Given Jowzey Profile
Given Jowzey

@UhahulaGiven

Followers
409
Following
507
Statuses
888

Bachelor of Science in Tourism and Hospitality Management. Ethnologist// Tanzania Tour Agency🇹🇿

Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@UhahulaGiven
Given Jowzey
8 hours
@Wakazi Inabidi ujifunze kutoka kwa Darassa
2
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
1 day
@MadarakaNyerere We mzee alishakitengenezea mazingira ko kwako hakuna ugumu wowote
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
4 days
@zittokabwe Umelima wewe au zimelima hel?
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
5 days
@TheRealJongwe Suala la kum support FAM limeshusha CREDIBILITY yako kwenye siasa usubiri kunyukwa kwenye uchaguzi ujao
0
0
3
@UhahulaGiven
Given Jowzey
5 days
@fatma_karume Kwa hiyo una support wenye vyeti fake kufanya kazi hafu wenye vyeti og wasugue benchi? Kwa hilo unapaswa kumpongeza Magu kwa kazi nzuri!
0
0
2
@UhahulaGiven
Given Jowzey
8 days
@Wakazi Kwani Brother na wewe una ngoma?
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
8 days
@Charts_Tanzania Kwamba Hip Hop inashikiliwa na Darassa
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
9 days
@Charts_Tanzania Gnako na Billnas sio wasanii wa Hip Hop ni waimba ngonjera
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
9 days
@TweveDevota Labda afufuke Magu
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
9 days
@CarolNdosi kuwa specific sema wahuni wakiomba unawapa lakini kumbuka WHO wamesitisha huduma
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
9 days
@HKigwangalla Sema kigwa kwenyw suala la mavazi unajitahidi sana Air Force 1 Kali sana.
1
0
3
@UhahulaGiven
Given Jowzey
12 days
@godbless_lema Huyu mzee alikuwa anatafutwa toka sakata la bandari.
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
12 days
@zittokabwe References?
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
13 days
@HKigwangalla Asante kwa kutolea maoni Sector uliyo ikimbia kwaajili ya maslahi yako binafsi na sio kusaidia wananchi physical.
0
0
1
@UhahulaGiven
Given Jowzey
14 days
@HKigwangalla Kigwa English yako haipo vizuri unatakiwa uende English course.
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
15 days
@HKigwangalla Nenda D.R.C ukafight mzee wa Njee ya Box kubonga tu X kwenda kupigana aaaha
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
15 days
@AnnaTibaijuka Ila we Bibi ulipiga hela za Escrow ukajenga shule ambazo bado una charge hela kubwa kwa Watoto wa Maskini hiyo dhambi inabidi uungame kwa Mungu wako kabla hujafa.
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
15 days
@HKigwangalla Kigwangala amewekeza kwenye Kilimo cha BANGI Arusha Arumeru analima kwa siri sana ndo mana alikuwa anapiga kelele bangi iwe legalized pia alijimilikisha kitalu cha Mwanyamapori Loliondo ndo Magufuli akamtumbua vibaya sana hafai Kuzimu wala Nzega yeye anawaza pesa tu💸
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
15 days
@mzeewakaliua Ile ni Philosophy mzee
0
0
0
@UhahulaGiven
Given Jowzey
17 days
@HKigwangalla @SuluhuSamia Sawa Kaka mshika Shela 😂😂 bado unadhani ukijipendekeza utapata uwaziri
0
0
0