![Pascal Yohana Haonga Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/896013753447329792/zG0YEsGJ_x96.jpg)
Pascal Yohana Haonga
@HaongaHon
Followers
14K
Following
1K
Statuses
544
Member of Parliament-Mbozi Constituency (2015-2020).
Tanzania
Joined August 2017
Leo Wasira atalala na viatu,akiamka kesho atakosea kufunga vifungo vya suti.Hongera kwa kuhutubia Taifa kaka @HecheJohn.
3
25
224
Huu ni ukomavu wa kiwango cha juu sana katika demokrasia ndani ya chama chetu.Umeonyesha uungwana mkubwa sana kukubali matokeo kamanda Mbowe @freemanmbowetz . Hongera sana Tundu @TunduALissu kwa kuaminiwa.Kilichobaki ni kuunganisha wanachama wetu waliogawanyika wakati wa kampeni.
7
35
191
Hii ni taarifa mbaya na ya kushitua.Tupambane kupaza sauti kwa ajili ya mpiganaji huyu asiyechoka.Maria @MariaSTsehai amekuwa msitari wa mbele kutetea haki za Watanzania wengi.Bring back Maria Sarungi.
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
4
63
138
Lengo la Wenje lilikuwa ni kumshinda TAL katika nafasi ya Umakamu Mwenyekiti.Alitangaza vita siku ya kutia nia ya kugombea.Hii ya Heche @HecheJohn leo ni surprise kwa wengi sidhani kama Wenje alitarajia.Kwa mtazamo wangu hapa Wenje kalikoroga.Hii derby siyo ya kitoto let us wait.
85
182
1K
@AdvMatata @sightmirror Hongera sana Wakili Msomi @AdvMatata kwa kazi nzuri iliyotukuka.Hakika wewe ni hazina kubwa sana kwa chama chetu.
0
0
16