![Melksedeck Peter Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1428345815483944964/YeZynnlN_x96.jpg)
Melksedeck Peter
@MelksedeckP
Followers
79
Following
3K
Statuses
8K
Yanga's fan,man united fan and accountant
Nairobi, Kenya
Joined August 2021
@EduTalkTz @lifeofmshaba @freemanmbowetz Mimi mwenyewe nilishangaa pale FAM aliposhindwa kumchukuwa Malim Seif maana angemchukuwa ungekuta Zanzibar mngekuwa mnaongoza dola na huku mngekuwa juu zaidi
1
0
2
@YoungAfricansSC Changamoto chama karudi na ndio mchawi wa timu kwahiyo leo mtafungwa tena mapema tu
0
0
2
@theTzCabinet @IAMartin_ Huta kaa huskies huyu jamaa katekwa sahau hilo kabisa na yupo kwa mission maalumu akimaliza hutamuona tena
0
0
0
Mmmmmh! That's too dangerous
Nuru Okanga spoke from his heart today. He has done the Lord's work. Ukweli lazima usemwe! #OccupyStateHouse
0
0
0
@ArnorexCo @zittokabwe Kwahiyo unamwona ZZK sio kibaraka hapo jaribu kufikiria tena na tena huyo ni shushu na hakuna chama ambacho kimeanzishwa ndani ya hii nchi kwaajili ya kuchukuwa dola bali kimeanzishwa na watawala kwaajili ya kufanikisha matakwa yao tu ndio maana wakikuona unataka kwenda tofauti
1
0
1
@James19275995 @joeselasini Ww hujui tu kwa Tanzania familia ya Rais ni zaidi ya waziri yoyote unaye msema
0
0
0
@TagAyie @CharlesJSwai1 @MwananchiNews Jambo husilo lijua nikama usiku wa kiza chama kinakwenda kuzama mazima
1
0
0