hellen_sisya Profile Banner
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš Profile
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš

@hellen_sisya

Followers
8K
Following
36K
Statuses
38K

#ArudiShule Champion at @HerEducationTz| Youth Advisor to @EUinTZ πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡Ί | @ThinkCREA FLMBaRI 24' Alumna |@mcwglobal YLC 24' Alumna

Pwani, Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
5 years
I was once dismissed from school just bcoz of pregnancy. When I got the chance to come back for schooling again, I managed to survive and finally yersterday I got my first degreeπŸŽ“πŸŽ“ Glory to GodπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ @halimamdee @MariaSTsehai @RebecaGyumi @CarolNdosi @fatma_karume
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
508
363
4K
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
2 days
RT @GetrudeMligo: Marafiki zangu, nawakaribisha sana kwenye Lodge yangu EFNπŸ”…πŸ‘ Lodge yetu ipo karibu na stendi kuu ya mabasi Mjimwema Njomb…
0
202
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
4 days
RT @EUinTZ: Je, uko tayari kusoma Ulaya? πŸŒπŸŽ“ Umoja wa Ulaya unatoa udhamini kwa masomo ya Shahada ya Uzamili barani Ulaya. βœ¨πŸ“š Jifunze zaid…
0
4
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
4 days
RT @TheChanzo: TARIME: Watu wenye silaha wanaozunguka na Landcruiser nyeupe, wamewapoteza wakazi wanne wa kijiji kimoja tangu Novemba 2024.…
0
122
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
5 days
RT @TweveDevota: Wanawake wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo au utendaji kazi wao na sio kwasababu ya jinsia zao.
0
51
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
6 days
RT @Yplus_Global: We are searching for new @HerVoiceFund Ambassadors in Cameroon, Eswatini, Lesotho, Malawi, and Tanzania. 🀩 If you are an…
0
42
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
RT @TweveDevota: Usawa wa kijinsia si mashindano ni mshikamano. #UsawaNdioNguzo #UsawaNiMaendeleo
Tweet media one
0
14
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
RT @EUYSBTanzania: Shindano la Mdahalo wa Vijana la Umoja wa Ulaya lilifikia tamati ijumaa πŸŽ‰ YSB tulishiriki kupitia @PaulSiniga ambaye al…
0
4
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
RT @TheChanzo: Former President Kikwete in 2012 explaining the origin of the M23 rebels in the Democratic Republic of Congo (DRC). This to…
0
484
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
Juzi jioni nilipata nafasi ya kuwa mmoja wajumbe wa @EUYSBTanzania tulioiwakilisha bodi katika tamasha lililoandaliwa na serikali pamoja na @EUinTZ na @unwomentanzania lililofanyika Zanzibar ambalo lililenga kuelimisha jamii kuhusu kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ͺπŸ‡Ί
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
21
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
RT @IshengomaIrene: Jana nilipata heshima ya kufunga mashindano ya #WanawakeLakiMojaCup⚽️ katika viwanja vya Buliaga Temeke. FT: Sayari Wo…
0
16
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
7 days
RT @EUYSBTanzania: Jumamosi jioni, wajumbe wenzetu wa Bodi, @hellen_sisya na @__brianroberts walituwakilisha katika tamasha lililoandaliwa…
0
3
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
8 days
Spot on me 🀭
@maendeleoyajami
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
9 days
Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwemo Umoja wa Ulaya (EU), Shirika la Kimataifa la Wanawake (UN Women) na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali iliandaa tamasha lenye lengo la kuwaelimisha wanajamii maeneo wanayoweza kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia pamoja na namna ya kutoa taarifa hizo katika eneo la Kisongo (Kisongo Square) Kisiwani Zanzibar mnamo Februari 01, 2025. Tusimame pamoja kutokomeza ukatili wa kijinsia na kuwalinda manusra wa vitendo vya ukatili. Mabadiliko yanaanza na mimi! #InspireToLeadTZ #maendeleoyajami #jamiismz #EUinTZ #unwomen
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
8 days
RT @maendeleoyajami: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwemo Umoja wa Ulaya (EU), Shirika la Kimataifa la Wana…
0
5
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
10 days
RT @EUinTZ: Hawa hapa! πŸŽ€πŸ† Washindi watatu bora wa #EUDebateContest! πŸ₯‡ Caren Ndika πŸ₯ˆ Diana Shabani πŸ₯‰ Kijafaraja Maduhu Jiunge nasi kuwapo…
0
19
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
10 days
@KumbushoDawson @freemanmbowetz Nzuri sana hii kijana wa mwenyekiti 🀝🀝
0
0
2
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
10 days
RT @CanadaTanzania: Call for Applications: Study in Canada Scholarships
Tweet media one
0
9
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
11 days
RT @ElimikaWikiendi: Vibe kama lote tukiumaliza mwezi Njaanuari hapa #ElimikaWikiendi 🀩 Usikose kufuatilia jukwaa la elimu jumamosi hii. h…
0
32
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
11 days
Hii nchi πŸ˜‚πŸ˜‚
@TheChanzo
The Chanzo
11 days
Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe.
0
0
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
12 days
RT @EUinTZ: Upcoming πŸ‡ͺπŸ‡ΊEuropean Union Debate Contest Empowers πŸ‡ΉπŸ‡ΏTanzanian Youth to Tackle Employment and Entrepreneurship Challenges Read…
0
3
0
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
12 days
RT @EUinTZ: Nyuma ya Pazia!πŸ’‘ Washiriki wa fainali wanajiandaa kwa Shindano la Mdahalo wa Vijana wa Umoja wa Ulaya kesho! πŸ—£οΈπŸ”₯ Wanaboresha…
0
3
0