Kumbusho Dawson Kagine Profile Banner
Kumbusho Dawson Kagine Profile
Kumbusho Dawson Kagine

@KumbushoDawson

Followers
190,526
Following
1,398
Media
7,923
Statuses
51,697

Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Kuanzia Leo nitakuwa namuamkia shikamoo Mheshimiwa @ummymwalimu asubuhi, Mchana na Jioni. Hata kukuchabanga nitapunguza. Ishi sana Mamshka!!
Tweet media one
163
90
4K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
“....ni hela tu sijapata haki ya mungu nikipata nitakuja nayo” ....💖
265
876
3K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
''Tulimpoteza rais Magufuli, ilikuwa kipindi kigumu Sana....Tulisimama kidete kama jeshi, kwa utulivu kutimiza wajibu wetu kulinda katiba na nchi yetu''-Venance Saltory Mabeyo, amesema kwenye dakika 45 ya ITV Hii kauli ni nzito sana, mwenye akili nadhani ameelewa
Tweet media one
130
196
3K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
5 years
FORECASTING: Prof Mussa Assad ateuliwa na WORLD BANK kuwa afisa mwandamizi wa benki hiyo.
Tweet media one
191
117
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Karatasi za kura ni nyaraka nyeti. Ni kama risasi.Ikipotea moja toka stoo isijulikane iko wapi, kila kitu kinasimama.Huwezi kujua hiyo risasi itatokezea wapi? Aliyechapa karatasi zetu za kura anaweza kutumiwa kuvuruga nchi.Tusikimbilie kuwalaumu wanaoandamana " Askofu Bagonza
Tweet media one
52
290
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Mwenye Twita yake karudi!!!!!! The Don @kigogo2014
Tweet media one
Tweet media two
83
68
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Nileteeeni Kigogoooooo Nileteeeni Kigogooooooooooo Nileteeeni Kigogooooooooooooooo Nileteeeni Kigogoooooooooooooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
98
160
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Hivi tuliofurahishwa na Press ya Mbowe jana tunaweza kuamka saa ngapi??😂😂
108
60
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Natamani @TunduALissu atenge muda amtafute huyu mama akamsalimie. Just trying to Imagine furaha atakayo kuwa nayo. Amemwaga machozi kuonyesha furaha ujio wa Tundu Lissu.
Tweet media one
Tweet media two
107
217
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Kigogooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo is back shubamitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
58
110
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Ndugu MMM. Man of the Match. Amekuwa na Mchango mkubwa wa kuwa Chombo Cha Habari Kwa kuwahabarisha Umma ya kinachoendelea ndani ya Kumbi za Mahakama katika Kesi ya MICHONGO dhidi ya Freeman Mbowe. What a Man!?. Mungu azidi kukutunza kaka @IAMartin_
Tweet media one
65
232
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Mwenyekiti wa CHADEMA , @freemanmbowetz na Rais wa JMT @SuluhuSamia wanatarajia kukutana Ikulu mwishoni mwa wiki hii au mwanzoni mwa wiki kesho Hii ni baada ya mama kumuomba kuonana naye Ikulu, Jijini DSM. Wanatarajia kuzungumza namna ya kuboresha utawala bora na demokrasia
146
148
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Hivi Josephat Gwajima si alisema anafufua watu???
145
65
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
11 months
Hii nembo anayotumia Rais Samia ni ya nchi Gani? Imeokotwa wapi? Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 imeweka Wazi kwamba Nembo ya Taifa itakuwa na Picha za bibi na Bwana walioshika pembe za Ndovu .
Tweet media one
347
162
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Kwani @TunduALissu hapumziki???
