Zacharia Thomas Obad Profile
Zacharia Thomas Obad

@Zacharia_Obada

Followers
7K
Following
12K
Statuses
2K

Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria

Tanzania
Joined November 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
18 hours
Nimeshiriki mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe @HecheJohn Sirari. Mapokezi ni namna mojawapo ya kupewa kibari cha familia na jamiii inayokuzunguka kukabiliana na mapambano. Makamu Mwenyekiti amepewa kibari cha kupambana na Serikali ya CCM . #NOREFORMNOELECTION
Tweet media one
3
35
254
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
3 days
CHADEMA inaamini katika uwezo wa vijana. Vijana ni viongozi wa leo na kesho. Wao wanakesho nyingi. Wanaweza kuwa wahanga au wanufaika wa maamuzi ya leo na kesho. Tuwape ushirikiano katika kupigania leo na kesho zao.
Tweet media one
3
24
106
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
4 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Mhe. @amanigolugwa leo tarehe 10.02.2025 wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. #StrongerTogether
Tweet media one
0
18
73
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
4 days
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa 10:00 jioni. Hotuba hiyo ataitolea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #StrongerTogether
Tweet media one
0
7
11
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
5 days
R.I.P Kamanda..
Tweet media one
1
10
78
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
6 days
Gwayaka. Bukoba Manispaa Gwayaka.. Mkutano wa hadhara Tarehe 8 Feb 2025.
4
68
403
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
6 days
RT @Sativa255: Tarehe 15.2. IKUNGI ITASIMAMA. Home boy wenu anarudi nyumbani kama Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA. Atasindikizwa na WAFUASI n…
0
321
0
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
7 days
Baada ya home ground moto utawaka nchi nzima. Wanavictoria hii siyo ya kukosa. Twendeni kwa pamoja tukaheshimishe viwanja vya viongozi wetu. Tusipoe. Twendeni kwa Makamu @HecheJohn na kwa Mwenyekiti @TunduALissu
Tweet media one
Tweet media two
0
29
111
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
7 days
Ferry ya Busisi inapambana na magugu. Ziwa Victoria limekuwa na magugu mengi eneo la Busisi-Sengerema. Hali hii inatia hofu kwa wasafiri.
0
2
2
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
7 days
RT @golugwa: Stronger Together
Tweet media one
0
98
0
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
15 days
RT @Liberatus80: 1-2: Nimepata haya kutoka kwenye hotuba ya Mh. @TunduALissu leo: 1. Naomba mjaribu kukumbuka mara ya mwisho lini mlishuh…
0
115
0
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
15 days
Nukuu za Mwenyekiti TAL
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
21
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
15 days
Salamu za rambirambi kufatia vifo vya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari ya Businda wilayani Bukombe -Geita. @TunduALissu @jjmnyika @ortamisemitz
Tweet media one
0
0
3
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
15 days
Poleni sana wazazi/walezi,walimu,wanafunzi na watanzania kwa ujumla kwa kuondokewa na wanafunzi wetu ambao kimsingi walikuwa na ndoto za kulitumikia Taifa letu. Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi. Tunawaombea majeruhi wapone haraka ili waendelee na masomo yao.
Tweet media one
0
8
31
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
16 days
Historia imeandikwa.
Tweet media one
0
3
7
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
18 days
RT @jjmnyika: Kwa mujibu wa ratiba hii ya @bunge_tz hakuna muswada wowote wa sheria kwa ajili ya reforms zitakazowezesha kuwa na #UchaguziH
0
420
0
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
21 days
Uzoefu (experiences) ni mkusanyiko wa kupata na kukosa,kufeli na kufaulu,kupendwa na kuchukiwa kushinda na kushindwa n.k. Hata hivyo binadamu hawezi kuwa na uzoefu bila kwanza kufanya maamuzi (decision). Ukifanya maamuzi yasimamie na jiandae kwa matokeo na gharama zake.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
20
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
22 days
CHADEMA Technical and Efficient Leaders. Hongereni sana Katibu Mkuu @jjmnyika Naibu Katibu Mkuu Bara @golugwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ally Jumla kwa kuaminiwa kutuongoza katika timu ya watendaji.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
16
117
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
22 days
Hongera sana Mhe Mwenyekiti wa Chama Taifa @TunduALissu kwa kuaminiwa na Mkutano Mkuu kuongoza mapambano yaliyopo na yaliyo mbele yetu. Kwa sababu umma ulikutaka wewe na wajumbe wametekeleza sasa ni wakati wa umma kuwa tayari kwa kazi ya uokozi wa nchi yetu.
Tweet media one
1
20
90
@Zacharia_Obada
Zacharia Thomas Obad
23 days
Kaka @godbless_lema ni mwanachama sahihi wa kukitumikia chama chetu. Anakipenda na pale kinapokuwa kwenye hali ya hatari hukilinda. Hongera kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu. Ni matumaini ya wanachama na wananchi Mwenyekiti wa Chama Taifa @TunduALissu hajakosea
Tweet media one
1
14
80