![CHADEMA ZANZIBAR Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1878067907332083712/jIf8gJoH_x96.jpg)
CHADEMA ZANZIBAR
@CHADEMAZANZIBAR
Followers
11K
Following
824
Statuses
4K
The Main Opposition Political Party in Tamzania
Zanzibar West, Tanzania
Joined September 2020
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake jijini Dar es salaam
0
21
112
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #StrongerTogether
1
28
86
Maadhimisho siku ya Wanawake Duniani, Machi 08, 2025. Baraza la Wanawake Chadema @BawachaTaifa wataazimisha siku hiyo kitaifa Kanda ya Pwani.
0
30
125
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Mhe. @HecheJohn atapokelewa nyumbani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuchaguliwa Januari 21, 2025. Mapokezi hayo yataambatana sherehe ya pongezi. #StrongerTogether
1
30
149
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. @TunduALissu atapokelewa nyumbani Ikungi, Mkoa wa Singida baada ya kuchaguliwa Januari 21, 2025. Mapokezi hayo yataambatana sherehe ya pongezi. #StrongerTogether
0
54
234
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu mapema leo, February 4, 2025 akiteta jambo na Maulida Komu, mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama. Kamati Kuu ya Chama imeketi leo Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #StrongerTogether
0
21
178
Wenyeviti wa Kanda wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Chama baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #StrongerTogether
4
31
209
Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika akizungumza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #StrongerTogether
0
30
186
RT @ChademaTz: Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika akizungumza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025…
0
102
0
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe Said Mzee Said akikabizi kombo kwa washindi wa mashindano ya Nungwi Super CUP 2024 -2025 yaliozaminiwa na @CHADEMAZANZIBAR
1
29
166
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said akiongea na wapenzi na mashabiki waliojitokeza katika mchezo wa fainal ya Nungwi Super CUP yalioratibiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe Ali Ibrahim Juma nà kuzaminiwa na @CHADEMAZANZIBAR
4
75
346
Fainal ya Nungwi Super CUP 🎶Naapa naahidi mbele ya Mungu Chadema nitakulinda mpaka kufa🎶 #StrongerTogether
4
47
199