duahamud Profile Banner
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@duahamud

Followers
2K
Following
9K
Statuses
5K

KATIBU MKUU BAVICHA TAIFA (2025-2030)||Medical personnel &Research scientist

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 minutes
Jana nilipata nafasi ya kusalimia katika mkutano wa mapokezi ya makamu mwenyekiti wa Chama mh @HecheJohn na kumkumbusha waziri wa elimu kuwa chadema kupitia @bavicha_taifa tulishatoa mwelekeo wa namna ya kutatua changamoto ya ajila kupitia Sera yetu ya vijana ya mwaka 2020.
0
1
3
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
RT @AdvMahinyila: Ahsanteni Kakole, Lamadi na Tarime Mjini. Tumemsindikiza nyumbani Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu @HecheJohn Tukutane keโ€ฆ
0
58
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Mwenyekiti wa @bavicha_taifa Mhe @AdvMahinyila, Mkt Kanda ya Magharibi Mhe. @AdvMatata na Mhe. Lucas Ngoto Mkt Kanda ya Serengeti wakizungumza na wananchi wa kata ya Lamadi Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu leo Feb 13,2025. #MapokeziMakamuMwenyekitiChademaJohnHeche
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
25
77
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
@IAMartin_ ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
0
0
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Kauli hii ya waziri Ina maana gani?Kwamba waziri anataka kutwambia kuwa waliokosa ajira baada ya kuhitimu masomo yaliyoziacha familia zao zikiwa masikini,wauze hata kidogo kilichobaki wakasome Tena ili wakirudi wakute familia zao zimekufa njaa kabisa!!!,Je shida ya ajira hizi inatokana na elimu ya wahitimu kuwa ndogo!na je hawaajiliki kwa sababu hawajajiendeleza!!,Au lengo ni kuongeza vigezo vya kuacha kuajili walisiojiaendeleza!!!na je serikali kwa Kauli hii ya waziri mmejiuliza wakijiendeleza wote itakuwaje.@bavicha_taifa tunaishauri serikali ichukue hatua mathubuti juu ya tatzo la ajira nchi,hizi Kona kona hazitolisaidia taifa sana sana zitatufanya tuone shibe ya watawala na kiburi Chao dhidi ya wananchi,na hatutakubali kwa sauti kubwa.Rejeeni public document ya Sera ya BAVICHA ya 2020 juu ya utatuzi suala la ajira kwa vijana nchini kama hiyo ni ngumu kaeni pembeni tuongoze nchi vijana wa Kitanzania wanufaike.@ortamisemitz @HakiElimu @Jambotv_ @TheChanzo @earadiofm @wasafifm
Tweet media one
1
8
26
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
RT @Jambotv_: Wakili Paul Kisabo amemuandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) wa Tanzania akitaka majibu juu ya upelelezi wa kupatikanaโ€ฆ
0
181
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
RT @earadiofm: #SupaBreakfast:- Kwenye ngenga za siasa, Leonard Toja Manyama, Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kawe anahoji kuhusiana ni kituโ€ฆ
0
32
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 days
RT @NectoKitiga: Katibu mkuu wa @bavicha_taifa kamanda @duahamud atakuwepo TARIME kumsindikiza makamu mwenyekiti wa @ChademaTz nyumbani kwaโ€ฆ
0
14
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 days
0
0
1
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 days
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #StrongerTogether
Tweet media one
0
31
151
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 days
Pumzika kwa Amani Dr @derickmagoma ๐Ÿ’”
Tweet media one
7
35
236
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 days
Kazi nzuri mwenyekiti,mungu atutie nguvu
@TheRealJongwe
Joseph Mbilinyi
7 days
Kijiji cha Mashese, Kata ya Ilungu, Jimbo la Mbeya vijijini leoโ€ฆ NB: Uchaguzi umeisha tumerudi fieldโœŒ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ #StrongerTogether
Tweet media one
0
6
97
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 days
Tunarudi tena Mlimani City viwango ni vilevile
Tweet media one
0
7
47
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 days
RT @jacksonmnyawam2: "Naapa naahidi Mbele za Mungu Chadema nitakulinda Moaka Kufaa" ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Leo Februaly 06,2025 Kata ya Kirando,Jimbo lโ€ฆ
0
17
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Happy birthday Katibu Mkuu @BawachaTaifa Dada @Ladymaassay
Tweet media one
1
24
168
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 days
RT @ChiefMKOMWA: Katibu Mpya Wa Baraza La Wanawake @BawachaTaifa Mhe @Ladymaassay katika Kikao Cha Kamati Kuu Pamoja Na Katibu wa Baraza Laโ€ฆ
0
11
0
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 days
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani. #StrongerTogether
Tweet media one
3
27
133
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 days
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu, anatarajia kupokelewa Ikungi tarehe 15.02.2025! #HodiIkungi #Lissu2025 #CHADEMADaima โœŒ๏ธ
Tweet media one
1
28
149
@duahamud
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 days
RT @NectoKitiga: Viongozi wa Kuu wa @ChademaTz na Mabaraza Yake 2025/2029.
Tweet media one
0
24
0