![Al-Masoud Bin Saleh Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1368467815515185153/B7hsLwpQ_x96.jpg)
Al-Masoud Bin Saleh
@almasoud07
Followers
27K
Following
45K
Statuses
6K
Monitoring and Evaluation Expert A social media manager A doctor by experience
Joined October 2014
@Omary_KB Tajiri muda mwingi anashughulishwa na utafutaji wa pesa, anakosa muda mwingi wa kukaa na familia. masikini akishapata riziki yake ndogo anatulia na familia yake
1
1
5
@SimbaSCTanzania @AneuriniK Hakuna mtu wa kumalizia mashambulizi yake. Kwa ufupi anacheza na wachezaji asolingana nao viwango
0
0
2
@BrownMbwilo Hao wanawake hawakupendi wewe sababu unajua kutafuta. Wanazipenda hizo pesa zako wakuchune waende zao
0
0
1
@Cutyhusnah @Wakusoma223 Nilichojifunza ni kwamba tukiichezea amani yetu hakuna taifa linaloweza kutusaidia.
1
0
0
@Mryok56 @athanas_pius @bajabiri @DullahTheking2 @MrCEO001 @Rydx_017 @MakeresB @Jaydanydemr @josure22 @ze_mandevu @zumbekhan Tizama mikono yao, utaugundua wa mzee na wa kijana
0
0
0