Ahmed Ally
@ahmed__ally
Followers
696K
Following
33
Statuses
2K
Media & Communication Manager Simba Sports
Joined January 2022
Shamrashara za uzinduzi wa Tawi la Simba la Airport lililopo wilaya ya Mpanda, Katavi. #WenyeNchi #NguvuMoja
18
43
777
Shule ya Kirinjko Islamic Secondary inawakaribisha Wanafunzi wote waliowahi kusoma shule hiyo tangu mwaka 2000-2025 katika maadhimisho ya miaka ya 25 ya Taasisi hiyo Maadhimisho yatafanyika April 19 Shuleni Kirinjiko Same Mkoani Kilimanjaro Kwa Wanafunzi waliopo Dar Es Salaam kutakua na usafiri wa pamoja kwenda na kurudi kwa utaratibu unaosimamiwa na kamati maalumu Kwa maelezo zaidi wasiliana na Ahmed Ally : ( Semaji)- Mwenyekiti Iddi O Iddi : 0783658577 - Katibu Ibrahim Sebo : 0718989660 Mratibu ππΆπΏπΆπ»π·πΆπΈπΌ π»πΆ ππΆππΆ
33
37
534
ππππππππππππ ππππππ. #WenyeNchi #NguvuMoja
114
85
1K
Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi. Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo Na wengi wamesisitiza ziandaliwe sehemu maalumu Wana Simba wengi tukutane tuangalie kwa pamoja mechi Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kama tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena Nguvu Moja - Ubaya Ubwela
215
164
2K
Weekend hii zimechezwa mechi 16 za CAF, Ligi ya Mabingwa 8 na Kombe la Shirikisho 8 ambazo ni sawa na timu 32 Katika mechi zote 16, ni timu mbili tuu ndizo zimepata ushindi ugenini ambazo ni Simba Sports na Berkane Wana Simba tunakila sababu ya kutamba na kuvimba na ushindi huu dhidi ya Sfaxien
84
96
2K