![Desdery Moses Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1149418306522230784/tr-7TpSW_x96.jpg)
Desdery Moses
@mosesdesdery
Followers
596
Following
7K
Statuses
3K
Meteorologist @tma_services I Weather ⛈️ | Climate 🌡 | Energy ☀️ I @CYNESA Country Director for Tanzania
📍 Dar es salaam, Tanzania
Joined March 2012
RT @MariaSTsehai: ‼️Natimiza wajibu kuwaletea hili tangazo kwa wakatoliki wenzangu!‼️ Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki…
0
242
0
@Thommunkondya Maeneo yapo ila itabidi serikali/watu binafsi waingie gharama kidogo kupata kitu kizuri. Mfano Morogoro road pale Shekilango opposite na NHC kuna warehouses zimeongozana mpaka unafika kwenye sheli ambapo Abood zinapaki. Lile eneo pangejengwa mall ingekuwa poa sana
0
0
2
@Sonic563 @GillsaInt Alibaba ni bulk sidhani kama wanauza bidhaa moja, labda bidhaa moja in a bulk.
0
0
1
RT @09Vato: @mosesdesdery @GillsaInt Alibaba - Target Suppliers - B2B - order/ procure direct from manufacturers/ Kiwandani - Wholesale Bus…
0
1
0
@09Vato @GillsaInt For your advice, kwa anayeanza ungemshauri anunue from Ali express au Alibaba? Pia kuna wandewa wanaitwa Shein what can you say about them? Kwenye malipo kuna hizi Visacard za mitandao ya simu do you advice watu watumie hizo pia au lazima ziwe hizo za mabenki?
1
0
0
@thomasjkibwana @theutdcode Kaka kuna wale Wanguu ambao inasemekana wanaongea lugha zote mbili za Kisambaa na Kipare.
0
0
0
RT @changa601: WMO Director for Africa, Dr Agnes Kijazi (R), introduces Dr Ladislaus Chang’a (L), the Permanent Representative of Tanzania…
0
1
0
Kuna nyakati unaweza kuhisi @Imaniluvanga anamuonea sana @JumaAyoo kwenye utani-burudani wao ila kuna time kibao kinageukaga mpaka unamuonea huruma malkia 😀 We love you guys, keep it up! 🤜🤛
0
0
0
RT @UKinTanzania: "Clean energy transforms lives!" – Delicia Mwanyika, Youth Climate Activist in 🇹🇿, inspires action via advocacy for susta…
0
6
0
@Kudu_ze_Kudu I agree with you @Kudu_ze_Kudu but there is an issue of repercussions associated with the changes you make. Will they be bearable or not? Sometimes people are reluctant to make changes because of the consequences that are followed after.
1
1
1
That was a scapegoat, you have actually pointed out a vivid example of Al Hilal. We expect him to do much better than Ibenge.
Many coaches who come to Tanzania think what Ramovic said, but don’t always say it in public. Not all leagues are created equal. You have to find solutions to prime your team for the CL. Al Hilal have topped the group despite issues in Sudan & not having a real home advantage.
0
0
0
@thomasjkibwana Ukitoa wamiliki wa vyombo vya habari, je kuna namna hawa waandishi wanakuwa regulated na bodi Yao kama vile ERB (wahandisi) au TLS (mawakili)? Au tunaacha tu busara za MWAJIRI afanye anachojisikia? Naona kila mwanahabari amekerwa lakini hakuna hatua zinachukuliwa. Zumbe upo? 😀😀
0
0
0