122
240
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Oktoba 30, 2019 Paul Christian Makonda
Tweet media one
95
94
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu
Tweet media one
33
151
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Leo imetimia miaka 17 tangu niwekwe wakfu kuwa Askofu wa Karagwe. Sikufaa, sifai, na sitakaa nifae. Mungu apewe sifa, Ainuliwe na mimi nipungue. Wana Karagwe ahsante kwa kumwamini asiyefaa, asiye na faida wala kuaminika."- Askofu Bagonza
Tweet media one
57
96
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
TOZO ZINGENE: 1. Serikali yaanzisha Tozo kwenye maeneo yote yanayopiga mziki. 2. Bar/Pub 300,000. 3. Vituo vya mafuta 600,000. 4. Maduka ya dawa 200,000. 5. Mabasi ya usafari 500,000. 6. Vituo vya mazoezi 300,000 7. Vituo vya Radio Mil.10 8. Vituo vya TELEVISION Mil.9
267
184
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
6 years
Siku kama ya leo mwaka jana Jeshi nilishikiliwa na jeshi la polisi kwa kusambaza picha zilizokuwa na nyifa kwenye mojawapo ya hosteli UDSM, Ninachojivunia ni kuwa baada ya kusambaza picha zile marekebisho makubwa yaliyafanyika kwenye majengo yale.
Tweet media one
109
130
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Bila wasanii??😂😂😂😂 Nyenyenyeeeeeeeeeeee
Tweet media one
59
152
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Mheshimiwa Rais. Hiki unacho wafanyia Watanzania si SAWA. Hapana, Hapana, Hapana.... Miaka 100 unawapa Waarabu Bandari yetu....Hukitendei haki kizazi hiki na kijacho. Watanzania watakulaumu miaka nenda Rudi. Si sawa na HAIKUBALIKI Mh. Rais @samia_suluhu_hassan JISAHIHISHE
Tweet media one
251
162
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
UONGOZI wa Bawacha wote wamehamia CCM amebakia dada yangu @CatherineRuge pekee
92
67
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
"Niliomba nyaraka za ununuzi wa nddge, reli ya SGR na bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason ili niweze kuzikagua , lakini Mkuu wa nchi wa wakati huo (John Pombe Magufuli) alikataza kuzitoa akaanza kunitafutia sababu ya kuniondoa ofisini"-Prof. Assad
Tweet media one
57
205
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Rais @SuluhuSamia kama atasikiliza huu ushauri Leo PDF lazima itasoma. Anapiga kama anaua Nyoka, anapiga kama anaua Chatu. Kiufupi ameua!!
129
432
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
"Hizi gharama mpya za mitandao ni dalili kuwa hatujuani hali zetu. Hayo makato sio mzigo kwa wenye uwezo bali kwa "wanyonge" ni mzigo mzito. Hakika matajiri na mali zao na maskini na watoto wao."- Dr. Stephen Munga
Tweet media one
30
188
2K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
"Nchi ilihitaji Mponyaji, Sasa Sina Shaka kapatikana na uponyaji utaanza Kama atawaondoa vijana wasio na sifa ya kuwa viongozi kwenye uongozi" Jaji Sinde Warioba
Tweet media one
50
141
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
R.I.P Man of God, TB. Joshua
Tweet media one
41
138
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Dogo alikuwa roporopo sana!!!
Tweet media one
143
46
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Aliekuwa Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali,ameambulia tena Kura 5 ktk kura za maoni ktk kusaka nafasi ya kupeperusha bendera nafasi ya Udiwani kupitia CCM Peter wiki 2 zilizopita aliambulia kura 2 ktk kusaka ridhaa ya kugombea nafasi ya Bunge kupitia CCM huko kilombero
Tweet media one
213
76
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Pole sana Mama Miradi, Mheshimiwa CAS @MillicentOmanga , binadamu ni watu wa ajabu Sana. Mungu akuvushe kipindi hiki kigumu kwako!!
Tweet media one
196
43
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
You are in our THOUGHTS and PRAYERS today.
