![Chacha Heche Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1886741611201077248/VlEN5yT7_x96.jpg)
Chacha Heche
@chacha_heche
Followers
32K
Following
75K
Statuses
15K
RT @Mwabuk2Boniface: Suala la Utekaji kwa Watanganyika lipo.Waliotekwa wapo,Waliopotea baada ya kutekwa ambao mpaka sasa hawajaonekana wap…
0
177
0
RT @Jambotv_: VIDEO: Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia alitumi…
0
33
0
RT @fanuel_siyame: Tukiwa tunajiandaa kwenda Nyumbani kwa Makam Mwenyekiti CHADEMA Tanganyika, Mhe. @HecheJohn. Naomba Kuwasogezea na hii k…
0
78
0
Nimesikitishwa Sana na kauli hii iliyotolewa na kinywa cha Mzee ambaye tulitegemea awe anatoa kauli alizopima zina ukweli gani kama mkoa wa Mara tutampa takwimu halisi kuwa Sisi watu wa mkoa wa Mara sio watu WA fujo kama anavyotaka tusomeke duniani na tutalaani Jambo hili sana
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama vya upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Amesema CCM ina mipango mizuri kuhakikisha vijana hao wanatumia nguvu zao kujiletea maendeleo ya kiuchumi na kujikwamua dhidi ya umasikini. Wasira aliyasema hayo alipokuwa akizindua ofisi ya CCM Kata ya Nyakonga wilayani Tarime, Mkoa wa Mara. "Nataka niwaambie wananchi wa Tarime CHADEMA wakitaka kufanya fujo mahali popote wanakuja kuchukua vijana Tarime wanapelekwa kufanya fujo kama majeshi ya kukodi, wakitaka kufanya fujo Mbeya wanakuja, Tarime, wakitaka kufanya fujo sehemu Tarime," amesema Wasira "Tunawaambia vijana wa Tarime wana mvua wana jua na Tarime panalimika, kila kitu kinaota tuwasaidie vijana wa Tarime watumie fursa zilizopo, tunawaambia CHADEMA muache kuja kuchukua vijana Tarime, sisi sio eneo la mapambano, vijana wetu sio wa kukodisha kwenda katika mapambano, nasema kama mzee wa Tarime waache kuja kuchukua vijana wa Tarime," Wasira amewataka vijana wasikubali kuchukuliwa na kutumika katika vurugu kwa kuwa wakienda huko hupigwa, kuumizwa na hata kupata ulemavu kisha kurudishwa Tarime wakiwa na hali mbaya. #EastAfricaTV @ccm_tanzania
6
20
76
RT @JustineOctavian: Endelea kupumzika kwa amani Alphonce! tuna kazi kubwa ya Kuhakikisha legacy yako hasa ya kuijenga Chadema @ChademaTz m…
0
64
0
RT @HildaNewton21: Mliokaribu na Rais Samia mfikishieni huu ujumbe kutoka kwa Mwanaccm mwenzake.
0
190
0
Mzee katibu WA bavicha Tarime atakujibu uongo wako
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama vya upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Wasira aliyasema hayo alipokuwa akizindua ofisi ya CCM Kata ya Nyakonga wilayani Tarime, Mkoa wa Mara. Amesema CCM ina mipango mizuri kuhakikisha vijana hao wanatumia nguvu zao kujiletea maendeleo ya kiuchumi na kujikwamua dhidi ya umasikini. Wasira amewataka vijana wasikubali kuchukuliwa na kutumika katika vurugu kwa kuwa wakienda huko hupigwa, kuumizwa na hata kupata ulemavu kisha kurudishwa Tarime wakiwa na hali mbaya.
4
8
45
Majuzi Tu Mzee wasira aliita watu vibaka ...
VIDEO: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara kwa upande wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM lazima kiwe chama cha mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi na sera huku akidai chama hicho siyo chama cha kuzungumza matusi. Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo Jumamosi Februari 8, 2025 Jijini Dodoma wakati wa ufunguzi kikao cha kamati ya utekelezaji wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi (CCM).
0
2
5
RT @mdudenyagali: Ndugu @mwigulunchemba1 ni kweli unahusika kutumia cheo chako kuiba pesa za Umma? Kuna ukweli wowote kwamba pesa za Umma u…
0
216
0
RT @MariaSTsehai: Say his name! DR WILBROD SLAA Former presidential candidate, former ambassador, former MP and former secretary general of…
0
151
0