mtanzania_jr Profile Banner
RitchieJr🇹🇿🦅 Profile
RitchieJr🇹🇿🦅

@mtanzania_jr

Followers
954
Following
107K
Statuses
19K

THE CHOSEN ONE🦅 // Philippians 4:13

Joined November 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
5 months
📌📌📌
@kalegamyeh
Dr. Kala. MD
5 months
Heshima ya mwalimu inapatikana shuleni, heshima ya daktari inapatikana hospitali, heshima ya fundi inapatikana gereji, heshima ya baba ni nyumbani kwake etc. Mna stress sababu mnaforce heshima sehemu ambayo hamtoi thamani yeyote.
1
0
7
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
25 minutes
@LL_Saint_ Mimi Hawa apana kwakwel
1
0
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
26 minutes
@bonifacejoseph_ @rayasel94 Kendrick ata top 5 all time hasogei
0
0
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
29 minutes
RT @MfalmewaX1: Hatujui kama tutapata ila tunaimani na anayetoa, Good morning wapambanaji.
0
11
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
29 minutes
RT @ExautUnbroken: Morning champions ✊🏿
Tweet media one
0
6
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
31 minutes
@Big_Nicky01 All the time
0
0
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
31 minutes
RT @Big_Nicky01: God is great🙏🏼
0
22
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
10 hours
Tweet media one
0
46
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
10 hours
@iMajeshi_ Hii injili mwanzo unaweza usiielewe ila unavozidi kusikiliza ndio inamake sense zaid
0
0
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @MfalmewaX1: Wafalme, Hata kama hujawahi kuwa na mahusiano maisha yako yote, Kamwe usimwambie mwanamke yeyote mpya unayekutana nae, W…
0
11
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @prossoff: Ipi mbaya zaidi. 1. Kutengeneza single mother. 2. Kuongeza mtoto wako kwa kuzaa na single mother.
0
22
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @mzeewakaliua: Dodoma waongo wameongezeka. Wanawake wote wanadai wako UDOM, Wanaume wote ni Usalama wa Taifa.
0
34
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @bohny_chengula: Valentine hii kijana wakiume kama haupo vizuri kausha tu, kama anakupenda ataelewa kipindi unachopitia ni kigumu.
0
35
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @kapeto98: Ingekuwa Vizuri sana Yanga angepoteza Game zingine Kama Mbili mbele Akiwa na Huyu Kocha wake Mpya..!!!🤝🤝🙌
0
7
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
RT @goldenmvrs: Ni Msanii Gani Unaweza Kumsikiliza Siku Nzima...? Yani Unaweza Kuweka Nyimbo Zake Tu Bila Kuruka Wimbo Wowote?
0
56
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
11 hours
Nyie endeleeni kujifariji japo team mnayo bana
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
11 hours
Mwaka 1984 Liverpool tulitolewa FA CUP katika raund ya 4. Msimu huo huo tukaenda kuchukua EPL,UEFA,carabao cup. Naona yanayo enda kutokea 🙏
1
0
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
22 hours
RT @joshlabzhd: 1. control tamaa. 2. avoid ujinga. 3. weka malengo mbele.
0
38
0
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
22 hours
@Rydx_017 @babalao__ @athanas_pius @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ HUYU APIGWE VIZURI MBONA ATASEMA KWANINI ALIKUA ANALIA
0
0
3
@mtanzania_jr
RitchieJr🇹🇿🦅
23 hours
Apa unaambiwa mzize alikua na miaka mi4
@Njamasi__
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥
1 day
Yaani kama huyu ndo diamond yupo na dada ake esma na huyo mwingine ni mzize, Naomba niseme tuu sina haraka na maisha 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1