimu amesema ugonjwa wa Corona unaelekea kuisha nchini Tanzania ambapo zaidi ya Mikoa 15 haina mgonjwa wa Corona ikiwemo Dodoma. Na Mikoa yenye wagonjwa imethibitisha kuwa wanaendelea vizuri lkn ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari.
50
36
521
"Watanzania tusifanye mzaha, huu ugonjwa wa Corona sio wakufanyiwa mzaha, wenzetu wa nchi zilizoendelea pamoja na uchumi wao kuwa mkubwa na sayansi yao kubwa, lakini wamefika mahali wameshindwa, hizi tahadhari za msingi ambazo tunaelekeza ni muhimu kuzizingatia " @anyitike_pm
58
77
507
Ukweli ni kwamba Mkurugenzi wa @TaasisiMoyoJKCI Prof. Janabi amewapangia watumishi wake majukumu ya vitengo kwenye taasisi yake ikiwa ni sehemu ya jitihada katika kuboresha utoaji huduma bora kwa wananchi. Na sio kujiuzulu kama baadhi ya watu wengine walivyopotosha umma.
49
65
480
Kumradhi, kurasa rasmi ya Wizara ya Afya Tanzania @wizara_afyatz ilihujumiwa na watu wenye nia mbaya. Sasa imerudishwa kweny hali ya kawaida na kuongezwa taarifa za usalama zaidi. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
63
33
471
Taarifa ya kuwepo wagonjwa wapya 14 nchini wa Corona (Covid-19) kama ilivyotolewa leo 13.04.2020 na Waziri Mhe. @umwalimu. #chukuatahadhari.#coronainazulika
48
72
463
"Zaidi ya watu 1,900,000 Duniani wameambukizwa na virusi hatari vya Corona, na kati ya hao watu 121,000 wamepoteza maisha, huu ni ugonjwa unaoua kwa idadi kubwa sana, toka tuanze karne ya hii ya 21 hakuna ugonjwa ambao umeua watu wengi kwa muda mfupi kama Corona," @anyitike_pm
30
51
417
"Kisa cha kwanza cha mgonjwa wa Corona chathibitika nchini Tanzania" @umwalimu. Ni ya msafiri Mtanzania aliyetembelea nchi za Sweden, Denmark na Ubelgiji.
48
79
407
"Tunawashukuru Wakunga wote watanzania kwa kazi kubwa na nzuri ambayo wanaifanya katika kuwahudumia akina mama wajawazito na watoto wachanga". @umwalimu.#SikuYaWakungaDuniani
17
39
381
โKupitia umoja wenu wa TPMA, naomba tujikite katika kuzalisha vifaa kinga ili kukabiliana dhidi ya Corona, tukizalisha hapa nchini tutaokoa fedha nyingi, tutazalisha ajira na kuwa na uhakika wa ubora na usalama unaohitajika kupitia mamlaka zetu za ndani kwa urahisiโ @umwalimu
23
34
355
"Kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19, kimetokea leo machi 31, 2020, marehemu akiwa ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 49, ambae pia alikuwa akisumbuliwa na maradhi mengine " @umwalimu
23
76
323
"Kumekuwa na upotoshaji wa taarifa juu ya maambukizi ya Virusi vya Corona , wito wangu kwenu ni kupata taarifa hizi kupitia vyanzo vinavyotambulika, wakiwemo Wataalamu walioteuliwa na Wizara ya Afya, tovuti ya Wizara ya Afya na mitandao ya kijamii ya Wizara ya Afya " @anyitike_pm
29
35
333
Wizara ya Afya imemfutia deni la milioni 9 mwanafunzi Lightnes Shurima ambalo alikua akidaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kutokana na matibabu ya Marehemu Baba yake aliyekua anatibiwa hospitalini hapo. @ummymwalimu
41
18
328
Nani kuibuka kidedea leo kati ya Timu @jobdick05 na Timu @KibwanaShomar15 leo katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro ๐ค. @wizara_afyatz tunawapongeza wachezaji hawa wazalendo kuja na Kampeni hii #WapeTabasamu inayolenga kuboresha huduma za afya kwa wenye uhitaji. @ummymwalimu
6
17
324
"Katika kupambana na ugonjwa wa Corona Serikali kupitia Wizara ya Afya inakabidhi vifaa vya kunawa mikono (sanitizer) lita 150 , Dispensa 30 na vifaa maalum vya kunawia mikono Mkoa wa Songwe na mikoa yote ya mipakani kama sehemu ya kupambana na maambukizi ya hayo" @anyitike_pm
16
48
311
Hongera Mhe. @JenisterMhagama kwa kuteulia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Afya.