Tweet media one
32
81
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Demokraasia inakuja ndugu wanahabari, najua WANAHABARI nikiingia madarakani mtakuja kusema mambo mengi ambayo mmekuwa mnafanyiwa nawapendeni sana ndugu wanahabari na karibuni sana nyumbani kwangu"- @TunduALissu
Tweet media one
6
136
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Absolutely stupid
Tweet media one
521
50
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Mosses ni binadamu Kama walivyo binadamu wengine, ana haki ya kuishi, taarifa zinazodai kuwa Mosses alipigwa na maofisa wa polisi Kisha kutupwa (kuuawa) zinapaswa kuchunguzwa. IGP na @tanpol Kama ushahidi unaowasilishwa mahakamani una ukweli anapaswa kujiuzulu. Ana Haki ya Kuishi
Tweet media one
103
212
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Utukufu apewe Mungu wetu aketiye mahali pa juu palipo inuka!!
Tweet media one
126
97
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Sasa hilo tofali anaenda nalo wapi?!😂😂😂😂🙌
Tweet media one
281
60
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Hakuna MWANAHARAKATI yeyote duniani ambaye husimama upande wa serikali, upande wa waonevu na wavunjaji wa haki za binadamu. Hakuna WANAHARAKATI wa namna hiyo DUNIANI KOTE.
60
120
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
LISSU:HAMUWEZI KUNINYAMAZISHA, NITAENDELEA NA KAMPENI JUMAPILI KAMA KAWAIDA Nimepokea tu habari za kusimamishwa kwa kampeni yangu kwa madai ya ukiukaji wa maadili,sikuwahi kutumiwa mashtaka yoyote ya maadili wala kutoa nafasi ya kuwasilisha utetezi ulioandikwa kwa mashtaka hay
Tweet media one
36
124
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Alafu mlikuwa mnamwita mtetezi wa Wanyonge na Watanzania kumbe mzee wetu alikuwa MWIZI anaiba hela alafu anapeleka China. Balozi Kairuki wewe ni mzalendo sana, Mungu akukirimu maisha marefu. Mama @SuluhuSamia kuna haja ya kukupandisha cheo 😊
Tweet media one
94
78
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Siku kama ya leo miaka 59 iliyopita alizaliwa @freemanmbowetz , Mwenyekiti wa CHADEMA. Mbowe amekuwa nguzo imara katika kutetea na kusimamia demokrasia nchini #Tanzania . Namtakia kheri na fanaka tele katika siku yake hii mhimu ya kuzaliwa.
Tweet media one
Tweet media two
30
84
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Huyu ni Anthony Mavunde mbunge mteule kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Wananchi wamekataa kumsikiliza kwa kile walichosema kuwa hawakumchagu. "Nenda,panda kwenye gari HATUKUKUCHAGUA "- Ni sauti za raia wa Dodoma . Shangazi @MariaSTsehai husisitiza "WENYE NCHI NI WANANCHI''
85
181
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Mwanaume Kazini. Hii ndiyo maana halisi ya Kiongozi. #StandWithUkraine
Tweet media one
77
65
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Huyu sasa ndiyo MTETEZI wa wanyonge na mwenye hofu ya Mungu. Siyo yule mzee
85
62
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Hongera sana @CatherineRuge kwa kuaminiwa na wanawake wenzio wa BAWACHA. Mapmabano yaendelee
Tweet media one
12
65
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
''.......nitakuwa wa mwisho kukihujumu chama hiki!" @freemanmbowetz
Tweet media one
27
62
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Masaa 9 yaliyopita Namba ya Olesabaya inayo ishia na 171 imejiunga na Signal. Sabaya anaruhusiwa kuwa na simu akiwa gerezani? Nani amempa simu? Kwa nini ajiunge Signal usiku wa leo ikiwa zimebakia saa chache kutolewa Hukumu yake? Amejiunga na Signal ili kuzingumza nini na nani?
Tweet media one
86
166
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
11 months
Kazi ya Uanahabari ni ngumu Sana, hasa ukikutana na mhojiwa wa namna hii!!
