ChiefMKOMWA Profile Banner
ChiefMKOMWA🇹🇿 Profile
ChiefMKOMWA🇹🇿

@ChiefMKOMWA

Followers
4K
Following
28K
Statuses
9K

SECRETARY (CDM) KITETO DC, 2020 GENERAL ELECTION CANDIDATE OF COUNCILOR FOR KALOLENI WARD IN KITETO DC GTBWLB3X GTBWLB3X

Maasai Land KITETO
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
4 years
Serikali Inapesa za Kuwalipa Wabunge Feki Bungeni Lakini Haina Pesa za Kuwaongezea Mishahara Watumishi wa Umma WATUMISHI ....ukifika wakati wa uchaguzi CCM mbelekwambele Endeleeni kufumba macho tu ............KAZI IENDELEE
2
9
31
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
3 hours
RT @EduTalkTz: 🤝🤝🤝🤝🤝🤝📌📌📌📌
0
54
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
6 hours
Tweet media one
0
201
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
6 hours
RT @VitusNkuna: Vijana wa Kagera,Geita na Mwanza Mpokeeni Mwenyekiti wa Vijana Kanda ya Victoria Kamanda @Fred_Masele Imarisheni Baraza na…
0
14
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
6 hours
RT @Zacharia_Obada: Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa 10:00 jioni. Hot…
0
7
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
6 hours
RT @HaongaHon: Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mpambanaji Dereck Magoma kilichotokea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Mago…
0
35
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
8 hours
RT @ChademaTz: Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiy…
0
167
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
8 hours
RT @CHADEMAZANZIBAR: Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa leo wamemtembelea…
0
20
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
11 hours
RT @NectoKitiga: " Tusahau tofauti zetu zile za kwenye uchaguzi ili tuweze kutekeleza yale malengo ya pamoja kama Chama kuelekea mbele No R…
0
14
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
12 hours
RT @John_Pambalu: Ninakuja Tarime
Tweet media one
0
95
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
12 hours
RT @MsigwaPeter: Umeondoka mapema sana kaka nimebaki midomo wazi ! R.l.P Magoma.
Tweet media one
0
90
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
12 hours
RT @ShijaShibeshi: Lala Salama Rafiki na Mwenyekiti Mstaafu Mkoa wa Manyara. R.I.P Dr MAGOMA
Tweet media one
0
22
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
12 hours
Picha: Kikao kifupi cha viongozi na familia baada ya kuupokea mwili wa mpendwa wetu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mstaafu wa mkoa wa Manyara, Derick Magoma Jr. PhD. #RipMagoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
29
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
RT @chacha_heche: @John_Pambalu @HecheJohn Karibu Sana kamanda
0
3
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
RT @John_Pambalu: Tarehe 13.02.2025 tutamsindikiza Mhe. @HecheJohn nyumbani kwao Sirari mkoani Mara. Pamoja na mambo mengine, nitatumia mku…
0
85
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
RT @lifeofmshaba: Kuna wahuni wanafurahia Mateso ya Dr Slaa kwa hoja kwamba ni KARMA Kwamba wakati FAM anapitia mateso Dr Slaa alisimama…
0
56
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
@lifeofmshaba @MariaSTsehai Hawajielewi Broo Injustice for everyone is Injustice for all Haijalishi Amekukwaza wapi Kama watafurahia hili basi hata kesho Wengine tukifunguliwa kesi zakubambikiza hatutakuwa na msaada na msukumo wa umma
0
0
1
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
@MariaSTsehai Wajinga Hao Wanafikiri watatutoa kwenye Reli Safali hii Tunaendanao kiulaloulalo
0
1
5
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
Rest In Peace Dr Derick MAGOMA
0
5
15
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
RT @Apollo_Boniface: Derick Magoma aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Manyara amefarika leo tarehe 09 Januari katika hospitali ya Taif…
0
53
0
@ChiefMKOMWA
ChiefMKOMWA🇹🇿
1 day
RT @MariaSTsehai: The meme is updated 👊🏽 CCM went from Revolutionary party for workers and farmers to hoodlums that run militia for the few…
0
100
0