![LUBANGO Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1780501974082842624/Mza21qml_x96.jpg)
LUBANGO
@LucasLubango
Followers
355
Following
2K
Statuses
965
Author and Teacher. Mshindi wa pili wa Tuzo ya Safal (Mabati)-cornel Kiswahili Prize mwaka 2021—Riwaya ya Bweni la Wasichana.
Joined December 2019
Nina furahi sana kuona kitabu changu cha Riwaya "BWENI LA WASICHANA' kikisomwa vyuoni sambamba na vitabu vingine vilivyoshinda Tuzo ya @KiswahiliPrize. Asanteni sana SAFAL ALAF Foundation na @MkukiNaNyota
📚 Safal Alaf Foundation imetoa vitabu kwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kama sehemu ya kukuza fasihi ya Kiswahili! Vitabu hivi ni matunda ya kazi za waandishi bunifu walioshinda Tuzo ya Kiswahili ya SAFAL, zikichangia maendeleo ya jamii na kuhamasisha usomaji. #KiswahiliPrize
0
2
3
@EduTalkTz @ChademaTz @TunduALissu 1. Ziara nchi nzima kukihuisha chama ili watu wajiunge (Join the chain isitafute pesa tu bali wanachama pia) 2. Ahangaikie mabadiliko ya sheria na taratibu za uchaguzi mkuu (Tume ya Warioba ya Uchaguzi)
0
0
0
Mjomba @zittokabwe huyu Mama mlimwahisha sana kuwa KC!!! Chama kimepoa. Kama suala lilikuwa kuweka uwiano wa jenda au KC ni ilikuwa lazima atoke bara? Hakika yake ilikuwa wakati sahihi kwa @IsmailJussa kuwa KC. Maoni yangu.
0
0
0
Baba @TunduALissu watu hawa wanahitaji uwafute machozi. Si kwa mabunda ya pesa usiyonayo, bali kwa kuwafikisha Kaanani. Mungu alikutunza kwa ajili hiyo.
Ni masaa 24 yamepita. Nchi iligoma kulala. Wapenzi, wafuasi na Wanachama wa CHADEMA walishindwa kulala majumbani waliona kama hakulaliki. Waliacha VITANDA na familia zao wakaenda kukesha Nje ya UKUMBI WA MLIMANI CITY ambapo wajumbe wao walikuwa wana wawakilisha kuchagua MWENYEKITI. Hofu yao ilianzia pale ambapo waliambiwa MWENYEKITI wa chama chao pendwa hachaguliwi na kila mtu, mwenyekiti wao kwamujibu wa KATIBA anachaguliwa na WAJUMBE wasiozidi 1,300 tuu. Historia ya WAJUMBE wao wanaijua, hapo ndio hofu ikazidi kutanda. Licha ya jumbe nyingi walizowafikishia moja kwa moja walipopata nafasi ya kuongea nao ila bado waliamini wanahitaji kufika MLIMANI KUWASISITIZIA ZAIDI. Kwa yale matokeo ya tofauti ya kura 31 hakika bila hizi nguvu za ziada huenda tungekuwa tunaongea mengine hapa. MUNGU MWEMA haya magumu yote hayakuenda bure. Wananchi wamepata walioombea kwa usiku mzima nje ya MLIMAN CITY. Hongereni wananchi.🙇🏾♂️🫡 SATIVA17🫡
0
0
0
Kaka SATI Utatutia Wazimu. Naomba iandaliwe EVENT YA NYAMA CHOMA ITAKAYOHUSISHA UCHUKUAJI WA KADI ZA KUJIUNGA CHADEMA, MGENI RASMI @TunduALissu na baada ya hapo azunguke nchi nzima.
0
0
0
Mungu akulinde Shangazi, hakika umesimama upande wa haki. Hongera @TunduALissu, you survived 16 bullets for this purpose. Next project IKULU.
#TANZANIA ‼️Breaking news!‼️ TUNDU LISSU AND JOHN HECHE WIN! I am reliably informed that Chadema has chosen a new chair and it is the One and Only indomitable Tundu Antipas Lissu! And his deputy is his friend and brother in struggle John Heche This duo is highly popular with the public as well! The outgoing chair Freeman Mbowe who led Chadema for 21 years has also conceded through his Twitter (x) page however official results are yet to be announced
0
0
0
Asante FAM, Baba yangu kijijini kwetu anakupenda sana.
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
0
0
0
Pole shangazi
Asanteni wapendwa kwa maombi, kelele na yote Thank you for the prayers and the noise I have limited access right now but I am grateful my account is safe Nitaingia kidogo #MariaSpaces kupitia @ChangeTanzania tuongee zaidi Ni Mungu tu
0
0
0
Please FREE SHANGAZI @MariaSTsehai
Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi. A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform. While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family. And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
0
0
0
THE BEST SCHOOL IN TANZANIA. WELCOME 🙏
#SKONGA Tazama namna ambayo wanafunzi wa Baobab walivyonyooka katika kujibu maswali kwa usahihi. #Skonga #EastAfricaTV
0
0
0
TAL @TunduALissu tunaomba utubakishie huyu dada pale makao makuu kwenye Sekretarieti ya chama. Anatufaa sana.
“Sisi Wenyeviti na Viongozi wa Majimbo ndio tunaoishi na Wanachama huko kwenye Makata na sisi ndio tutalaumiwa kama hatutawaletea wanachama mtu wanaemtaka.” Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mbeya Vijijini.
0
0
0