109
302
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
''Hakuna katiba ya Warioba, ile tume ilikusanya maoni ya wananchi, yale maoni yalikuwa ya wananchi hayakuwa ya Warioba''- Joseph Sinde Wariona
Tweet media one
17
121
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win" - Mahatma Gandhi. @TunduALissu wewe ni MSHINDI
Tweet media one
24
112
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Ikulu hatupeleki wagonjwa, Haya wagonjwa hawa hapa wanaPETA tu na kula maisha.
Tweet media one
56
69
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Eti Halima anamvaa Kigogo😂😂😂
69
13
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Unaweza KUWADANGANYA watu WOTE kwa muda fulani ila huwezi kuwadanganya WATU WOTE kwa wakati wote'-JK Nyerere
87
229
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Tundu Lissu: Hatoki Mtu HAPA
39
176
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
''Sisemi Katiba si mhimu, Katiba ni ya maana sana, lakini nipeni muda kwanza nisimamishe nchi kwanza, alafu tutakuja kwenye suala la katiba''- @SuluhuSamia
Tweet media one
85
96
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Incredible ....... @TunduALissu 🙌
35
103
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
Jamani 😂🙌
Tweet media one
45
21
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Dah😂😂😂😂🙌
Tweet media one
89
133
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Inafikirisha pale mmoja wa wagombea anapowahakikishia wagombea wenzake kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki.Pia Mwenyekiti wa chama kimojawapo kishiriki cha uchaguzi mkuu, anapovionya vyama vingine kuwa hatavumilia matusi na kejeli" -Askofu Benson Bagonza
Tweet media one
43
98
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
"Rais Magufuli alituahidi kwamba angetoa kamisheni tarehe 6 March, ilipofika akasema hajisikii vizuri akaomba tusogezee tarehe 10 March. Ilipofika tarehe 10 March haikuwezekanaa ". Venance Mabeyo, March 26,2021
Tweet media one
27
36
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Kanali Nyamburi Mashauri Naye Anaweka Record ya Kuwa Mwanajeshi Mwanamke wa Kwanza Kuwa Mpambe wa Rais (ADC), Nchini Tanzania
Tweet media one
33
58
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
NAWAZA katiba ingesema kuwa Pindi Rais wa nchi ANAPOFARIKI basi aliyekuwa anashika nafasi ya pili katika Uchaguzi Mkuu ndio anakua Rais na chama chake kitaunda serikali cjui ingekuaje? Mwanangu mwenyewe @TunduALissu
Tweet media one
Tweet media two
78
59
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Dada @venusnyota wa @ikulumawasliano haamini anacho kiona. Anaimbishwa Wimbo wa "Katiba Mpya" Kwa lazima. Analazimika kushika Mask kuomba msaada wa hifadhi ili aweze kujificha. Naam Hawa ndiyo Watanzania.
Tweet media one
78
131
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
''Wapinzani wangu kisiasa wanadhani wakinitukana nitatuma polisi kwenda kuwakamata, SITAFANYA HIVYO. Endeleeni kunitukana, nipo busy na kazi" -Uhuru Kenyatta
Tweet media one
57
104
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Wenye hekima wanasema "ukishindwa kuwa mwaminifu basi jitahidi uwe mwangalifu". Haki ya mtu kulia anapoumia haitolewi wala kuondolewa na katiba. Ni takwa la Muumba kwa viumbe wote. Pigeni lakini msizuie watu kulia."- Askofu Bagonza.
Tweet media one
19
148
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Tujipe Muda,Huenda Na Leo Akampigia Ndugu Chalamila Wakaongea Tena
27
35
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
5 years
"Nimesikia Matusi dhidi yangu, mimi ni muumini wa dini ya M/Mungu nawashukuru sana, jambo kubwa ambalo Mwenyezi Mungu amenitukunu ni kunipa hekima lakini pia amenipa akili, hivyo siwezi kujibizana na mtu yeyote mwenye akili ndogo na asiye na hekima" ~Prof Assad #ChangeTanzania
Tweet media one
88
163
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
DPP unaonaje ikifika usiku wa leo pia umfutie mashtaka Mdude Nyagali?
