juliusmassabo Profile Banner
Julius Joseph Massabo. Profile
Julius Joseph Massabo.

@juliusmassabo

Followers
10K
Following
14K
Statuses
63K

#MuhambweDreamer

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
12 hours
@joseph_kalimbwe Here in Dar we have Keneth Kaunda Drive.
0
0
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
16 hours
@rollymsouth 🙏🏻
0
0
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
16 hours
Madenge @rollymsouth kheri ya siku yako ya kuzaliwa kaka Mungu aendelee kukupa kibali uishi.
0
2
10
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
19 hours
RT @joseph_kalimbwe: On 21 March 1966, Sam Nujoma & Pohamba were deported from Namibia back to Lusaka, Zambia. At the time the Boer regime…
0
8
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
1 day
RT @Mwanahalisitz: Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto Kabwe, amehudhuria leo muendelezo wa kesi zinazopinga matokeo ya…
0
56
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
2 days
@Kiganyi_ Magiri hautaki TBT😂😂
1
0
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
2 days
Ni hatua sahihi lakini wakifanya wengine hatua hizi hizi kunusuru demokrasia kwenye nchi msiwe wepesi wa kubeza jitihada za wengine.
@frediejustine
Freddie
2 days
... Mh. Lissu kila hatua anayochukua ni hatua ya tahadhari na Sahihi. Ameanza kuwaunganisha Wazee wastaafu wenye hekima wanaoamini katika Mabadiliko ya Katiba ya Nchi yetu. Ni hatua ya kwanza kati ya nyingi kuwaunganisha wanaharakati, wafanyakazi, wananchi na wana CCM wema.
Tweet media one
6
5
13
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
2 days
RT @zittokabwe: Nimehudhuria Mahakamani leo kufuatilia muendelezo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na V…
0
53
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
2 days
RT @HilmiHilal88: Mtendaji wa Chama chetu (@ACTwazalendo) Mhe. Juma Kombo Hamad ametekwa na vikosi vya SMZ wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya…
0
106
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
2 days
RT @AdoShaibu: Rais aliagiza uchunguzi wa mauaji ya Mzee Ally Kibao. Hadi leo hatujasikia lolote kuhusu uchunguzi huo. Mnajua kwa nini? Leo…
0
175
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
3 days
@HumphreyKi94920 @Ndolezi_Petro Ukimuona @abdulnondo2 umemuona Massabo ukimuona seif suleiman umemuona Ndolezi.
0
0
1
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
3 days
@Benezeth_Kahwa Watu wanasukuma Agenda kiaina kaka😂😂
0
0
1
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
3 days
@MASOUDMAMBO24 Hii kazi sio bure soon kuna watu watajaa kwenye mfumo.
0
0
1
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
3 days
@CarolNdosi Ufanye urudi sasa😂
1
0
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
3 days
RT @AdoShaibu: Ikiwa sehemu ya ziara yangu kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao, Leo nimefanya kikao na viongozi wa Jimbo la Rufiji, moja ya N…
0
25
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
4 days
RT @ACTwazalendo: Jana tarehe 7 Feb 2025, Katibu Mkuu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli, Ndugu @idrisa_kweweta amefanya kikao na viongozi wa Kat…
0
13
0
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
4 days
@arayasili Huo mtego ameukataa😂😂
1
0
1
@juliusmassabo
Julius Joseph Massabo.
4 days
@samsonmasai95 Yabhonye kulele😂
0
0
1