![Kibwana Shomari Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1887059817140740097/OE6zPiWG.jpg)
Kibwana Shomari
@KibwanaShomar15
Followers
165K
Following
10K
Media
562
Statuses
8K
@YoungAfricansSC and National team player. 💚💛🇹🇿 #TeacherThings 😃
My 𝗚𝗢𝗗 will never fail.
Joined May 2021
Anaye nikaba anaongea kizulu afu anaye omba pasi anaongea Kilingala afu na Mimi Mluguru bhana weeeh. 😃😃. #TeacherThings 😃
199
178
5K
Ukienda Ofisi kama hizi ukaona Matunda Matunda na Pipi usile ni Mapambo tu. 😀. #TeacherThings 😀
178
89
4K
Kuna mwanangu kwenye Ndege akiona Hostess wa kizungu anakuja upande wake ye anajifanya amelala sijui huwa anakwepa nini au anaogopa Lugha. 😀. #TeacherThings 😀
120
65
3K
Yaani kile kikosi chake ndio kilitakiwa kiwe changu kifupi nimeibiwa Wachezaji wengi sana. Sijui nikate rufaa?!!😂😂. #WapeTabasamu imefana sana.
66
75
3K
Naitwa Kibwana Ally Shomari.Mchezaji wa @yangasc1935 na National team ( @TaifaStars_ ) na Hii ndio official Twitter account yangu. #DaimaMbeleNyumaMwiko 💛💚
165
143
3K
We hustle not because we don't have rich relatives, But we need them to pick when we call, Coz they will know we ain't call for money. 😎✌️. #TeacherThings 💪🏼
154
177
3K
Binadamu tumeumbwa kusahau sana Unakuta watu walisha sahau kama na Mimi nina goli. 😀. #TeacherThings 😀
113
84
3K
Mwanangu mbavu Mbili afu kifua wazi now days anajiita Samaki daah hii nchi uhuru umepitiliza sana. 😀😀🙌🙌. Throwback ya Kibabe sana 😀.#TeacheraThings 😀🙌
79
75
3K
Upande huu nilikuwa nasikia maneno ya Ki Zulu tu Muda wote lakini nilikuwa naelewa. 😃😃. #TeacherThings 😃
72
94
3K
Focus in you Until the focus is you. 😀. Wananchiiiiiiiiiiiii Asanteni Sana. 💪🙏🔰. #TeacherThings 😀✅
107
206
3K
A dream without action can become a nightmare. #TeacherThings ✅.#WananchiNawakubaliSana 💛💚
108
118
3K
Bora Mimi ila alichofanya Mpemba wa chake chake. 😀😀.Na nyie Wa Congo mtuambiage mnacho fanya kina maana gani. 😊. Msisahau Jana nilitoa assist. 😀. #TeacherThings 😀
133
98
3K
Lomalisa be like 🤔: Its a plane?? ✈️.Bangala 🤔 :No Its a Bird 🐔. Me: No you Morons it's me Kibwana. 😀. #TeacherThings 😀
112
109
3K
Yehooooow Hao Robo fainal Na Mimi Nimeweka historia. 😃🔰.
𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️| #CAFCC. Young Africans SC 2-0 US Monastir. Hello Quarter Final #CAFCC✅. #TimuYaWananchi .#DaimaMbeleNyumaMwiko
48
69
3K
𝗗𝗢𝗡𝗘 𝗗𝗘𝗔𝗟!!. @Hussein15Mo atakuwa kwangu Imagine hawa wataweza kweli? #TeamJob sijui kama wataleta timu!!. #TeamKibwana.#WapeTabasamu2023
31
64
3K
Wananchii Wishing zenu kwenye mechi ya Kesho hebu ziwekeni hapa kwenye Comments nazisoma pia. 👇👇.#IweMvuaIweJua 🔰.#TeacherThings 😂
197
85
3K
Ikawe kheri kwenye mtihani wako wa mwisho Mwanafunzi wangu #Kibabage ili mwakani uwe secondary kama. @jobdick05 😃🙌
40
73
3K
Aaanha Kumbe Familia. 🔰😃.
65
105
3K
Kuna muda adui yako, ndio anaweza kuwa chanzo chako cha wewe Kufikia mafanikio.🏅🤩. #TeacherThings 😊
73
121
3K
Mfano jana ningefunga goli mtaani kwenu wangesema nini kuhusu hilo goli? 😃. #TeacherThings 😃
78
83
3K
🥶 🥶. Enzi zangu na Baridi la huku sijui kama kuoga kungekuwa na Umuhimu ki viiile.😃.#TeacherThings 🥶
86
60
3K
Ukweli ni kwamba goli lenyewe ni la kawaida sana nimewaza lingekuwa na Kisigino sijui kama tungepumua.🙌🙌😂😂.
157
102
3K
George Pep Guardiola Ten Hag Ambangile ndiye atakaye kuwa Kocha wangu sasa Samaki sijui atajificha wapi? @jobdick05.Last time alikula chuma 3 This time Namalizana naye First half. 😂😂🙌🙌. #TeamKibwana .#WapeTabasamu2023
54
86
2K