Juma Ayo Profile
Juma Ayo

@JumaAyoo

Followers
21K
Following
70K
Statuses
17K

Sports Presenter at @crownMediaTz admin sports reports Tz African soccer updates player,teacher call.+255753432582

Dodoma, Tanzania
Joined November 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JumaAyoo
Juma Ayo
12 hours
Tbt na mzee...kila hatua dua Alhamdulilah
Tweet media one
14
6
208
@JumaAyoo
Juma Ayo
13 hours
KMC jiandaeni na mechi kesho ,sasa propaganda za mganga kakutwa zinatoka wapi Mganga anacheza namba ngap kesho? Infact tuache kujiami mapema na propaganda za kizaman mpira ukachezwe kesho
4
2
91
@JumaAyoo
Juma Ayo
14 hours
@2legsGwi 🤣🤣
0
0
0
@JumaAyoo
Juma Ayo
14 hours
@Man_Byzo Shukran
0
0
1
@JumaAyoo
Juma Ayo
17 hours
@Man_Byzo Hii inshu ya socl media sidhan kama ilikuw hoja kama una hoja kuhud social media nipo tayar kujifunza point ya msingi awali ni ww kunibeza na kuona hata hapa nilipo sistahili ndio nikakuqmbiq hongera kama umewahi kuhoji watu lkn mm Kuna jamii nawawakilisha nikionesha nina majib..
1
0
0
@JumaAyoo
Juma Ayo
20 hours
@Man_Byzo Hoja haikuw huku kwenye acc zangu na hata acc zangu navoendesha ni nilivochagua mimi msitake mnavotaka nyie... But ahsante kwa kutambua nilipo hapa si kwa bahat mbaya tuendelee kueshim hilo lkn ukiona siwez chochote pia kher
1
0
1
@JumaAyoo
Juma Ayo
22 hours
@255antos Hii ilikuw interview na aliyekuwa anaulizw maswl ni ali ndio maan nilimwambia mwanzo majibu poa yatatoka kwake nikuulize umeshawahi kufanya interview ngap? Anyway nilutskie wakati mwema Rafik wachache kama ww wanaweza kuhoji watu hongera
0
0
0
@JumaAyoo
Juma Ayo
22 hours
@255antos Sheikh unafikir tunapouliza viti hatujui? Au unadhan hatuna majibu? Lkn kama ww hapo unajua kitu unadhan mtu mwingine anajua? Unapokosoa watu jitahid uwe unajua hiyo kazi na ulishaifanya usifikr Sina majibu ya ninayouliz lkn nipo hapo kumwakilishq yule ambae hajui chochote
1
0
0
@JumaAyoo
Juma Ayo
22 hours
@umbuje10 Nilipata hii kazi kwa bahati tu kaka ni mungu tu uwezo sina
0
0
1
@JumaAyoo
Juma Ayo
1 day
Kocha wa belozoudad Ramovic anashinda huko Algeria mbona kama mmepiga kimya
1
0
43
@JumaAyoo
Juma Ayo
2 days
Kwenye football yetu kwa uzoefu wangu Kuna muda unaweza kuongea au kuandika vitu ambavyo unajikuta umetengeneza maadui wa mpira (sio maadui wa maisha) Matokeo yake maadui wa mpira wanaweza kuungqna ili kukukwamisha ,lengo ni wewe usipate furaha. Tuwe makini na tuwe na kiasi.
5
0
54
@JumaAyoo
Juma Ayo
3 days
Mkeka wangu wa leo kupitia Galsportbettingtz Simba win Psg win Man city gg Juventus 1X Sporting cp 1X Leeds united Win Weka nyumba utaikomboa kesho
5
1
49
@JumaAyoo
Juma Ayo
3 days
Crown sports 92.1 iko hewani Unatuskiza ukiwa wapi? Leo Simba V prison saa 10 nini maoni yako
8
0
62
@JumaAyoo
Juma Ayo
3 days
Kuna watu wanajaribu tu kumkosoa kocha wa Yanga kwa Sub zake leo lakini mimi nilikuwpo uwanjani ,tuwape Heshima JKT walipoozesha mchezo kivyovyote hata angecheza nani bado kulikuwa na ugumu,JKT walihitaji zaidi alama 1. Mzize pia nilimuona aliumizwa mapema ikampunguza kasi.
4
2
106
@JumaAyoo
Juma Ayo
4 days
Hongera kocha Ahmad Ally kwa kucheza kwa nidhamu leo dhidi ya Yanga...umewafuraisha wana Simba huko dunian
Tweet media one
12
17
961
@JumaAyoo
Juma Ayo
4 days
Crown sports 92.1 iko hewani unatuskiza ukiwa wapi?
Tweet media one
5
0
34