![Inkubu man Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1691012072081854465/ePkv9ERy_x96.jpg)
Inkubu man
@Inkubuman
Followers
23
Following
135
Statuses
3K
Joined June 2012
@HassanMaft62790 @millardayo Cdm wote mna akili lakini hatujaona mnachofanya zaidi ya kulialia na kutoa matusi
0
0
0
@HonFaustin @panifrica @Jambotv_ Watu wa siasa mara nyingi wanakua wapumbavu hasa wanapo tumia neno ukombozi na haki lakini mioyo yao inajua sababu ni matubo yao ,soka na wajinga wenzake wanatumiwa na wahuni lakini sisi watz hatujawahi kuwatuma wala hizo shida zenu sisi hatunazo , msijipe umuhimu kwetu
0
0
1
@JohnMazanzaga @imaaJr_ Mabaradhuli wamelaaniwa hawajui zaidi ya kuharibu , kumbuka huyo eche wako anapinga mshahara wa wabunge lakini alipokua mbunge hajawahi kupinga sasa unategemea. Kijana fanya kazi za kuzalisha mali fursa uliyo nayo ni kubwa achana na wachumia tumbo wanao kudanganya eti unanyonywa
0
0
0
@DanielNimeny @Jambotv_ Umoja upi ambao mnautaka zaidi ya huu wa kuchati na kupanga maandamano pia mnatekana kwa makubaliano
0
0
0
@panifrica @HonFaustin @Jambotv_ Mikiki ipi zaidi ya hii ya kutukana kukejeli kuzusha kama maandamano mlishindwa mkamwachia mboe na mwanae
1
0
1
@HonFaustin @Jambotv_ Hakuna mjinga wa kuandamana kwa ajili ya wajinga wanaotafuta umaarufu kwa ajili ya matumbo yao na mtasubiri sana endeleeni kutumika
0
0
0
RT @millardayo: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kuwa hakuna Mtu au Chombo cha Serikali kinachoruhusi…
0
7
0
@MeshackKuy30242 @millardayo Kuna chombo gani kinaruhusu raia kumvamia askari na kumshambulia kwa mishale
0
0
0