![Mboka Mwambusi Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1287425936749735938/labEXXEZ_x96.jpg)
Mboka Mwambusi
@MwambusiMboka
Followers
122
Following
40
Statuses
127
@zittokabwe Mdogo wangu Zitto uko bias sana na huu mgogoro wa Congo! Unaharalalisha sana uharamia wa Rwanda kwa mgongo wa M 23. Ila ipo siku wacongoman watasimama kwa miguu yao.
1
0
2
@zittokabwe Kwa kigezo cha kuishi miongo mingi Congo šØš© wana qualify kuwa wacongoman lakini hawana haki ya kuleta vurugu na kuwaamulia wananchi wa Drc. Hakuna popote serikali ya Congo inawafukuza. Changamoto ni Rwanda kuwapatia Silaha na wanajeshi. Kweli jumuia zote za kimataifa hazijui?
0
0
1
@zittokabwe Kaka sijui wapi pagumu kwenye huo mgogoro. Banyamulenge ni wakongo kweli lakini nani yupo nyuma yao kuwapatia silaha na utoroshaji wa madini? Hao Mulenge walimpindua Mabutu, ndio walimuua Kabila, kabila mtoto akaishi nao kwa akili tu, sasa ni Tshisekedi apinduliwe. Shame Rwanda
1
0
3
@IAMartin_ @Ntobi_ Bado hauoni Tatizo la Rwanda. Unaamini Congo šØš© inapambana na raia wake? Yaani kajamii kadogo kananyonya rasilimali nyingi za wacongoman wote na kupeleka Rwanda? Halafu hakagusiki? Ndio maana ya diplomatic mission za Monusco, Sadec, Tanzania n.k Martin hauoni mkono wa Rwanda?
0
0
1
@IAMartin_ @Ntobi_ Mnufaika wa madini ya Congo ni Rwanda. Na ndio sababu ya nguvu kubwa ya uasi wa M 23 inatokea Rwanda. Mabutu na Lawrent Kabila waliondolewa au kuuwawa kwa uratibu wa Rwanda na Banyamulenge. Joseph Kabila akaishi nao kimtindo na sasa Tshisekedi hoi nani ni hao hao Nyamulenge.
1
0
0
@IAMartin_ @Ntobi_ Wote mnaongea sawa though hamkubaliani. March 23 resolution haikusema Congo ikatwe bali ilitambua wanyamulwnge wana haki ya kuishi pale Kivu na Goma na ni wacongoman. Lakini Martin changamoto unafahamu reserve ya madini na export ya Rwanda? Hao watusi wanalangua na kuiba madini.
0
0
0
@RamadhaanMathey @mshambuliaji Haihusiani na uyanga wala usimba ni ratiba za ndege huondoka alfajiri. Qatar, KQ na ET
0
0
1
@realTrumpNewsX I will appreciate if you can invite me in inauguration ceremony 20th January 2025!
0
0
1
@diversity2028 @SportsarenatzTz @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @spana_Konki @SimbaSCTanzania @kigogo2014 @ahmed__ally Soo sad kwa wachambuzi wakubwa kutokuwa na jicho la tatu kuelewa huu mchezo pendwa. Hakuna asiyejua kipaji kikubwa alichonacho Ben, inashangaza Eddo kutokutambua mchango wa Ben kwa simba na yanga. Inasikitisha kumponda kwa kiwango hicho. Kweli usijue Ben anatafuta fitness Ken.
1
0
0
@privaldinho Simba anahitaji draw na bravos a qualify. Kwa maneno rahisi points 10 zinatoshaaaa.
0
0
0
@Kingvannytz_ Mbona seems ni kuchafuliana biashara. Kuna watu wameingia mzigoni kuichafua hiyo shule.
0
0
0
RT @ExMayorUbungo: Ndugu yako akitaka kupigana vita na wewe, mkatalie na umsihi sana asitoe upanga ndani ya ala yake. Asiposikia akataka vā¦
0
241
0