![LINCOLN Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1887376421091151872/I5SYuXeB_x96.jpg)
LINCOLN
@LeeCute255
Followers
9K
Following
10K
Statuses
20K
RT @m_rightk: Gaining is just simple -If you support me, I support you -If you reply to me, I reply to you -If you like this tweet, I li…
0
21
0
Tunajivunia uongozi Bora wa Rais Samia katka kuleta maendeleo endelevu katika taifa letu #SamiaNakupaTano
TUNA HAKI YA KUJIVUNIA KATIKA SWALA LA UWEKEZAJI. Ujio wa Rais Dkt @SuluhuSamia katika kuboresha Sekta ya Uwekezaji alianza na kuboresha Sera za uwekezaji ili kumpa Mwanya muwejezaji kuwekeza katika nchi yetu bila Masharti magumu Yoyote pia katika kukuza sekta ya uwekezaji..
0
0
0
RT @dictatorbin: TUNA HAKI YA KUJIVUNIA KATIKA SWALA LA UWEKEZAJI. Ujio wa Rais Dkt @SuluhuSamia katika kuboresha Sekta ya Uwekezaji alianz…
0
19
0
Mama anafanikisha kwa vitendo zaidi #SamiaNakupaTano
RAIS SAMIA AIBORESHA TANZANIA KUWA KITUO KIKUU CHA UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI Rais Samia Suluhu Hassan ameleta mageuzi makubwa yanayovutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayofanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na uwekezaji barani Afrika. Kupitia maboresho ya sera na sheria, serikali yake imefanikiwa kupunguza urasimu, kurahisisha upatikanaji wa vibali vya biashara, na kuimarisha miundombinu mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR), bandari, na upatikanaji wa umeme wa uhakika. Mbali na kuhamasisha uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI), Rais Samia ameweka kipaumbele kwenye nishati safi, akihimiza uwekezaji katika umeme wa jua na upepo kwa maendeleo endelevu. Hatua hizi zimeifanya Tanzania kuwa soko lenye ushindani mkubwa, huku sekta ya biashara, viwanda, na nishati ikishuhudia ukuaji wa kasi. Wachambuzi wa uchumi wanatabiri kuwa mageuzi haya yatachochea zaidi ustawi wa taifa. #SamiaNakupaTano
0
0
0
RT @Cutyhusnah: RAIS SAMIA AIBORESHA TANZANIA KUWA KITUO KIKUU CHA UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI Rais Samia Suluhu Hassan ameleta mageuzi mak…
0
16
0
@FatumaCute @Mastaa01 @Bizydan @Cutyhusnah @Daktariwayanga @Daudi_Kasimu @DenisMkocha @Kipanga1986 @Gogoryoking @NellyNyamandege @Rahma_Simba Mama anafanikisha kwa vitendo zaidi #SamiaNakupaTano
0
1
1
Mama anafanikisha kwa vitendo zaidi #SamiaNakupaTano
UKUAJI WA UWEKEZAJI CHINI YA MAMA SAMIA. Tangu Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani, uwekezaji nchini Tanzania umeshuhudia ukuaji mkubwa kutokana na juhudi zake za kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. #SamiaNakupaTano 👇🏾
0
0
0
Tunampongeza Sana Rais Samia Kwa juhudi na jitihada alizozifanya katika kukuza sekta ya madini nchini #SamiaNakupaTano
Chini ya uongozi wa Dr @SuluhuSamia, Tanzania imekuwa ikishuhudia ongezeko katika sekta ya madini hususani katika mauzo ya dhahabu. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zilizopo kwenye tovuti za serikali na makala ya habari,Mageuzi ya uongozi wa Rais Samia yamehusisha.
0
0
0
@Bizydan @SuluhuSamia Tunampongeza Sana Rais Samia Kwa juhudi na jitihada alizozifanya katika kukuza sekta ya madini nchini #SamiaNakupaTano
0
0
0