09Vato Profile Banner
09Vato Profile
09Vato

@09Vato

Followers
250
Following
8K
Statuses
3K

Dar es Salaam
Joined October 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@09Vato
09Vato
5 days
@KennedyMmari Hivi kilichofanya hasa hasa wanafunzi wengine wasi protest ni kwasababu aliyotoa mkufunzi au kwasababu generally Human beings are conditioned to subject themselves to authority even if its wrong?
0
0
0
@09Vato
09Vato
8 days
@NashBishumba @Nrs_Kethz You are equally stupid.
4
1
172
@09Vato
09Vato
8 days
@Nrs_Kethz The kind of love between man and his wife, or sidechick is a Romantic Love. The kind of love between Father and Daughter is Familial/ Storge love. Calling your 5 year old a sidechick is grossly inappropriate and immoral. Its offensive.
4
0
2
@09Vato
09Vato
8 days
RT @JMakamba: A lot is going on around the world. The existing post-WW2 rules-based order —signified by, among other things, a movement tow…
0
49
0
@09Vato
09Vato
8 days
Tatizo ni Exposure Kwa tamaduni za wazungu, anachofanya ni kitu cha kawaida. Wana exposure kubwa. Kuna nguo ukivaa hapa mjini, watu hawatakushangaa. Watu wa mjini wana Exposure kubwa. Ila ukienda huko interior nguo hiyo hiyo watu watakuona uko uchi, kama tu sisi tunavyomwona Bianca. Mfano, gauni ulilovaa wewe DP maeneo mengi utaonekana uko Uchi.
0
0
0
@09Vato
09Vato
8 days
Wazo zuri, lakini hilo sio lengo la Sanaa. Lengo ni hadhira kuangalia, na kuumiza kichwa ili kupata maana. Na maana sio moja. Umuhimu na Thamani ya kazi ya sanaa kama hii ya masoud, vinyago au art galleries iko katika Ambiguity/ Subjectivity. Ambiguity hiyo ndio inakuza uwezo wa hadhira kufikiria kwa kina ili kupata maana inayoendana na hiyo kazi ya sanaa. Masoud Akishaanza kutafsiri kazi zake, zitapoteza mvuto.
1
0
0
@09Vato
09Vato
8 days
@ngodajr @MfanyakaziNews @Mwabuk2Boniface Correct 💯💯 Inshallah Ntakutafuta yapo mengi ya kuongea..
0
0
1
@09Vato
09Vato
8 days
@ngodajr @MfanyakaziNews @Mwabuk2Boniface 😄😄 najua ndugu Joji sasa hivi unaniona mimi ni kada wa CCM kindaki ndaki. Itabidi siku moja nikutafute nikuelezee vizuri mrengo wangu wa kisiasa ana kwa ana..
2
0
1
@09Vato
09Vato
9 days
@Wizdomtz Ni urembo tu, kama wewe unavyovaa shanga..☺️
0
0
0
@09Vato
09Vato
9 days
@EngMapundajr Chucks, Kwa Heshima..
Tweet media one
0
1
1
@09Vato
09Vato
9 days
@Chahali Kitendo cha watu kama Gwajima kuamini wanaweza kuwa Maraisi ni ishara ya Taasisi ya Uraisi kupoteza Heshima mbele ya jamii.
0
1
11
@09Vato
09Vato
9 days
Madai ya ubaguzi aliyoyatoa Trump dhidi ya Serikali ya Africa Kusini binafsi nimewahi kuyasikia before yakitolewa kwenye online platdoems za White Supremacist groups za Ulaya na Marekani (Far Right/ Alt Right movements). Wazungu wengi kwenye haya makundi wanasema Africa Kusini kuna genocide dhidi ya Wazungu (Afrikaners) inaendelea. Lengo lake ni ku-cement narrative ya White Victimhood kama namna ya kujenga hofu na kuhalalisha vitendo vya kibaguzi na ubaguzi. Hili jambo lina surface now kupitia Trump kwasababu makundi ya wazungu wabaguzi wa Afrika Kusini yanafanya lobbying Marekani ili madai haya yapewe airtime, kama tu Waisrael wanavyo lobby kupata support ya Marekani kupitia AIPAC.
0
0
0
@09Vato
09Vato
9 days
Hapa kuna mijadala miwili; 1. Umuhimu wa Kukata Bima. 2. Umuhimu wa kuboresha huduma za afya kwa wanaotumia Bima. Huduma mbovu kwa walio na bima hakuondoi umuhimu wa kuwa na bima, na sio justification ya kutokuwa na Bima. Havihusiani kabisa. Kwasababu ni tatizo la kiutendaji, sio tatizo la kimfumo.
2
0
0
@09Vato
09Vato
10 days
0
0
0
@09Vato
09Vato
10 days
Ukishaona hivyo ujue hela za magumashi. Ni kama yule Chief Godlove. Anatembelea gari ya Milioni 100 halafu eti anavaa jeans ya Crux ya elfu 25, Tshirt ya elfu 25 na sendo za clarks za elfu 35, na saa ya elfu 50. Hoja kwamba kipaumbele sio muonekano ni hoja ya Kichawa, na Kimaskini, Mbona GSM na Yusuf Bakhresa wanapiga vitu Vikali?
1
0
1
@09Vato
09Vato
10 days
Bima ya Afyra ni hiyari kama una uwezo wa ku raise hela ya matibabu unapopata dharura. Kama huna bima ya afya ni lazima. Tuko hapa tunatetea wanachuo wasiwe na bima ya afya kwa kusema ni hiyari, halafu siku wakipatwa na matatizo wakashindwa kutibiwa kwasababu ya gharama kubwa since hawana bima tutarudi hapa kufanya what we are good at, kuvinanga na kulaumu vyuo na serikali kwa kuruhusu wanafunzi kusoma bila bima ya afya.
2
0
2
@09Vato
09Vato
10 days
@mosesdesdery @GillsaInt Whether utumie Alibaba au AliExpress it depends unataka kununua nini. Shein siwajui. Hakuna option ya kutumia Masterpass kwenye manunuzi ya Alibaba na AliExpress.
0
0
1
@09Vato
09Vato
10 days
@Hisiayako @GillsaInt Visa/ Mastercard
0
0
0
@09Vato
09Vato
10 days
Alibaba - Target Suppliers - B2B - order/ procure direct from manufacturers/ Kiwandani - Wholesale Business - meaning In most cases wanaweka minimum order quantity which means inabidi ununue bulk. AliExpress - Consumers - B2C - Order from Online Shops za Manufactures - Retail business. In Most Cases ni Card yako ya Benki (Debit/ Credit Card) kwa AliExpress. Kwa Alibaba ni Same au other neans kama Letter of Credit arrangement kwa contracts kubwa. Vitu vinavyokuja ni kama ulivyoagiza, nimenunua zaidi ya mara moja pia. Soma na Zingatis Descriptions and Specifications za unavhotaka kununua, hakikisha ndicho unachohitaji. Soma na Zingatia Reviews za wanunuaji wengine
1
1
2