50
29
322
"Dereva na kondakta hakikisheni kila anaepanda gari lako amenawa mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka au ametakasa mikono yake kwa Sanitizer ndio aruhusiwe kuingia kwenye gari, huu ugonjwa jamani ni hatari na umeua watu wengi" @anyitike_pm. #MikonoSafiTanzaniaSalama
23
58
316
Tangazo la Ajira Kada za Afya, nafasi 9,483 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Bofya kiunganishi hiki kupakua tangazo hilo #MtuniAfya #TunaboreshaAfya
33
72
315
"Leo tarehe 30 Machi 2020 tumethibitisha kuwepo wagonjwa wapya watano wa COVID-19, hivyo jumla ya wagonjwa sasa ni 19, huku kati ya wagonjwa 19, watatu wanatoka Dar es Salaam na wawili watoka Zanzibar," @umwalimu.
28
39
296
@IAMartin_ Kuwa mwanaharakati kunakupa nafasi ya kuzungumza yale ambayo unaona ni sahihi na kuishauri Serikali na Viongozi wake kwa lugha ambayo ni ya staha kwa kuzingatia maadili ya Kitanzania, utu na faragha za watu. Mhe. Ummy Mwalimu ni Kiongozi na Kioo ndani ya Jamii, huku ulipofika si.
308
30
311
EID MUBARAK. "Nawatakia Waislamu na Watanzania Wote Sikukuu njema ya Eidd. Iwe Sikukuu ya Furaha, amani na Baraka". @ummymwalimu
14
33
297
Vote for @DocFaustine to be WHO AFRO Regional Director. The moment has arrived for transformative leadership. It is time to revitalize and reposition WHO AFRO.
15
82
298
TAARIFA KWA UMMA. KUHUSU KUSITISHA UTARATIBU MPYA WA HUDUMA YA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) @nhiftz
62
61
284
Waziri @ummymwalimu leo ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya kanda ya kusini iliyopo mkoani Mtwara ambayo inagharimu Bilioni 15.8 na ujenzi wake umefikia 80%. Waziri Ummy amesema Hospitali hiyo itasaidia kupunguza shida ya huduma za kibingwa kwa wakazi wa mikoa hiyo.
12
15
287
Waziri @umwalimu ametoa Hadubini 57 zitakazotumika kama kupima Kifua kikuu (TB) katika Mkoa wa Dodoma ambapo 7 kati ya hizo zitapelekwa katika vituo vya afya mbalimbali vya Wilaya ya Chamwino. Serikali imenunua Hadubini 941 zenye thamani ya Bilioni 3.3 zitakazopelekwa nchi nzima.
13
20
282
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, @umwalimu leo amemkaribisha Katibu Mkuu mpya wa wizara hiyo Prof.Mabula Mchembe na Mganga Mkuu wa Serikali Prof.Abel Makubi na kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula ambaye amehamishiwa Wizara ya Mawasiliano.
6
28
275
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Mwalimu Julius Nyerere imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na mtoto. Hii inafuatia baada ya Waziri @ummymwalimu kufanya ziara na kuitaka kuanza kutoa huduma kabla mwezi Agosti haujaisha.
