Mpotwa03 Profile Banner
Plato 1756 AD Profile
Plato 1756 AD

@Mpotwa03

Followers
305
Following
2K
Statuses
5K

activist, @habari za uchunguzi,philosopher,Mpigania Uhuru.

NAIROBI
Joined June 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
2 hours
@IshengomaJo @salim_alkhasas parody lake unahangaika nipo kwaajili ya kukanyaga vijana wapenda nyama na beer za bure kama nyinyi
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
4 hours
@IshengomaJo @salim_alkhasas Sina Kimbele mbele kama huyo kuku wa double standard
1
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
8 hours
@Dorynbraids Omba apo Sales Manager asiwe Mhindi au supervisor awe chawa 😂😂😂
1
0
2
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
18 hours
@Jambotv_ Wakiwa kwenye kazi hawa jama wanadhuluma sana mimi wameniacha na madeni now familia yangu inapata shida, huyo mwenye nyumba angoje mvua ianze ndo amtolee nje
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
19 hours
@HopeQuotes__ Tuliwaambia walichokianzisha kwa mama wakashangilia kitawatafuna hadi majimboni 🤣🤣🤣
0
0
2
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
20 hours
@Dominicksalamb1 Umeandika kistaarbu leo Kenge wewe, uku moyoni unauumia
0
0
2
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
20 hours
@Urukundo05 Mnyarwanda katika ubora wako
1
0
1
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
1 day
@JamesMbowe4 ishue umetoa vifaaa au ndo jibu mambo ya upuuzeeni ndo tutajua
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
1 day
@Urukundo05 😃😃😃😃 making your citizen Toys but branding Kigali and other towns people are suffering
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
2 days
@EJ_Mwita @Mwitah_tz Ulitaka zitoke Njombe 😅
0
0
2
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
3 days
@McinikaWaLamar @MwananchiNews 😂😂😂weee sio inchi ninayoishi
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
3 days
@MwananchiNews Wakifanya mchezo watafeli hadi mtihani, wasicheze na mambo ya matumbo ya watu
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
3 days
RT @EsirEid: #TajiriLaKihaya Mwanamke anayetaka kuwa mke na mwanamke anayetafuta mume ni wanawake wawili tofauti kabisa. Ukikosea hapo w…
0
63
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
4 days
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Tukiwa hata kutibu wagonjwa wetu wa ukimwi hatuwezi, tunasherekea birthday za chama cha siasa kutumia billions, tumeshindwa hata toto afya kwa 50,000 but we can buy LC 300 cash, tusahau hayo mambo kabisa
0
0
8
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
4 days
@Ntobi_ @mwigulunchemba1 Level yako ya Elimu na content zako ni za kipumbavu
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
5 days
@Captain_almando @Adventure_36 Nop hata ukikata leo unaondoka kesho
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
5 days
@KiangiAri Uongo na upotoshaji wa hali ya juu
0
0
0
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
5 days
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Baba tofauti tena 4 nani Snitch apo Mademu bana
0
0
1
@Mpotwa03
Plato 1756 AD
5 days
@privaldinho Simba wakiweka mnakuja na majina yenu ya kishamba
0
0
2