Mauwezo_1 Profile Banner
Mauwezo_Jr Profile
Mauwezo_Jr

@Mauwezo_1

Followers
3K
Following
8K
Statuses
4K

_Liverpool my life 💔 -Only acc managed by Mauwezojr

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
3 days
Mwaka 1984 Liverpool tulitolewa FA CUP katika raund ya 4. Msimu huo huo tukaenda kuchukua EPL,UEFA,carabao cup. Naona yanayo enda kutokea 🙏
4
1
9
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
5 hours
Huyu jamaa atakuja afikishe follower 100M na hamto amini, hazingatiwi huyu 😅
Tweet media one
2
1
8
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
6 hours
@ChopaWang We kila siku ugali tu 😅
0
0
0
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
20 hours
Kwa nini Liverpool tunaonewa sana na marefa hii inakuwaje sio faul nakumbuka msimu ulio pita mechi dhidi na spurs walisema diaz kafunga ni offside baadae wakakiri wamekosea, 🚮 hawa marefa wanatokea Manchester
1
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
20 hours
@kalage_jr Nafanya ulinzi online
0
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
21 hours
Corect score 😅
@CfcClement
Clement
1 day
Celtic 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 2 : 4 🇩🇪 Bayern Everton 🇬🇧 0 : 2 🇬🇧 Liverpool Club Brugge 🇧🇪 1 : 2🇮🇹 Atalanta Stake wisely 🧏 📍 Asomdwee Park, Accra, Ghana
0
0
0
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
23 hours
@Neypaul01 Kadema fanya mpango upendeze zaidi
0
0
0
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
24 hours
@sarah1_tz @ChopaWang 😅😅 wakati anakula milo 3
1
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
24 hours
😅😅😅
@CfcClement
Clement
1 day
Celtic 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 1 : 2 🇩🇪 Bayern Feyenoord 🇳🇱 0 : 1 🇮🇹 AC Milan Club Brugge 🇧🇪 1 : 4🇮🇹 Atalanta Stake wisely 🧏 📍 Flagstaff House , Accra, Ghana
0
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
24 hours
0
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@gratian_barbosa Ndio maana sizan kama atanunuliwa bwana FGS alikua anamkwamisha sana klopp mpak akaamua kua anawainua vijana
1
0
0
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
Tuweke hela hapa
@CfcClement
Clement
1 day
Celtic 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 1 : 2 🇩🇪 Bayern Feyenoord 🇳🇱 0 : 1 🇮🇹 AC Milan Club Brugge 🇧🇪 1 : 4🇮🇹 Atalanta Stake wisely 🧏 📍 Flagstaff House , Accra, Ghana
0
0
2
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@DullahTheking2 @Sambelieve79 @PresenterNoah Kalili maneno tu ukifika pale lazima wakupe mf Box to box False no 9 High pressing nk 😅
2
0
2
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@EsirEid Mabatini 😅😅
Tweet media one
0
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@Jambotv_ Hii ni spana sana
0
0
4
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@gratian_barbosa Kuna chanzo niliona 300k per week.
1
0
0
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@Neypaul01 Sio kila kiuni kikiuma ni ugonjwa unaweza kua unakalibia M.P yako wengi huwa wanasumbuliwa na kiuno au tumbo la chini,. Nje na hapo kafanye vipimo
0
0
1
@Mauwezo_1
Mauwezo_Jr
1 day
@Neypaul01 @Godie_StarboeII Hapo mloganzila kuna mama alikuja kujifungua (prime gravida) 39yrs. Kuna shida alipata sasa kuulizwa kwa nini hukuzaa mapema akasema nilikua sitaki mtoto mapema je uzazi wa mpango ilikuaje ? Akasema alichoma sindano 9 na baadae akaweka kijiti cha 10yrs. Aloo tuzae mapema tukiweza
2
0
4