![Kheri Mahimbali Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1624635516250365953/ZykJfoko_x96.jpg)
Kheri Mahimbali
@MahimbaliK
Followers
3K
Following
1K
Statuses
632
Civil Servant| Personal Mantra: #GoBig or #GoHome
Tanzania
Joined February 2023
RT @SNdandala: Having just returned from visiting one of Tanzania's biggest mine, it is interesting to be at the Mining Indaba. My bullish…
0
13
0
RT @MiningIndaba: The #MinisterialSymposium united ministers, officials & industry leaders to shape Africa’s mining future through collabor…
0
7
0
Tanzania is in "flight mode" @GileadTeri #MadeInTanzania
📍MOROGORO is in 'flight mode' Jana tumewatembelea wawekezaji wetu mkoani Morogoro. Baada ya salamu kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya tumejionea eneo la uundwaji wa ndege ndogo unaofanywa na mwekezaji kutoka Jamhuri ya Czech. Mwekezaji huyu, Airplanes Africa Limites (AAL) anaunda ndege ndogo alizoziita Skyleader ambazo ni mahsusi kwa kazi zikiwezo za usafiri binafsi, mashamba makubwa, utalii na ulinzi. Kuwepo kwa uwekezaji huu nchini Tanzania ni kiashiria cha mazingira bora ya uwekezaji chini ya Serikali ya Mhe Dkt @SuluhuSamia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia tulimtembelea mwekezaji kutoka Singapore, kampuni ya Wilmar Rice ambao baada ya kupanua kiwanda chao mwaka jana, sasa ni kiwanda KIKUBWA cha kuchakata mpunga KULIKO VYOTE barani Afrika. MADE in TANZANIA.
1
6
16
RT @toluogunlesi: Later this month (27-28 Jan) @AfDB_Group and @WorldBank will, in partnership with government of Tanzania, @_AfricanUnion…
0
6
0
Congratulations, @aeyakuze, on your new role. On behalf of all #bookworms in Tanzania, we wish you all the best!
📣 OGP is pleased to announce @aeyakuze as its new CEO! As a dedicated advocate for transparency and citizen engagement, he will guide OGP’s 76 members and partners in delivering ambitious #opengov reforms. Many thanks to @SPradhanOGP for 8 impactful years of leadership!
0
1
7
Daktari Ndugulile umetutoka. Tutakukumbuka kama kiongozi mwenye maono na ulitenda kuyatimiza maono yako. Moja ya michango yake ya kipekee ilikuwa ni katika mpango wa mkongo wa taifa kutumia miundombinu ya @tanescoyetutz kuboresha huduma za intaneti kwa Watanzania. Picha ya hafla ya kusaini makubaliano kati ya TANESCO, @TTCLCorporation na @wizarahmth inaonesha juhudi zake na ari yake ya kuhakikisha kwamba huduma hii inawafikia wengi zaidi. Itabaki faraja kwangu kwa yote tuliyoshirikiana. Ninatoa salamu za pole kwa familia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. @SuluhuSamia, Spika wa Bunge la Tanzania, Wabunge, WHO Afrika, wananchi wa Kigamboni, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Dr. Ndugulile mahali pema. Amina
3
11
53
RT @ZMuhaji: Deal done✅. I am excited with this partnership. It is about that time. @TanzaniaSA @NMBTanzania
0
39
0
RT @LNMafuru: Speaking constructive truth to authorities is not being disrespectful, on the contrary it is being respectful and helpful. Te…
0
103
0
RT @UKinTanzania: UK in TZ is saddened by the passing of Lawrence Mafuru, Executive Secretary of the Planning Commission. He was an inspira…
0
27
0
Mr. Lawrence Nyasebwa Mafuru will be remembered for his extraordinary contributions in both the private and public sectors. A visionary leader has left us too soon. My heartfelt condolences to Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia for the loss of a true champion of Tanzania Vision 2050. Till we meet again my big brother @LNMafuru. #RIP
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo, watumishi wa Tume ya Mipango, ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu. Bw. Mafuru atakumbukwa kwa utumishi wake uliotukuka, bidii na ubunifu alipotumikia nafasi mbalimbali ndani ya Serikali. Mwenyezi Mungu aijalie familia yake subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho yake mahali pema. Amina.
4
11
56