![Pilot ✈️ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1880528770534174720/TduVoOpz_x96.jpg)
Pilot ✈️
@josure22
Followers
215
Following
2K
Statuses
3K
@phrankie136 @Enemy_19 Huyu jamaa hana akili. 300 sio ndogo kwa mtu anayevuka kila siku go and return. Kwa siku 300 x 2 = 600 600 x 7 (wiki) x 5 (siku za kazi) = 21,000 kwa wiki. sasa piga 21,000 x 30 = 630,000. Daaah, hii ni hela ndefu aisee.
5
0
2
@inthelifeofveeh @adamlutta huna hoja ndio maana unakimbilia lugha chafu. Umesha basi, haya tuma salamu kwa watu 3
0
0
0
@inthelifeofveeh @adamlutta Halafu deni la taifa sio lazima udaiwe na nchi za nje, kuna madeni ya ndani ambayo sidhani kama kuna nchi haina deni la ndani, yaani uwe hudaiwi hata na kampuni ya ndani ? au benki au mifuko ya hifadhi ya jamii nk ?
1
0
1
@JotiOfficial Hapa na Pale ni kipindi cha Tv flani hivi. Kwahyo unatuambia tunadaiwa kwenye hicho kipindi tulikopa nn ?
0
0
1
@rollymsouth huyo atakua anamendea uji au maziwa ya mtoto au........ Kuwa makini nowdays dunia sio salama. Mtu anaendaje kwako mara kwa mara ukiwa haupo ? Je, beki tatu atakua salama? Je, mke ? Je,mtoto ?
0
0
5
@Juma23686159 @mdudenyagali Kuhusu hawa wanaotetea watekaji iko hivi. Hawa watekaji wana marafiki, wana ndugu, wana watu wanaoshirikiana nao kwenye uhalifu nk. Kwahyo ukiona jitu linakazana kulaumu Jeshi la Polisi, tambua moja kwa moja kuwa jitu hilo lina uhusiano na mtekaji. Period
0
0
0