Wakusoma223 Profile Banner
Wakusoma ๐Ÿ‘‘ Profile
Wakusoma ๐Ÿ‘‘

@Wakusoma223

Followers
9K
Following
75K
Statuses
84K

Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
1 month
๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ง๐—จ๐— ๐—–๐—›๐—”๐—š๐—จ๐—˜ ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ฆ๐—จ๐—Ÿ๐—จ๐—›๐—จ ๐—›๐—”๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—ก ? Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya uongozi wa kipekee kwa kuzingatia maendeleo ya sekta ya elimu, jambo linalogusa moja kwa moja maisha ya mamilioni ya Watanzania. Katika kipindi chake cha uongozi, amefanikisha mambo makubwa yafuatayo ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ 1. ๐—จ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ 35,000 Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, serikali imefanikiwa kupunguza changamoto ya msongamano wa wanafunzi darasani kwa kujenga madarasa 35,000. Hii imewezesha wanafunzi kupata mazingira bora ya kujifunza, hatua inayochochea ubora wa elimu nchini. 2. ๐—˜๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐˜๐—ฎ Dkt. Samia ameendeleza na kuboresha mpango wa elimu bila malipo kwa kuufanya kuwa jumuishi zaidi. Wazazi na walezi sasa wamepunguziwa mzigo wa ada za shule, hatua inayowezesha watoto wengi zaidi kupata fursa ya kusoma. 3.๐—ž๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ Serikali ya Rais samia imeongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia TZS 787 bilioni. Hii imeongeza idadi ya wanafunzi wanaonufaika na mikopo, hususan wale wanaotoka katika familia zenye kipato cha chini. 4. ๐—ž๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ Dkt. Samia ameongoza mabadiliko makubwa ya sera za elimu ili kuhakikisha kwamba mifumo na maudhui ya elimu yanalingana na mahitaji ya soko la ajira na maendeleo ya taifa kwa ujumla. 5. ๐—ž๐˜‚๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—น๐—ฎ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ Katika kutambua mchango wa walimu, Dkt. Samia ameweka mikakati madhubuti ya kuboresha maslahi yao. Malipo na mazingira bora ya kazi yameimarishwa, na kuwahamasisha walimu kufundisha kwa weledi na bidii. ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฒ, Dkt. Samia ameonyesha kuwa elimu ni kipaumbele kikuu katika maendeleo ya taifa. Kiongozi mwenye maono kama haya ndiye anayefaa kupewa nafasi ya kuendelea kuwatumikia Watanzania kwa ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho. ๐—ž๐—ช๐—” ๐—›๐—”๐—ž๐—œ๐—ž๐—” #SamiaNakupaTano
Tweet media one
28
50
54
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
20 minutes
RT @IdrisaIddyTz: TANZANIA LEO ๐Ÿ”ธWasira afuchua siri siri ya ushindi CCM 2025 ๐Ÿ”ธSamia aridhia malipo ya fidia kwa Wananchi 429 Barabara yaโ€ฆ
0
8
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
34 minutes
Habari njema #SamiaNakupaTano
@LeeCute255
LINCOLN
1 hour
๐Ÿ“ŒWasira afichua Siri ushindi CCM 2025 โœ…Upinzani wataiona Ikulu katika luninga โœ…Awajibu wanasema CCM imekaa Sana ๐Ÿ“ŒRais Dkt Samia aagiza malipi Bil.254/- Kwa wakandarasi โœ…Lengo mi kuongeza ufanisi katika miradi
Tweet media one
0
0
1
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
34 minutes
RT @LeeCute255: ๐Ÿ“ŒWasira afichua Siri ushindi CCM 2025 โœ…Upinzani wataiona Ikulu katika luninga โœ…Awajibu wanasema CCM imekaa Sana ๐Ÿ“ŒRais Dkt Sโ€ฆ
0
9
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
35 minutes
#SamiaNakupaTano NYOMI LA MAMA SAMIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธ Kiongozi wa watu,anayekubalika na wote. Upendo wake kwa Tanzania haupimiki. Mwanamkakati, mchapakazi, mwanadiplomasia wa kiwango cha juu. Kila kona, kila mtaa, sauti ni mojaโ€”Mitano Tena bila shaka! Mama Samia ni chaguo sahihi la Watanzania
Tweet media one
9
18
17
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
36 minutes
@Mwitah_tz Under President Samia's visionary leadership, Iringa Airport is set to begin operations on February 22, 2025, with a 93% completion and an investment of Sh68 billion, driving growth in tourism, agriculture, and mining. #SamiaNakupaTano
