![Mazanzaga Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1525342987944861697/vZ0bBfbt_x96.jpg)
Mazanzaga
@JohnMazanzaga
Followers
239
Following
2K
Statuses
2K
In love with my mother Land 🇹🇿 we shall no longer slavery minded, say no to neo-colonialism
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2022
@Inkubuman @imaaJr_ Akili ndogo haiwezi kujua kama tunanyonywa na haiwezi mwelewa heche, ndo kosa tulofanya watz, kuwatanguliza akili ndogo mbele matokeo yake wakoloni wanarudi kwa mgongo wa wawekezaji, wakasaini mikataba ya ajabu na kijinga ata Babu zetu waliokufa miaka mia 5 iliyopita wasingekubal
0
0
0
@earadiofm @AntipasPamba @exaudwamtei @kissadaniel2 Sifa za chawa ni kupenda uchafu, ukiona mtu mwenye akili timamu anasifia uchafu ujue huyo ni chawa, mfano mtu anasifia uuzwaji wa Rasilimali za Taifa Kwa wazungu Kwa kupewa sahani ya wali wa dengu, hiyo mtu lazima awe chawa, mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo
0
0
0
@dictatorbin Tatizo hujui kutofautisha kati y unyonyaji na uwekezaji, sawasawa hao wenye fikra Duni walishindwa kutofautisha Hilo wamejikuta wnagawa urithi wa Nchi Kwa sahani ya wali wa dengu, wamekula wamemaliza Sasa wazungu wnaendelea kutafuna unono wa nchi, afu Kna vijana kma ww wnshngilia
0
0
0
@dictatorbin Ndo maana nakwambia ungekuwa angalau una ata kiasi Cha punje ya haradali, ungeona tatizo, ila Kwa sababu ndo hivyo tena huwezi kung'amua mambo! Kipofu aliyechangamka katikati ya utajiri wa kutupwa, so sad😢. Kama kweli chama kinatengeneza watu wa namna hii bas mbele ni Giza nene
0
0
0
@Inkubuman @imaaJr_ Na inapaswa kutengeneza vijana wa aina ya heche, kulinusuru Taifa kutoka mikono ya wakoloni
1
0
0
@dictatorbin @SuluhuSamia Kwa sifa hizi, Kuna namna Magu hakufa kifo Cha kawaida, msaidizi anahusika Ili atakeover
0
0
0
@imaaJr_ Matusi yote hayo ni Kwa sababu anatetea watanzania, na kuwasema mafisadi... Mnadhani watanzania wanatumia makalio kufikiri ... Ata mgechafua vipi sisi tunajua nyie ndo vichaa... Maana sifa ya kichaa ni kutukana
0
0
0
@jokateM Wazungu sio wajinga, wanatoa takataka tunawapa madini yetu, tunarudi Kwa wananchi kuwarudikia Kodi Ili mkazigawane Kwa njia za ufisadi
0
0
0
@TweveDevota Kwenye ulinzi wa Rasilimali zetu Ili zimnufaishe mwanamke huko kijijini hampo, kugombea hampo, sasa
0
0
1
@John_Pambalu Umenena vyema, kutoa tumaini jipya lazima tu utagusa ubaya wa watangulizi, mfano kutumia Rasilimali zetu kuleta maendeleo lazima utasema Kwa sahihi kivipi Rasilimali hazitumiki ipasavyo kuleta kuondoa umasikini badala yake kuwanufaisha wazungu na watu wachache wasio wazalendo
0
0
4
@lwaitama1 Lakini nadhani Bora ata gwaji kuli mama wa kambo ata thinking capacity zitofautiana sana mbali mno
0
0
0