20
34
271
"Kikubwa kwa sasa ni kuwatoa hofu Watanzania juu ya ugonjwa wa corona, tulianza kuandaa uwanja wa sabasaba na kuweka vitanda 1000, lakini kwa sasa tumerudisha kwani maambukizi yanaendelea kupungua kwa kasi" @umwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
22
22
267
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais, Mama @SuluhuSamia amemtunuku tuzo maalum Waziri wa Afya, Mhe. @ummymwalimu kwa kutambua mchango wake na kuwakilisha Wanawake vizuri katika majukumu yake. Tuzo hiyo imetolewa leo ktk Mkutano wa UWT Dodoma.
15
17
262
Taarifa ya kuwepo kwa kesi mpya 4 za ugonjwa wa Corona nchini kama ilivyotolewa na Waziri Mhe. @umwalimu leo 06.04.2020.
32
61
260
"Wapo wanatoka mijini na kwenda vijijini, viongozi wetu wa dini naomba mtusaidie, watu wanapaswa kujitafakari kama kuna ulazima wa kusafiri, ili kupunguza hatari ya kusambaza maambukizi ya Corona kwa wazee na walezi wetu. Sisi tunashauri kipindi hiki msiende vijijini.โ@umwalimu
15
25
265
Waziri @umwalimu amekabidhi gari iliyotolewa na Wizara ya Afya itakayotumika kuratibu shughuli za Malaria za Mkoa wa Songwe. Gari hilo limekabidhiwa kwa Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. David Kafulila wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya Wilayani Chunya.
10
12
256
Taarifa ya Serikali kwa umma kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19). #Jikingewakingewengine.#Coronainazuilika
21
52
229
"Wale ambao mmevaa Barakoa zile ambazo zinatakiwa kutupwa baada ya kutumika, ukumbuke kabla hujaitupa uitoboe ili mtu mwingine asiweze kuiokota na kuisafisha na kuirudisha katika mzunguko jambo litalosaidia kuepusha magonjwa ya mlipuko hususan ugonjwa wa Corona" @anyitike_pm
18
39
223
"Dawa zipo, fuateni Mwongozo wa Taifa wa Matibabu, kama Dawa A hakuna Mwongozo unasema toa Dawa B. Na siyo kumwambia mgonjwa Dawa hakuna" Mhe Ummy Mwalimu @umwalimu
12
34
221
MTAMBO WA KUTIBU MAGONJWA ZAIDI YA 10 WAZINDULIWA MUHIMBILI. Hospitali ya @muhimbili_taifa leo imezindua mtambo unaotumia hewa tiba yenye mgandamizo ya oksijeni (Hyperbaric Medicine Treatment) ambao unatibu magonjwa zaidi ya 10 na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza katika
32
42
213
โWazazi tusiwalazimishe watoto wetu kusoma udaktari, tuwaache watoto wenyewe wapende maana udaktari ni kazi ambayo mtu anatakiwa aipende mwenyeweโ Waziri @ummymwalimu
25
59
218
"Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Wadau imekamilisha mwongozo wa Kitaifa wa kujitolea unaotoa utaratibu wa namna Hospitali na Vituo vya afya kutumia wahitimu wa kada ya afya ambao hawajaajiriwa ili waweze kutumika rasmi katika utoaji wa huduma za afya kwa kujitolea."@gwajimad.
25
25
214
Waziri @ummymwalimu ametoa maelekezo kwa Waganga Wakuu wa Mikoa yote Nchini kupeleka Orodha ya Madaktari Walioajiriwa mwezi Mei 2020 ambao hawajaripoti katika vituo vyao ili kutoa nafasi kwa madaktari wenye shida ya ajira. Hii ni kutokana na siku 14 za kuripoti kumalizika.
8
15
217
Waziri @umwalimu amekutana na Balozi wa Dermank-Tanzania Mette Spandet, na Balozi wa Ireland Paul Sherlock ambao waliambatana na maafisa kutoka Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Uingereza(DFID) na UNICEF jijini DSM na kujadili jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona nchini.
24
33
207