12k Selector
@CleopaMalcom
Followers
1K
Following
6K
Statuses
1K
ICT Professional | Entrepreneur | Agribusiness | Digital Content Creator | Hiphop & Books Enthusiast. #BlacKJesuS #ManchesterUnited Fan
Tanzania
Joined August 2018
@Robyn062 @JackRthythm Ndiyo, Wakazi ana versatility ya hali ya juu kwenye rap game yake au na hapo mpaka viboko ndo uelewe😂
0
0
0
@JackRthythm @Robyn062 Yani mtu miaka 10 sasa imepita mada & flow ni zile zile unajaribu kumlinganisha na Wakazi ambae ni versatile rapper kila siku ana jaribu ku go extra miles, mind you tukianza kumlinganisha Roma na baadhi ya emcees anacho kifanya kitakosa maana✍
1
0
0
@Wakazi ana wordplay za laana anatumia punchlines ngumu, mafumbo, na flow za kinyamwezi yani zinazokaribia na mainstream Hip Hop ya kimataifa "rapreneur" unataka kumlinganisha na huyo mpiga kelele. Embu jitathimini bro
Tatizo wakazi wala haRap ngumu, unajua Rap ya Roma aliyoanza nayo ndio ilimpa mashabiki wengi zaidi kuliko hizi K ni K? Rap ya Roma ilikua inagusa maisha ya watu na ndio utamaduni uko hivo!
0
0
0
@incredible_nory Onesmo nilikua na heshimu sana mawazo yake lakini kwa hili nimemvua vyeo, unless labda tu anataka kumsupport mwanae Mdigo
0
1
1
RT @MUSICANDBUILDS: America without black Americans Would be so bland culture wise .. let’s be real A lot of the jealousy from other race…
0
33
0
@EduTalkTz Ukweli ni kwamba humu ndani watu sio wakuaminika kabisa, Sitaki kuamini mtu unaweza kuharibu reputation yako kisa unataka tu kumsupport Roma🤦♂️
0
0
0
@Mulastar255 @EduTalkTz Ukweli ni kwamba humu ndani watu sio wakuaminika kabisa, Sitaki kuamini mtu unaweza kuharibu reputation yako kisa unataka tu kumsupport Roma🤦♂️
0
0
0
RT @CleopaMalcom: @CarolNdosi Unamjua Fareed K Kubanda @FidQ kweli, hizo Propaganda Mzee Mbuzi alishatoa Neno la Siri Ya Mchezo Siku Nne Sa…
0
1
0
@lifehimself @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Haha, sijui kama ni wao kuwa wajanja au machizi ndio wamelala sana siku hizi! 😂
0
0
0