34
95
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Wiki 3 zilizopita Mh.Rais akiwa Mkoani Morogoro Bila kujua "ALIWAFOKEA" wananchi wa Morogoro mjini kwa kumchagua Mbunge anayeshindwa KUTATUA KERO,Baadaye akawauliza wananchi ni wa CHAMA GANI anashindwa kutatua kero huyu? Wakamjibu ni wa CCM.Rais akasema "ILA ANAFANYA KAZI NZURI"
61
79
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Bishop Bagonza, Bishop Shoo. I can smell fruitful discussion
Tweet media one
83
48
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Gharama ya kitambulisho cha ujasirimali ni 20,000 Hakina jina Hakina picha yako Hakina utambulisha wowote ule wa umiliki. Leo Mgombea wa urais wa CCM amesema kitambulisho kile huwa kinatumika kwenye BIMA ZA AFYA pamoja na kuombea Mkopo kwenye MABEBKI WATANZANIA SIYO WAJINGA
98
148
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Nimemsikiliza IGP kwa umakini mkubwa, amesema ENDAPO @TumeYaUchaguzi itampitisha kuwa mgombea urais Tundu Lissu WATAMPATIA ULINZI wa Askari wao ili WAMMLINDE TUNDU LISSU IGP amesema wanaendelea KUMTAFUTA lissu ili waweze kumalisha upepelezi wa kupigwa risasi lakini HAWAJAMPATA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
155
71
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Nabii Godbless Lema
Tweet media one
25
51
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
"Kuamini kwamba Mungu ameondoa #Corona #Tanzania kama ambavyo Rais @MagufuliJP alisisitiza mara nyingi ni USHIRIKINA. Sala bila kujali sayansi (hasa katika kukabiliana na magonjwa) ni ulozi."- Prof Lumumba
Tweet media one
112
116
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Rais na mama yangu @SuluhuSamia una sehemu yako peponi😂😂😂 Sema KIMEUMANAAA
Tweet media one
75
60
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Toka nizaliwe sijawahi kuona mbunge anaapishwa gereji au parking za magari 🤣🤣🤣🤣....Lakini Hawa wabunge wameapishea parking za magari...Wamefanya haya harakaharaka ili kuukomoa upinzani, Law makers anaapishwa parking za magari kweli"- @freemanmbowetz
36
66
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao. Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.
38
116
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Miezi 10 imetimia toka Mwanasheria Titho Magoti ofisa wa mafunzo kwa umma wa LHRC na Theodore Faustine wakamatwe Disemba 20, 2019. Kila kesi ikitajwa wanadai upelezi haujakamilika. Kama upelelezi haujakamilika mliwakamata wa nini?? #FreeTithoMagoti #FreeTheodore
Tweet media one
Tweet media two
39
145
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"✍️ACT pelekeni majina kwa nafasi anazotaka Mwinyi ✍️CHADEMA nanyi pelekeni yale majina 19 Ushauri: MSIRUDI kutuambia habari za maovu ya CCM hapa, Pambaneni nao hukohuko bungeni , ile Kesi ICC ifutwe it will be a joke UNALIA chakula kina sumu kisha unanawa kula" @lifeofmshaba
90
95
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
“Ni mzigo na adhabu kubwa kwa wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye HAWAKUMCHAGUA “ #HekimaZaBagonza #ChaguziHuru #99Nyeupe #ChangeTanzania
Tweet media one
11
84
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Magazeti yakaungana na Waziri mkuu kutudanganya. "JMP AUNGURUMA😂😂😂", ila watu mna dhambi 🤣🤣🤣.
