GileadTeri Profile Banner
Gilead Teri Profile
Gilead Teri

@GileadTeri

Followers
9K
Following
23K
Statuses
9K

Executive Director - Tanzania Investment Centre | Awarded Africa's BEST investment destination 2024 | [email protected]

Citizen of the World
Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@GileadTeri
Gilead Teri
1 year
TANGAZO: Watanzania WOTE wenye miradi/uwekezaji WANAOTAFUTA wabia, tuleteeni TIC ili TUWATAFUTIE washirika Una kiwanda, jengo, hospitali, shamba kubwa, biashara, nk ambayo unaitafutia MBIA/MSHIRIKA tuandikie TAARIFA KAMILI za mradi wako tukusaidie kupata MWEKEZAJI BURE kwa WOTE
Tweet media one
11
107
247
@GileadTeri
Gilead Teri
7 hours
FURSA ZA UWEKEZAJI - DODOMA 👇
0
0
2
@GileadTeri
Gilead Teri
7 hours
RT @InvestTanzania: KATAVI📍 ✅RC MRINDOKO ATOA WITO KWA WAWEKEZAJI, ✅TIC YABISHA HODI KATAVI Februari 11, 2025 – Kituo cha Uwekezaji Tan…
0
1
0
@GileadTeri
Gilead Teri
17 hours
RT @InvestTanzania: Chennai; India Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii katika mji wa Chennai, India wamekaribishwa kuwekeza…
0
3
0
@GileadTeri
Gilead Teri
17 hours
RT @InvestTanzania: TIC Yashiriki Kongamano la Uwekezaji Kati ya Tanzania na Italy Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeshiriki katika k…
0
1
0
@GileadTeri
Gilead Teri
1 day
RT @GileadTeri: Mwishoni mwa mwaka jana nilipata heshima ya kuchaguliwa na jumuiya ya Chuo Kikuu cha UDOM @udomofficial kuwa Mwenyekiti wa…
0
31
0
@GileadTeri
Gilead Teri
2 days
Mwishoni mwa mwaka jana nilipata heshima ya kuchaguliwa na jumuiya ya Chuo Kikuu cha UDOM @udomofficial kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo (President of the Convocation) kwa muhula wa miaka 3 (2024-27) Jana nimemtembelea Makamu Mkuu wa Chuo UDOM, Prof Lughano Kusiluka, na Naibu Makamu Mkuu Prof Wineaster Anderson kuwashukuru sana kwa heshima hii kubwa ambayo sikustahili, na pia kujifunza sehemu ya majukumu yangu. UDOM ni chuo NINACHOKIPENDA sana. Nimesoma hapa Shahada ya Kwanza wakati kinaanzishwa mwaka 2007 tukiwa ni kundi la kwanza kabisa la wanafunzi. Nitajitahidi kurejesha japo kidogo yale maarifa niliyoyachota hapa na kwingineko kwa manufaa ya UDOM. Tutaanza kwa kujenga ushirikiano zaidi baina ya TIC @InvestTanzania na @udomofficial huku tukitazama fursa za kuwajenga wanafunzi na jumuiya nzima ya UDOM Wewe ukiwa ni mmoja wa alumni wa UDOM au mdau wa elimu ya juu, kupitia ukurasa huu nitakushirikisha mambo mbalimbali ya kukijenga chuo chetu na ninakukaribisha sana kushiriki nasi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
31
205
@GileadTeri
Gilead Teri
3 days
RT @SCWObservatory: The Transnational Institute's annual State of Power report just dropped. It includes essays from our Research Associate…
0
25
0
@GileadTeri
Gilead Teri
3 days
RT @SCWObservatory: What factors influence the internationalization of the RMB? As @paolo_balmas explains, it's complicated. Learn about th…
0
2
0
@GileadTeri
Gilead Teri
3 days
RT @InvestTanzania: DODOMA📍 Tunakuhabarisha kuhusu uwekezaji nchini katika sekta mbalimbali ndani ya mikoa ya Tanzania. Usikose safari hi…
0
3
0
@GileadTeri
Gilead Teri
3 days
RT @SuluhuSamia: Thank you very much. I am glad it makes you feel that way, and I hope it inspires you in your work. All the best.
0
140
0
@GileadTeri
Gilead Teri
5 days
RT @MsigwaGerson: Tazama kazi kubwa ya ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma ilipofika. Majengo 36 ya Wizara na Taasisi zingine…
0
42
0
@GileadTeri
Gilead Teri
6 days
RT @InvestTanzania: Muonekano wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya Alizeti Dodoma📍 Fursa kwa wakulima mbegu za Alizeti Dodoma na Mikoa ya Ka…
0
16
0
@GileadTeri
Gilead Teri
7 days
RT @InvestTanzania: TIC inashiriki Mkutano wa Utalii na Uwekezaji unaoendelea katika ukumbi wa Eros Hotel, Nehru Place, Delhi, India. Kati…
0
9
0
@GileadTeri
Gilead Teri
7 days
RT @HusseinBashe: Leo ni sherehe ya kuzaliwa @ccm_tanzania na kinatimiza miaka 48. Taifa letu limetoka kuwa Taifa ambalo ni tegemezi kwa c…
0
33
0
@GileadTeri
Gilead Teri
7 days
RT @HusseinBashe: 📍Dodoma 🗓️ 04.02.2025 Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amezindua Miradi itakayosaidia kuleta zaidi mageuz…
0
7
0
@GileadTeri
Gilead Teri
8 days
RT @ikulumawasliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global…
0
172
0
@GileadTeri
Gilead Teri
8 days
RT @InvestTanzania: TIC kwa kushirikiana na Ubalozi wa Angola nchini Tanzania wamepokea ujumbe wa Wakurugenzi Watendaji na Wawakilishi wa M…
0
1
0
@GileadTeri
Gilead Teri
9 days
RT @InvestTanzania: DODOMA📍 Wananchi wa Dodoma Kunufaika na Uwekezaji kupitia Upanuzi wa Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti Cemex Wananchi wa…
0
1
0
@GileadTeri
Gilead Teri
9 days
RT @InvestTanzania: Dodoma đź“Ť
0
5
0
@GileadTeri
Gilead Teri
9 days
RT @akin_adesina: Unprecedented Partnership — Africa Energy Summit: President of the World Bank Group Ajay Banga and I jointly launched Mis…
0
71
0