![Twaib Mbonde Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1084738733725966336/vh8ieu2V_x96.jpg)
Twaib Mbonde
@AbuuSakiinah
Followers
54
Following
369
Statuses
989
Pasipo uthubutu hakuna ushindi..
Bagamoyo,Pwani
Joined September 2013
@UbuntuSt @TweveDevota Magufuli hakuwahi kuwataja watu kwa dhati zao,aliishia tu kusema mabeberu mabeberu.Mwamba alikiwa Mugabe tu,alikua akiwaponda mpaka mkutanoni UN,hakuwahi kuhitaji kuchokozwa ye ni mawe tu kwa wazungu.Uingereza na Marekani hawakuwa salama wakati wa uhai wake kama raisi
0
0
0
@MugundaK68723 @AdvocateKondele @DenyTheDr @DullahTheking2 @GoodluckMalekoJ @Kelvintate_ @Labella_Mafia95 @ms_tebbe @were46261 @milcamuranda Hakuna mirathi ya hivyo,nyumba zote zi mwanaume regardless nani anakaa so kwenye mirathi mali zote zinahusishwa,na kama asingemuandikia mwanamke then Nyumba zote zingepigiwa hesabu za mirathi na kila mtu angepata haki yake
0
0
1
@Mzee_Nyoko Mwendokasi tena,unatupanga mkuu.First phase ya mwendokasi Morogoro Road iliisha tangu 2014.Amalizie magufuli tuu akimalizia mama aaaah
0
0
1
@NdagijeVeronic2 @zittokabwe Labda mipaka na ukabila upande wa magharibi ambapo ndipo anapotoka.Ambapo kimsingi ukiwepo huko mambo mengi yahusiayo mambo ya mipaka na nchi za jirani utayajuwa tu,mana masimulizi yao yapo kwa wazee na watu wa huko
0
0
0
@zittokabwe @mdudenyagali Watutsi wapo na wanajulikana na wahutu wapo wanajulikana,kila mmoja wao ana utambulisho wake na linatoshoea kuwafanya kabila,kwani asili kabila ni utambulisho unaobeba jamii fulani.Ukitaka kuchambua kila kabila limetokea wapi na nini utakuta hata hayo yanayoitwa makabila si mengi
0
0
0
@RawHumanRights @zittokabwe Asili ya maana ya ukabila ni neno lenye kukusanya kikundi cha watu wanaopatikna sehemu fulani ya ardhi,wakisifika kwa tamaduni,lugha, desturi na mila.Pia kabila hutambulika kwa misingi ya ukoo wa kawaida,au hata uzoefu wa kawaida.Kwa maana nyengine kabila ni utambulisho.
0
0
0
@astrangehero @zittokabwe Yawezekana,laakin mheshimwa kabudi alilieleza hili pia kwenye press alipokuwa akitoa ufafanuzi wa kwann Mt kilimanjaro upo na yeye alidanganya pia?
1
0
0
@MwansasuSnr Kudaiwa usiombe,kuna simu za wengine hazipokeleki tu automatically. Actually anayekudai huisi faraja kupokelewa laakin sometimes mambo yanapandana unaongopa mpaka uongo unakwisha.Kila ukifikiria anayekudai anataka pesa sio maneno sometimes unavunga tu mpaka uwe na majibu mazuri
0
0
0
@yunusi_jr @FKihamu Hakuna nchi ndogo kwenye vita na wala hakuna mpinzani mdogo kwenye jambo lolote.Kumbuka ,"Mpinzani hadharauriwi".Na pia ukipigana na nchi haupambani naye pekeyake bali na washirika wake.Rwanda ni kibaraka na mshirika wa mataifa wengi
0
0
0
@InnocentGrant @SagiraW Hope wamaanisha zaidi ya unachokiandika,actually sikumaanisha sikuelewi kwa maana hueleweki,unaeleweka tena vyema tu ila nnachojuwa kwenye hili ni kuwa hakuna anayetetea ila jambo linampendeza na hakuna anayelipiga vita ila jambo linamchukiza,hzo nyengine ni siasa tu
1
0
1
@SagiraW @InnocentGrant Haihitaji akili nyingi kujuwa,jamaa anatumia nguvu kubwa kulaumu kila asiyesupport na kupongeza kila mwenye kuwapambania.Sjui nataka kusema nini ila jamaa sjawahi kumuelewa all the three yers nlopata kuishi naye🤔
1
0
0
@GeorgeJob14 Bado sjaamini kama Mbappe kaclick,na hata ikitokea mfumo ukamkubali bado sikuona umuhimu wa usajili wake.Kushine kwa mbappe kutapelekea kufa vya vipaji vyengine ndani ya won kil kitu bila mbappe,nahisi walihitaji mtu bora zaidi kwa striker position
0
0
0
@IamMsafiri @YusuphMbilinyi8 Wapo,na suala la operation ni suala la miongozo.Hawafanyi koz miongozo imewazuia na haijawaandaa kufanya sio maana ake huwez kujuwa.Alafu Operations sio big deal babu,yeyote anayepata exposure ya vtendo anajuwa hata akiwa shallow
0
0
0
@DaudFelisian @Adventure_36 Najuwa,maana yangu ni kuwa exposure ya CO ni Kubwa clinicals na han limit ya muda kwenda clinicals.Mwenye kutaka kujuwa anajuwa vyingi,utofauti ni kubwa MD's wana basics nyingi inayowafanya wajuwe vyingi lakini hata hivyo sio wote wanaokuwa vzuri
0
0
0