45
63
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Magazeti ya kesho. " SABAYA HAYUPO HAI TENA"
62
37
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
5 years
"Ninatishika kwa kweli ninavyoona vijana wengi wakiwa mtaani bila kuwa na shughuli ya kufanya, na kibaya zaidi hakuna mipango ya haraka ya kukabili tatizo la ajira"- Benjamini Mkapa
Tweet media one
59
67
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Tweet media one
62
59
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
5 years
Hongera sana brother @JMakamba , hakika wewe ni kiongozi, umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuwashawishi Watanzania kukubali kuachana na Matumizi ya mifuko almaarafu kama Rambo bila kutumia nguvu kubwa ya jeshi la Polisi. You did it, you make it . Hongera #ChangeTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
78
90
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Catherine Nyakao Ruge @CatherineRuge Mwanamke wa shoka.
Tweet media one
19
32
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Kuna nyakati hata SAA MBOVU husema ukweli 😊😊
@earadiofm
EastAfricaRadio
4 years
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
Tweet media one
Tweet media two
360
364
3K
39
54
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Kampeni meneja🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Tweet media one
135
96
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
2 years
Rais wa Urusi Putin wakati anaaza kuivamia Ukraine, alidai atatumia masaa 72 pekee kuivamia Kyiv na kutia chata Ikulu ya Ukraine. Kesho utakuwa umetia mwezi kamili toka Putin aanze kuivamia Ukraine. Kati ya Kitu anachojutia huyu Dikteta ni kufanya uvamizi Ukraine. HATARUDIA TENA
Tweet media one
265
70
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Sisi Watanzania tunawaomba Wakenya watutafutie huyu Mheshimiwa wampe soda ya bariiidii Watanzania tutakuja kulipa. @kigogo2014 @fatma_karume @MabalaMakengeza @RobertAlai
40
217
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
Hii picha imewaumiza na kuwaliza watu wengi sana, nimepigiwa na Watu zaidi ya watano wakieleza hisia zao baada ya kuichapisha picha hii kupitia ukurasa wangu wa Instagram. Hii ndiyo Tanzania, Mungu amlinde na kumtunza @TunduALissu
Tweet media one
51
77
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
5 years
Sisi kama BAFWATWA tumejiridhisha kwamba @Roma_Mkatoliki hajasajiriliwa, wimbo alio utoa unaichonganisha serikali na wananchi, wimbo una viashiria vya uchochezi na unaharibu amani ya nchi, tumemuita Roma ili tuweze kumhoji.
Tweet media one
72
49
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
MABEYO ANATOA SIRI HAPA. "Rais Magufuli alituahidi kwamba angetoa kamisheni tarehe 6 March, ilipofika akasema hajisikii vizuri akaomba tusogezee tarehe 10 March. Ilipofika tarehe 10 March haikuwezekanaa ". Unaelewa nini hapa??
Tweet media one
65
65
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 year
...Mama naye namuona yupo pembeni anasikiliza Kwa MAKINI. Good morning. Habari za asubuhi
105
297
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
7 months
Dkt. Philip Isdor Mpango
49
210
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Kikwete, Mangula, Karume mzee Mwinyi....Wote wamevaa masks katika uapisho wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu. Hii ni hatua njema sana katika mapambano ya virusi vya Corona.
8
46
995
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Na majina yenu yahifadhiwe katika MAKABATI yote ya Afrika
Tweet media one
23
47
992
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
4 years
"Ni kweli siko salama. Kuna watu wanatafuta kupendezesha mamlaka kwa kuchukua uhai wangu. Wamepiga kambi hapa kwetu wakitafuta namna ya kunidhuru, hawajatumwa. Wanadhani wakifanya hivyo watapata favour ya mamlaka. Niko tayari. Sitakimbia." - Askofu Bagonza #Tanzania
Tweet media one
48
79
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
3 years
Mzee Mwinyi hata anacho kiongea hata yeye ukimuuliza HAKIFAHAMU🤣🤣🤣🙌
50
27
982