![brown Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1781404390655406080/b3pLJ4kZ_x96.jpg)
brown
@MakeresB
Followers
348
Following
86K
Statuses
10K
Power is dangerous it corrupt the best and attract the worst
Guadalupe, Nuevo León
Joined May 2019
@PresenterNoah Ni kweli sio jambo zuri ila kuna muda unakuaga na kaushamba mpaka inafikia watu kujiuliza ilikuaje ukafikia kua kwenye media kwa uelewa ulionao
0
0
0
@Oumar_bulla Ukiangalia marudio ya lile goli la chasambi utagundua chasambi alidhamilia na alijua ninu anafanya hii ndio shida ya kuishi simba huku moyo upo yanga
0
0
0
@PresenterNoah We jamaa unafanya watu wa mbeya waonekane zimepungua na expossure yote uliyonayo lakini bado mshamba mshamba
0
0
1
@TriciaAbou Mimi ningemfukuza kabisa lroleo huwezi ku curve mpira wa kumrudishia kipa kwa nguvu namna ile amsaidi timu ya zingeli kukaa kileleni
0
0
2
@Dominicksalamb1 Mtu akikuangalia usoni anaona wewe ni mtu makini kabisa ila kwenye yanga unajivua akili
0
0
0