Mwl Yohana Lulyeho
@YohanaLulyeho
Followers
470
Following
558
Statuses
3K
UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
BUNDA MARA TANZANIA
Joined February 2013
RT @godbless_lema: *Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Tundu Lissu @TunduALissu akiambatana na Naibu Ka…
0
227
0
Huo mkojo wa popo sasa😀😀😁😁😁
Pasta Kinyambe @MsigwaPeter project yake na MaCCM imekuwa fupi kama mkojo wa popo. Project ilikuwa kushughulika na FAM ambaye hayupo katika ulingo wa siasa. Project is irrelevant. Mbogamboga wakimpa project ya kumtukana TAL hawezi kuichukua. Anajua, TAL siyo mnyonge atamfyatua.
0
0
0
RT @John_Pambalu: Tukutane Ikungi Singida Mashariki tarehe 15.02.2025, tunamsindikiza mwenyekiti wa wenyeviti wote nyumbani.
0
118
0
RT @Ladymaassay: Team Stronger! Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema na Wamabaraza ngazi ya Taifa kwenye picha ya pa…
0
32
0
Asante kwa ujumbe mzuri, mwanachama wa kawaida
Anaandika Mwl, John Pambalu. Hivi, ni nini kinachowafanya waumini wawe radhi kufia dini/imani zao. Je, ni ubaya wa shetani au tumaini la maisha mazuri baada ya kifo?. Swali hili linapaswa kuwa swali la msingi kwa kila mwanasiasa hasa wa upinzani. Mimi ukiniuliza nitakwambia watu wako tayari kuifia imani/dini sio kwa sababu ya ubaya wa shetani bali kwa sababu liko tumaini kuwa wataishi maishà ya raha tena ya umilele baada ya kifo. Shetani ubaya wake unajulikana na kila mtu. Hata mtu asiyemjua Mungu sawasawa ila akiharibikiwa mahali fulani utasikia anasema ni shetani alinipitia. Sasa sio tuache kuusema ubaya wa shetani bali tuongeze nguvu kwenye kuonyesha tumaini litakalowavuta watu kuona wanao wajibu wa kulinda tumaini hilo. Wakati fulani nilipokuwa Uganda kwenye mafunzo ya kampeni za kisiasa (Political campaign training) basi mkufunzi wetu Thomas Damianvic kutoka Jamhuri ya Czech akatwambia kabla hujaanza kampeni, jiulize hawa watu ikiwa nitashindwa uchaguzi, wapiga kura wataona wamemiss kitu gani kutoka kwangu ambacho kamwe hawako tayari kukipoteza?. Wakati wa Lowassa ulikiona hiki kitu kabla hajajiunga na Chadema na hata alipokuwa Chadema. Kabla hajajiunga na Chadema tangu alipoondolewa uwaziri mkuu alianzisha movement iliyojulikana kama safari ya matumaini (haya matumaini haikuwa kwa Lowassa bali watu waliomona Lowassa na kuamua kumfata waliyaona matumaini). Na alipoingia Chadema alikuta chama kilichompa Agenda ya mabadiliko. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa. Lowassa na Chadema vilipendwa sana sio kwa sababu ya ubaya wa CCM bali kwa sababu mwenye pikipiki moja alijiona anazo tatu nyingine soon baada ya Lowassa wa Chadema kushinda uchaguzi, na hiyo ndiyo ulikiwa wimbo mkuu wa Lowassa katika uchache wa maneno yake uliotokàna na hali yake ya kiafya. Rejea movement ya William Rutto huko Kenyan na story za akina mama mboga watakao geuka mabilionea baada ya Ruto kushinda na kuwapa mitaji kupitia Hustler fund. Watu wamepigika sana kwenye hii nchi. Nimepita katikati ya mitaa ya Dar es salaam na Mwanza ninaona watu maisha yalivyowavuruga. Vijana wamekata tamaa. Hawa tukiwaambia ubaya wa CCM hakuna namna watatuelewa zaidi ya maisha yao kuwa a living testimon juu ya ubaya wa hawa watu. Ķilicho salia ni kuwaambia huku liko tumaini, nalo ni hili, kinachotakiwa ni wewe kuingia mstari wa mbele kuwakabili wanaozuia hili tumaini. Tuwape watu sababu za kupambana kuiondoa CCM kila mahali. Ninapenda kushauri tuanze kufikiri juu ya catching phrase itakayowafanya watanzania wawe tayari kuipigania. Tufanye sio kwa sababu tuna kusudi la kuchukua dola, bali kuitumia dola kubadilisha maisha ya watu. Wasalaam John Pambalu Mwanachama wa kawaida tu.
0
0
0
RT @CHADEMAZANZIBAR: Wenyeviti wa Kanda wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Chama baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama kil…
0
31
0
RT @duahamud: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu, anatarajia kupokelewa Ikungi tarehe 15.02.2025! #HodiIkungi
#Lissu2025
#C…
0
28
0
RT @godbless_lema: Angalau mmesema , jana kuna chawa walinigombeza sana baada ya kuandika habari hii.
0
170
0
RT @daviddjumbe: Uchaguzi umeisha, sasa ni kuunganisha nguvu kujenga Chama kuikabili CCM.. No reform no Election. @ChademaTz
0
59
0
RT @ChademaTz: #StrongerTogether
#NoReformsNoElection Leo tarehe 30 Januari 2025 Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu amekutana na…
0
89
0
Akili kama hii haitakiwi kukaa kwenye ofisi ya umma kabisa.
Natamani wananchi tuchukue V8 yake tuiuze hata kwa mil 200 tu tununue hizo gloves kama mfano. Na tumlazimishe atembee kwa miguu kwenda ofisini kwake pengine yeye na wenzake watajifunza kitu. Hii ni kauli ya kijinga kabisa kutolewa na kiongozi kama mkuu wa Mkoa.
0
1
1
Kila la heri sana kwa viongozi wetu wapya.
Mwenyekiti wa Chadema @ChademaTz Mh Lissu @TunduALissu akiwa pamoja na Viongizi wa BAZECHA Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mh Suzan Lyimo, walipomtembelea kwa mazungumzo nyumbani kwake Tegeta Jumamosi January 2025.
0
0
0
RT @Sativa255: Kuna watu kadhaa nimeona wananifuata wanaomba niwalipie KADI ZA CHADEMA. Jibu langu kwao ni HAPANA. Ili uwe mwanachama MUA…
0
236
0
Sasa ndugu yangu @PMadeleka mzaliwa wa Cheyo nakukaribisha Tabora. Tuanze siasa mapema mwaka huu kwa ajili ya uchaguzi wa hapo baadaye. Chama tumekilinda, twende tukagombee
0
0
2
RT @jjmnyika: Nimepokea kwa unyenyekevu na shukrani maneno ya pongezi hapa X, WhatsApp na mitandao mwingine ya kijamii mintaarafu ushiriki…
0
493
0
Mungu amlimde huyu Mzee
Sina nilichopoteza Natambua gharama za kusema kweli NI hizi Sana Sana nimebaini manyanyaso makubwa ya watu walioko humu "gerezani walionyimwa dhamana kama Mimi kwa kesi zilizo na Dhamana huu utamaduni @HecheJohn TUSEMEE Dr slaa 25 Jan 2025 keko gerezani
0
0
0