Privaldinho
@privaldinho
Followers
947K
Following
15K
Statuses
25K
YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||
Tanzania
Joined August 2012
Mwananchiii 🔰🔰tiketi ya MUDA Day inakusubiri !! Nagawa tiketi 10 kutoka CRDB kwa mashabiki watakaojibu swali chap kuelekea siku ya MUDA day, washindi wote nitawatangaza siku ya Alhamis saa kumi na mbili jioni. #kwaokamakwetu
105
37
609
DIGALA
Katika vitu ambavyo uongozi wa @YoungAfricansSC umefanikiwa kujipambanua ni namna wameweza kuigusa jamiii ya wapenda soka hususani mashabiki wa timu yao kwa kubuni programs mbali mbali zinazowagusa moja kwa moja,binafsi nawapa KONGOLE viongozi wote wa Yanga kwa hizi jitihada. @Caamil8 @Arafat__AH @AliKamwe @privaldinho
16
2
112
Mwaka jana Singida wameuza mchezaji dola laki 500,000 plus. Wameuza wachezaji kadhaa. Singida ina makampuni kama 7 ambao ni Sponsors wake. Wana Lodhia, wana Airtle, GSM, wana kampuni ya kamari, wana benk, hujagusia package kutoka Azam TV, Wanapata mapato ya uwanjani, wana hao wafadhili nk. Wana vyanzo vingi tu vya mapato ndugu Mdude
Fikirieni waziri wenu wa fedha anamiliki timu ambayo matumizi yake kwa mwezi ni milion 100+. Mshahara wa waziri huyo kwa mwezi ni milion 20. Unajiuliza huyu waziri anawezaje kuendesha timu inayotumia milion 100+ kwa mwezi wakati kipato chake ni milion 20? Au akipokea mshahara wote milion 20 anabet kwa kutafuta odds 4 za uhakika kwa @Sativa255 zinamletea milion 100+ za kuendeshea timu na familia?
124
13
332
RT @Nassibmkomwa_: Kiukweli sijawahi kuona Afisa Habari anakera kama Ali Kamwe, ana masimango sana....😀😀, UTANI WA JADI.
0
22
0
Mimi nafikiri mfumo wa hoteli uwe wa muda pia. Yaani nikiingia saa moja nitoke saa moja every after 24 hours. Hili nalo mhehsimiwa unalionaje? Mfano hakuna balance ya huduma na gharama. Kwa mfano 📌Aliyeingia saa tatu asubuhi atakaa mpaka saa nne asubuhi siku inayokuja 📌Ila aliyeingia saa nane usiku atatoka saa nne asubuhi Mtu anapaswa kukaa hotelin 24 hours before kucheck out. Hawa jamaa kimsingi wananufaika sana na hii habari ya kucheck out saa nne asubuhi
Hii tabia unalala hotel wkt unatoka unaacha taa zikiwa zinawaka bila kujali ni ukosefu wa Spirit of Excellence. Wateja wanaweza sana kusaidia wamiliki wa Hotel kukata gharama za uendeshaji kama watajali kuwa na utu , jana nilikuwa mahali nakula nikamuona mtu anachukua toothpick kama nusu kopo anaweka kwenye mfuko wa shati na huku akitumia Tissue paper kufutia viatu vyake , hii imenifanya leo niandike haya maneno. Hata mimi nilishawahi kuwa na tabia kama hizi , lakini Neema alijitahidi sana kuninyoosha. Ni muhimu sana ku embrace the Spirit of Excellence kwani kuna mahausiano sana na ukuaji wa uchumi na biashara.
6
1
50
Sawa, sasa nakupa Eksikulusivu, hebu uliza makolo wanaokutumikisha kama pedi, zile hela utapeli waliotapeli mashabiki walikusanya ngapiii? Story kubwa sana bwana Bumunda
AS FAR have been informed Fadlu Davids is 𝐍𝐎𝐓 available. 🚨🇿🇦 He continues with Simba SC. 🦁 A coach with integrity and dedicated to the Simba leadership and fans. 👏 #AfricanFootball
#ASFAR
#NguvuMoja
169
7
250
Tshedeki mjanja amegundua akiondoka tu nchini watu wanampindua. 😀
BREAKING: Emergency joint meeting of EAC and SADC leaders on eastern DRC crisis kicks off in Tanzania. 🇷🇼 President Kagame attending, 🇨🇩 President Tshisekedi joining virtually and 🇿🇦 President Ramaphosa represented by Foreign minister
6
0
68
@GeorgeJob14 Kuna kajamaa nimekaona leo kanatumia mguu wa kushoto ila kanacheza wingback ya kulia
1
0
4