0
0
1
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
37 minutes
RT @Mwitah_tz: The construction of Iringa Airport in Nduli Ward, Iringa Municipality, is now 93% complete, with a total investment of Sh68โ€ฆ
0
12
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
38 minutes
RT @Wakusoma223: #SamiaNakupaTano TANZANIA LEO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (Jumanne Februari 11 - 2025) DKT.SAMIA AAGIZA MALIPO BIL.254/- KWA WAKANDARASI https://โ€ฆ
0
19
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
39 minutes
Habari njema #SamiaNakupaTano
@manywele_ze
The Manywele
1 hour
Wasira afichua siri ushindi CCM 2025 ๐Ÿ”ท๏ธ Upinzani wataiona Ikulu katika luninga ๐Ÿ”ท๏ธ Awajibu wanaosema CCM imekaa sana. Dkt Samia aagiza malipo Billion 254 kwa wakandarasi ๐Ÿ”ท๏ธ Lengo ni kuongeza ufanisi katika miradi. #SamiaNakupaTano
Tweet media one
0
0
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
39 minutes
RT @manywele_ze: Wasira afichua siri ushindi CCM 2025 ๐Ÿ”ท๏ธ Upinzani wataiona Ikulu katika luninga ๐Ÿ”ท๏ธ Awajibu wanaosema CCM imekaa sana. Dktโ€ฆ
0
18
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
39 minutes
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI #SamiaNakupaTano
0
1
1
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
40 minutes
RT @Mastaa01: CCM IMESHIKA HATAMU, UPINZANI WAOTA IKULU KWA TELEVISHENI! Mzee Stephen Wasira ameweka wazi siri ya ushindi wa kishindo wa Cโ€ฆ
0
17
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
40 minutes
Habari njema sana #SamiaNakupaTano
@HamisUniversal
Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท
1 hour
KAZI IENDELEE ๐Ÿ“Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€œSamia aridhia malipo ya fidia kwa Wananchi 429 barabara ya EACโ€. #SamiaNakupaTano
Tweet media one
0
0
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
41 minutes
RT @HamisUniversal: KAZI IENDELEE ๐Ÿ“Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€œSamia aridhia malipo ya fidia kwa Wananchi 429 barabara ya EACโ€. #SamiaNakupaTano
0
12
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
41 minutes
Nipate nakala yangu sasa #SamiaNakupaTano
@Rahma_Simba
One Sister
1 hour
TANZANIA LEO โ˜• โ—ผ๏ธWasira afichua siri ya ushindi CCM 2025 โ—ผ๏ธDkt. Samia aagiza malipo ya 254/- kwa wakandarasi #SamiaNakupaTano
Tweet media one
0
0
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
41 minutes
RT @Rahma_Simba: TANZANIA LEO โ˜• โ—ผ๏ธWasira afichua siri ya ushindi CCM 2025 โ—ผ๏ธDkt. Samia aagiza malipo ya 254/- kwa wakandarasi #SamiaNakupโ€ฆ
0
15
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
42 minutes
Kazi inaendelea kwa kasi #SamiaNakupaTano
@1ngadu1
Ngadu
1 hour
Wembe ni ule ule ushindi wa kishindo kikubwa kwa Chama Cha Mapinduzi chini ya mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan. #SamiaNakupaTano
Tweet media one
0
0
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
42 minutes
RT @1ngadu1: Wembe ni ule ule ushindi wa kishindo kikubwa kwa Chama Cha Mapinduzi chini ya mwenyekiti Dkt. Samia Suluhu Hassan. #SamiaNakโ€ฆ
0
21
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
42 minutes
Habari njema #SamiaNakupaTano
@imaaJr_
๐‰๐ซ ๏ฃฟ
1 hour
Mama Samia, kinara wa maendeleo. Akiendelea kusimamia miradi kwa vitendo, kuhakikisha fedha zinawafikia wakandarasi na maendeleo yanawafikia wananchi. ๐Ÿ‘๐Ÿฝ #SamiaNakupaTano
Tweet media one
0
0
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
42 minutes
RT @imaaJr_: Mama Samia, kinara wa maendeleo. Akiendelea kusimamia miradi kwa vitendo, kuhakikisha fedha zinawafikia wakandarasi na maendeโ€ฆ
0
12
0
@Wakusoma223
Wakusoma ๐Ÿ‘‘
43 minutes
@Mwitah_tz SGR inaendelea kuwa mkombozi wa uchumi wa Tanzania chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia. Usafirishaji wa mizigo utaongeza kasi ya biashara na kuimarisha uchumi kwa viwango vya juu #SamiaNakupaTano
0
0
0