sughe_jr Profile Banner
sughe jr πŸ”Ÿ Profile
sughe jr πŸ”Ÿ

@sughe_jr

Followers
5K
Following
21K
Statuses
336

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
9 months
Jiamini mwenyewe kama hakuna anaekuamini. #mtangulizeMungukwenyemaishayako.
Tweet media one
28
10
49
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
2 hours
Baada ya YANGA kuungana na SIMBA ndo tukapatapa jina YAS
Tweet media one
1
0
1
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
11 hours
@emanuel64027 Hahaha
1
0
1
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Kwenye maisha Ili upate pesa lazima utumie pesa , kama huna pesa ni ngumu kupata pesa .
0
3
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Your direction is better than your speed so do what's right and not what's easy.
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Kama hujaalikwa usiende na usiombe kwenda.
0
2
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Issue sio kuamka, je unaamka unaenda wap na kufanya Nini , kama mimi jobless acha tu niendelee kulala tu maana sina pakwenda .
0
3
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: β˜‘οΈ ukinenepa watu wanafikiri unakula sana. β˜‘οΈ Ukipungua uzito wanafikiri unaumwa . β˜‘οΈ Ukivaa vizuri wanafikiri una-show off.…
0
4
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Kua muoga nisawa na kulipa deni usilo daiwa. #nyakatingumuhazidumu.
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Kunawale watu ambao wanapenda shule sana lakini hawajawahi kufaulu vizuri, ila kunawale, ambao shule wanaenda basi tu lakini…
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Kwenye mapenzi kuna uongo hua unafanyika, mwanaume akienda kumtongoza mwanamke anamwambia mm niko single alafu mwanamke anase…
0
2
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Ukishindwa kutimiza ndoto zako mwenyewe, boss Mmoja atakuajili ili ukatimize ndoto zake. #nyakatingumuhazidumu.
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @sughe_jr: Usiogope kubaki mwenyewe maana hata kivuli chako mwenyewe kinakuacha ikifika usiku. #nyakatingumuhazidumu.
0
2
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @britishboe: @Yassin_Jiwe Mm n mwalim ambay sijawah chapa dogo na wanaelew kinoma
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
@almasoud07 Hapana, maisha yamekua magumu sahv unaambiwa unapiga mfuko wako
0
0
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
Mwanaume anatakiwa kuoa akiwa na miaka mingapi? Kibiolojia miaka 15 Kijamii miaka 26 Kisheria kuanzia miaka 18 Kitamaduni kati ya 24-28 Kiuchumi baada ya maika 30 Kimantiki hakuna kuoa.
1
0
6
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
Imagine doctor anakuuliza mbele ya mama ako et unampenzi? maswali mengine aiseee πŸ™Œ
0
0
1
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @almasoud07: Vijana wameanza kusalimia watu, jeuri imewaisha.
Tweet media one
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @almasoud07: Wakuu hivi Air Tanzania wanaanza kutonza mzigo kuanzia kilo ngapi?
Tweet media one
0
1
0
@sughe_jr
sughe jr πŸ”Ÿ
12 hours
RT @almasoud07: Muhimu mchana umepita salama.
Tweet media one
0
1
0